Habari njema kwa Watanzania kutoka ICC.
Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu.
Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa...
Huu mfumo japo umekuja na mazuri, lakini kwa sasa unageuka kero kwa Watumishi kwa baadhi ya huduma kutopatikana leo ikiwa ni siku ya 2 mfululizo.
Mimi nashauri waufute huu mfumo au kuwe na...
Lipumba alichaguliwa mwaka 2024 kuendelea kuwa Mkiti wa CUF.
Chadema wanaposema tuungane kufanya reforms na kupata katiba mpya kabla ya uchaguzi huwa mnawabeza.
Kwa huyu mama kila mtu atafikiwa...
Maajabu mwenyekiti achaguliwe na chama alafu msajiri aje amtengue kwani mwenyekiti wa chama cha siasa aliteuliwa na msajiri?
Kwani msajiri ndio alimpa kazi mwenyekiti wa chama cha siasa haya...
VIDEO:
Siku chache baada ya viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA @ChademaTZ2) wakiongozwa na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala Rugemeleza...
Jalida kubwa kabisa duniani, limemwelezea Samia Suluhu Hassan kama kiongozi aliyeiletea matatizo makubwa sana Tanzania toka nchi ipate uhuru.
The Economist wanasema chini ya Samia, Serikali imeua...
Jeshi la Magereza Tanzania linapenda kuujulisha umma kuwa, katika kutekeleza majukumu yake ya kuwapokea, kuwahifadhi na kuwarekebisha wafungwa na mahabusu, limeendelea kuzingatia usalama wao...
Hili ni swali la logic/mantiki au kisheria.
linalopaswa kujadiliwa kwa haki na uwazi.
Je tupambane na vyombo vya kutoa haki kisheria kwa kumobilize vilio mahakamani?
Je wale tusiokuwa na uwezo...
Zimetoka Tshirt zinaonesha picha ya Tundu Lissu na Ujumbe unaohusiana na Kesi yake zinauzwa kila moja TZS. 15,000/= haifahamiki hizo pesa za mauzo zinaenda wapi lakini pia BAVICHA hawana akili ya...
Suala la Msajiri kutengua uwenyekiti wa Lipumba hana hayo mamlaka na umekaa kisiasa kwanini ametengua baada ya kukosoa uchaguzi achunge sana huyo mzee.
Hakuna mtu mwenye nguvu kuliko umma hakuna...
Inasikitisha sana kumuona amechoka phisically na kwakweli mentally ni kama yupo confused.
Mbaya zaidi, mamluki na wafuasi wake ndio wanaonyesha kuchoka na kukata tamaa zaidi, licha ya kuhamasishwa...
Mahakama Kuu ya Zanzibar imeyatupa maombi madogo ya dharura yaliyowasilishwa na wagombea wa ACT Wazalendo wa Uwakilishi kutoka Majimbo17, yaliyolenga kuzuia Wasimamizi wa Uchaguzi na Mwanasheria...
Google Translated:
Chama ambacho kimeongoza Tanzania tangu uhuru kutoka Uingereza mwaka 1961 ni kiumbe cha ajabu. Chini ya Julius Nyerere, baba mwanzilishi wa nchi, Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Sote ni mashahidi dhidi ya umoja, umadhubuti, umakini na umahiri wa serikali sikivu ya CCM iliyoundwa na inayoongozwa na makada kindakindaki wa chama cha mapinduzi DR.SAMIA, DR.NCHIMBI NA...
Yaani mtu unakaa na file mezani kwako wiki mbili au mwezi mzima unalisogeza tu kila ukiletewa chai...., kwani unapata faida gani au unafanya nini muda wote huo kutojali file ambalo ungeweza...
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akitimiza siku 100 madarakani tangu alipoapishwa Novemba 3, 2025, ahadi ya kuunda tume ya maridhiano na kuanza kwa mchakato wa katiba mpya imekuwa ikihojiwa. Lakini...
Utasikia oo Rais huyu ni katili sana ...kampeleka mahakamani anamtesa tu.anaweza kutoa neno moja tu na kesi hii ikaisha.
Kama tunaamini hivyo ni ipi sababu yakumchokoza,kumdhihaki na kumkasirisha...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ametua kwa kishindo kikuu kilicho itetemesha Ardhi ya Adis Ababa...