Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Ofisi ya Mkoa kwa kushirikiana na TANESCO haitabaki kimya kufuatia kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC)...
Nimeona imezuka tabia ya hovyo sana; wakishinda kesi wanasema mahakama iko huru na wanaisifia, lakini siku wakipoteza kesi wanasema mahakama haiko huru. Nani anasema mahakama haiko huru? Hii ni...
Target kubwa ya speech ya jana ilikuwa kwa makundi makubwa matano yafuatayo.
WAFADHILI, kundi hili linajumuisha nchi za ulaya EU countries na Marekani. Aliwaambia 'Who are You', kwanza vihela...
“Nakaribisha ombi la Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani kuhusu ombi langu la kukagua uhusiano wa Marekani na Tanzania. Hali inayoendelea Tanzania inasikitisha sana na inatishia utulivu na usalama...
Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa, ametoa wito kwa taifa kuanzisha mapema mchakato wa maridhiano na uponyaji baada ya matukio ya...
Aliyekuwa Mgombea wa Urais kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Luhanga Mpina, ameibuka na kutoa tuhuma nzito dhidi ya Serikali, vyombo vya dola na taasisi za uchaguzi, akidai kuwapo kwa ukiukwaji...
Sote tumeona hali hii mbaya kabisa kutokea katika nchi yetu nzuri, Hali hii mbaya kabisa ipo katika maeneo yote kama eneo la
a. Kiuchumi
hali ni mbaya sana hatukopesheki kimataifa kutoka kwa...
Vijana awalili kulelewa, wanalilia ajira na awataki kulelewa lakini sisi wazazi na walezi tusimame kidete tuwalee, ili yasitokee ya hovyo haya yalitokea.
Kwakuwa imeundwa wizara ya vijana watoto...
Wakuu
Nchi ina heka heka sana hii vijana kama hawa sidhani hata wanachokiongea kama wanakijua au ni ilmradi tu, yani ni kama wale wale wazee wa lile jiji
===
Katibu Msaidizi wa idara ya Mabinti...
Wakuu kiukweli nasikitika kuona viongozi wakiendelea kuonesha kutojali yaliyotokea.
Kanda ya Ziwa bado inaonekana vijana hawapo tayari kuweka silaha chini.
Baadhi ya mitandao ya kijamii vijana...
Mnakumbuka kipindi cha Magufuli vimemo vya vi organizations mbalimbali vilivyotolewa na majibu ya MAGUFULI?
Baadaye wakijua kuwa unajiamini na hitishiki wanaendelea kumwaga pesa maisha yanasonga...
Gen Z upepo wao unavuma muda wowote! Kwahiyo usishangae ukawaona tena!
============
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo amekagua Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kisesa iliyopo Halmashauri ya Wilaya...
Ni Serikali haramu pekee tangu uhuru baada ya uchaguzi yenyewe ipo kwenye mgogoro mkali na wananchi na dunia ni kwasababu ni wasaliti wa nchi na haramu.
Mgogoro hatimae unazaa maandamano makubwa...
Kiburi cha wanadamu chatoka wapi?
Kwa sababu wewe una cheo fulani na vile unapojiangalia unaona umezungukwa na ulinzi mkali, umezungukwa na kila aina ya silaha ndio sababu ya kuwadhihaki...
watu wamejisimika madarakani kinyume cha sheria eti wanaita maandamano ni vurugu wakati wameuwa na kupindua nchi waache wajitoe akili.
Sisi tutawazibua masikio na kuwafukuza au kuwakamata D9
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa watu wanaosafiri kwenda mikoani ni jambo la kawaida linalotokea kila mwaka, na si kitu cha kushangaza au kuhusishwa na sababu...
Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi CCM imetoa tamko leo Disemba 5, 2025 jijini Arusha, ikiwataka Watanzania kuacha vitendo vya vurugu na uharibifu wa mali za umma na binafsi, ikisisitiza...
Jeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku “maandamano ya amani yasiyo na kikomo,” yaliyotangazwa kufanyika Desemba 9, 2025, likisema yamekosa sifa za kisheria na yanaashiria mipango ya uhalifu...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika tumepata Rais ,tumepata kiongozi imara,tumepata nahodha hodari,tumepata jemedari shupavu. Watanzania Tumepata Amiri Jeshi Mkuu Shupavu , Madhubuti na Shujaa...
Ni kama mambo mengine yote yamesimama
Serikali imefocus Katika kupambana na Gen Z na wanaowatuma
Wasiwasi wangu ni kwamba endapo tulikuwa salama na tunakopesheka lakini tupo duni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.