Jumuiya ya Mabondia Tanzania imetoa kauli na kusisitiza kuwa tarehe 9 Desemba watailinda nchi dhidi ya “maharamia na wapuuzi wachache watakojitokeza kufanya maandamano wakisema wapo tayari...
Wananchi wanataka mabadiliko na wamechoka kukosa haki.
Kwa taarifa mnazowapa tokea tarehee 29 wamekuwa wakitumia nguvu nyingi na pesa nyingi ambazo waoneshe nchi hipo salama.
D9 ijafika ila...
Kupitia kurasa za Mitandao Instagram na X (zamani twitter) za Mwanzilishi wa Kampuni ya 'nala' Benjamin Fernandes amehoji;
"Kwa nini uchunguzi unachukua miezi mitatu, lakini kuhesabu kura Milioni...
Wakuu Balozi Nchimbi yuko wapi?
Mbona kama hili sakata la tumbo joto kuhusu Serikali na hizi report za kimataifa kuhusu haya mauaji mbona kama Nchimbi havimuhusu hivi. Wako sawa huko ndani kweli...
Mzuka wana Jamvi ?
Nakumbuka siku karibia na October 29 Mange alituhakikishia kuwa tusiliangushe Jeshi na kwamba vyombo vya usalama Jeshi na polisi hawapo pamoja na Rais Samia na wanatumia...
Mtoto wa miaka 14 kutoka kijiji cha Arusha ameripotiwa kujinyonga baada ya madai ya kuingiliwa kinyume na maumbile na askari waliomchukua Oktoba 29.
Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia, kijana...
Mtu wa nje/jirani hawezi kujua ugumu unaopitia bali wewe mwenye nyumba ndio muhusika
Najua watu wengi wanatamani sunctions na international organizations kufanya jambo. Ni jambo zuri na la kheri...
Mzee wa Upako Anthony Lusekelo amewataka wanaosema kuwa Rais Samia anakosolewa sababu ni Muislam, wajibu hoja na siyo kuleta mambo mengine ya udini. Ameongeza kuwa Udini ni mbaya na haufai kwenye...
Kutoka kwenye ukurasa wa Sativa mtandao wa X;
Ushahidi mwingine wa POLISI na vyombo vya USALAMA wakiua watanzania.
Huyu ni kijana ambae alikamatwa 29 oktoba siku ya maandamano huko TUNDUMA...
Larry Madowo ameendelea kujichukulia point muhimu kwa sakata linaloendelea Tanzania. Hivi karibuni amewahoji META sababu za kufungia akaunti za Mange, Maria Sarungi na SATIVA ambapo wamesema...
Anasema:
1. Ni mwaka mmoja sasa, hakuna ripoti yoyote juu mauaji ya kikatili ya baba yao yaliyofanywa na Polisi Wasiojulikana, waliomshusha kwenye bus wakaenda kumtesa na kisha kumuua kikatili na...
Tanzania inaendeshwa kwa mujibu wa Sheria na kanuni .
Kuandamana ni haki ya kila Mtanzania ila ni haki ya serikali kupinga au kukataa maandamano kwa sababu za kiusalama na kijamii.
Hakuna...
"Uongozi uliokubalika utapiganiwa na watu wenyewe wala hauna haja ya kuhamasisha watu wakakupigania, ukiona kikundi kidogo cha watu wanaweza kuleta taharuki kama mnavyosema kinaweza kuleta vurugu...
Sijasema hapa udini nasemea walipotokea maana tuangalie walipotokea hata kama wamezaliwa mikoa mingine ila asili zao.
Hakuna mkoa hatari kama Kigoma wenye watu wengi wenye roho za chuki na...
Ukifuatilia, wengi wa viongozi wanaokemea watu wasiandamane ni kama wanataka raia watulie na kuburuzwa.
Issues zinazolalamikiwa na wananchi hazifanyiwi kazi, watu wanaendelea kutekwa, hofu ya...
Msimfiche najua hata yeye anajua hili.
Tanzania asilimia kubwa ya wananchi wana maisha ya chini ukiona watu wengi wanakupinga basi jua ndio hao na ina maanisha hakuna kitu unafanya kwao.
Mimi...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro ametoa rai kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari kwa ujumla wake kutambua kuwa Tanzania ni nchi yetu sote na...
Mohamed Ali Kibao mtoto wa marehemu Ali Kibao amezungumza kuhusiana na ufuatiliaji na uchunguzi kuhusu kifo cha Baba yake (Mzee Ali Kibao) kilichotokea September 2024 baada ya kuchukuliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.