CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani Tanzania. Viongozi wa CHADEMA kadhaa wametekwa na wahuni na wengine kuuwawa, Serikali imeshindwa hata tu kumshika teja na kumbambikiza kesi ya utekaji na...
Nadhani chama kimekata tamaa, kimegawanyika. Nadhani sasa vyama vingine vizibe ombwe hili. Wenzetu wakija kuchochea vurugu, uharibifu wa amani, wana pa kukimbilia, kwa wajomba zao Canada na Ulaya...
Tunatambua mchango wenu katika kuikosoa serikal katika vyama vya upinzan vilivyo kaza bas ni chadema vyama vongine ni wakat wa uchaguz kisha hupotea
Uchaguz ni hesabu na mipango mipango huanza...
Mwandishi wetu.
Wakati chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Moshi Mjini kikijinasibu kupitia Mbunge wa Chama hicho Jimbo la Moshi Mjini kuwa waliahidi ahadi 10 ambapo wanadai 9 zimekamilika na moja ya...
Wakuu,
Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000.
Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi?
====
Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba.
Wakuu,
Mambo yanazidi kuwa moto kuelekea uchaguzi mkuu 2025.
Baada ya kushindwa kesi na wadada wanaodhaniwa kufanya biashara ya kuuza mwili sasa atinga vijiweni kusikiliza kero za wananchi...
Wananchi wa mkoa wa Dar es salama wameandamana mpaka kwenye ofisi zao, wakilalamika juu ya Rushwa, na kuiba kura kwa baadhi ya watinia nia ya uchanguzi wa serikali za mitaa.
Swali je, TAKUKURU...
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam wamendamana wakiwa na mabango katika ofisi za makao makuu ya chama kwa kile wanachodai kuwepo kwa wizi wa...
Tanzia.
Joseph Elemedius (57) ambaye alikuwa amechukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Kijiji cha Kalagala Wilaya ya Missenyi ameuawa usiku wa kuamkia leo. Joseph ameuawa wakati akisubiri uteuzi...
Kujitokeza kwa 100% kwa Wanachama wa Chadema kuchukua fomu za kugombea Uenyekiti wa serikali za Mitaa, Kumewaduwaza Viongozi wa CCM kiasi cha kuanza kupanga njama zile zile za kishamba...
Kukalia Habari na kuwanyima Uhondo Wenzako si kitu kizuri na ni Ubinafsi.
Baada ya kulifahamu hilo nikaona ni vema niwaletee haya yanayoendelea huko Sirari, Tarime
Ujumbe: Watake Wasitake
Wakazi wa Mtaa wa Chinyoya, Kata ya Kilimani, Wilaya ya Dodoma Mjini, jijini Dodoma, wamepinga uteuzi wa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayewania nafasi ya uenyekiti, wakidai kuwa mgombea...
NA MARYAM HASSAN
WAKATI dunia ikiendelea kupaza sauti juu ya ushiriki na ushirikishwaji kikamilifu wa wanawake katika nafasi mbali za uongozi, Zanzibar haipo nyuma katika haraakati hizo.
Kupitia...
Mwenyekiti wa Chama wa chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema Freeman Mbowe ameungana na wanachama kuwasindikiza wagombea wa vijiji vinne vinavyounda kata ya Machame Narumu, Wilaya ya Hai...
Zoezi la Uandikishaji Wananchi watakaoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024 limekamilika ambapo kwa mujibu wa TAMISEMI, takriban Watu Milioni 32.9 (94%) wamejiandikisha
Kwako...
2025 kama CCM itashindwa kuwapitisha Wagombea wa Ubunge na Udiwani wanaokubalika na Wananchi basi Tutapata Tabu sana
Wabunge na madiwani wengi wa sasa siyo Chaguo la Wananchi bali Wateule wa...
Siku ya jana niliamua kwenda kuangalia jina langu kwenye ofisi husika kama tulivyoshauriwa, nilifika kwenye ofisi na kuzikuta karatasi zenye majina zikiwa zimebandikwa ukutani. Karatasi hizo...
Wakuu,
Wanachama wa CCM zaidi ya 200 Kata ya Kia Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wamejitokeza kuchukua fomu zakugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa...
Hali inakuwa si nzuri kwa vyama pinzani nchini kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa ambapo kila leo unasikia wanakutana na vibwanga. Leo ACT Wazalendo wanasema wagombea wao bila NIDA basi fomu...
Wasalaam,
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mtaa mwezi ujao naona CHADEMA mmeamua kulamba matapishi yenu kwa kushiriki uchaguzi ambao kwa vyovyote vile hamuwezi kuashinda kwani kwa 90% wazimamizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.