Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa kifupi Sana HOTUBA Yako na ajenda zako zote ulizoongea na waandishi WA habari hakuna hata Gen Z wa CCM amekuelewa, hujagusia suala lolote kuhusu hatma ya Taifa hili kwa Hawa Gen - Z ambao...
1 Reactions
3 Replies
315 Views
Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 20 Mei, 2021 atafanya ziara ya kikazi ya siku 1 hapa nchini kwa Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...
6 Reactions
122 Replies
13K Views
Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na serikali ya Finland imesaini hati ya makubaliano ya kikanda [MoU] chini ya Mradi wa Maendeleo ya Matumizi ya Ardhi na Minyororo ya...
0 Reactions
4 Replies
230 Views
Mimi nadhani mambo ya maandamano ya ahirishwe mpaka October 2030. Ili uchumi ukue vizuri sana, na utalii ukue vizuri sana, na wananchi wapate vipato vizuri sana. Inaelekea baadhi ya global na...
1 Reactions
17 Replies
482 Views
Machafuko ya uchaguzi wa Oktoba 2025 nchini Tanzania yalifunikwa na giza zito la kuzimwa kwa intaneti, baada ya mrindimo wa bunduki kunyamaza ghafla. Sasa, ushahidi mpya unafichua kile ambacho...
2 Reactions
1 Replies
208 Views
Mwanaharakati Mange Kimambi amesema kuwa watanzania wanatakiwa kumpuuza mzee Butiku kwa kuwa anatumika na serikali ya Samia.
12 Reactions
52 Replies
2K Views
Kwema Kabisa! Mbowe itampasa amkumbuke aliyemshauri aendelee kugombea. Familia yake ilimshauri apumzike, kwa mujibu wa maelezo yake. Ni kwa sababu inampenda na kutaka heshima yake idumu. Lakini...
46 Reactions
151 Replies
5K Views
Hakuna amani kwenye mauwaji na utekaji unaoendelea acheni tabia za kimalaya mnao dai nchi ina amani nawaonya. Aidha wauwaji na watekaji lazima wawajibishwe kwa matendo yao wameuwa watu wengi sana...
1 Reactions
6 Replies
203 Views
Manze, inabidi tuchane ukweli mchungu bila kuficha makucha, kwa sababu hii hali is getting out of hand na ni some real-life fuckery. Nimepiga kitabu mpaka nimevuta Masters yangu fresh, nikazama...
9 Reactions
28 Replies
664 Views
Simaanishi kusema waliowahi kuwepo nafasi za juu hapo awali warudi, Hawastahili kurudi kwasababu walikigeuza chama kwajili ya maslahi yao. Bila nia ya kubeza wala kupunguza mchango wa yeyote, ni...
3 Reactions
43 Replies
718 Views
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, ametoa wito kwa wananchi wa Iguguno na Wilaya ya Mkalama kwa ujumla kudumisha umoja, upendo na mshikamano.
1 Reactions
31 Replies
554 Views
Chama cha Mapinduzi ni chama cha siasa, lakini ndani yake kinaonekana ni chama cha kifamilia kutokana na historia inavyojionyesha huko nyuma, Kuna baadhi ya Wabunge wake waliofariki kwenye majimbo...
3 Reactions
12 Replies
385 Views
π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ π—”π—žπ—¨π—§π—”π—‘π—” 𝗑𝗔 π—šπ—”π—©π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—•π—˜π—‘π—žπ—œ π—žπ—¨π—¨ 𝗬𝗔 π—§π—”π—‘π—­π—”π—‘π—œπ—” Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 20, 2026 amefanya mazungumzo na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Emmanuel Tutuba...
0 Reactions
3 Replies
250 Views
Naanza kwa kutanguliza interest zangu kuwa naipenda Tanzania na Samia nakutakia umalize Urais wako salama 2030 utuachie nchi ikiwa salama. 1 . Baraza lako la mawaziri kuna watu umewaacha ambao...
9 Reactions
32 Replies
1K Views
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile amemshambulia kwa maneno Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Butiku, akimtuhumu kuonesha chuki dhidi ya aliyekuwa Balozi...
4 Reactions
10 Replies
498 Views
Hili ni swali muhimu kwa wananchi hivi sasa. Chadema ya sasa chini ya uwenyekiti wa LISSU imejikuta ikihangaika na vurugu na uhaini na usaliti tu kwa Tanzania. Je mbowe anapasha misuli kurejea...
1 Reactions
12 Replies
313 Views
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amesema hayo akiwa wilaya ya Mkalama mkoani Singida.
0 Reactions
4 Replies
246 Views
Kimya kingi kina mshindo mkuu, Waswahili wanasema. Hivyo ndivyo mikakati inavyopangwa kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kurejeshwa kwenye chama hicho kwa mlango wa nyuma kwa...
9 Reactions
56 Replies
1K Views
Akizungumza na vyombo vya habari leo Januari 20, 2026 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali ya Tanzania kupitia TPDC inamiliki asilimia 15% katika Mradi wa Crude oil pipeline...
1 Reactions
3 Replies
237 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…