Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika kile kinachoonekana 'kukazia' kauli iliyotolewa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu wanaharakati kutoka nje ya nchi kuingilia mambo ya Tanzania, Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
1 Reactions
42 Replies
2K Views
Othman Dunga akiongea na Clouds FM amesema Hatuwezi kufanya siasa za kishamba za kumkashifu Rais. Mtu anapanda jukwaani anasema 'Eti Samia'. Huwezi kumuita Samia, huyu kiongozi wa nchi, ni 'icon'...
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu, na kama tunavyoendelea kushuhudia, mambo mengi yanaendelea hapa nchini katika ngazi mbalimbali za kisiasa. Ningependa kusema jambo muhimu sana kwa maslahi ya...
0 Reactions
4 Replies
379 Views
UJENZI WA OFISI YA CCM NEMBA . Mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa amewaunga mkono wanaCCM wa kata ya nemba na Diwani wao Mh Mihayo Miganyalo katika kujenga ofisi ya kisasa ya...
0 Reactions
0 Replies
360 Views
Kuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo. Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa...
5 Reactions
62 Replies
3K Views
Taarifa imetolewa na Citizen tv hivi punde Ahsanteni sana === Waufukweni said: Mwanaharakati maarufu kutoka Kenya, Boniface Mwangi, ambaye alikuwa akishikiliwa nchini Tanzania, ameripotiwa...
21 Reactions
527 Replies
27K Views
https://www.youtube.com/watch?v=vO-UWuTq9AU Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema kuwa chama hicho kinaungana na msimamo wa Askofu Josephat Gwajima, juu ya kupinga masuala ya utekaji...
1 Reactions
2 Replies
933 Views
Wakuu! Hivi hawa wabunge wa kilala wa kiamka wanawaza tu wananchi wawe wanakatwa asilimia au tozo kuongezeka wao mbona awasemi wakatwe hizo posho zao au mishaara? Mbunge Francis Mtinga amesema...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewataka Watanzania na WanaCCM kumkingia kifua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan dhidi ya mashambulizi yoyote...
2 Reactions
45 Replies
3K Views
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Ntobi amehamia chama cha ACT Wazalendo na kupokelewa na Katibu Mkuu wa chama hicho Ado Shaibu...
6 Reactions
56 Replies
3K Views
Mbunge wa Jimbo la Bunda Bonface Mwita Getere leo Bungeni Jijini Dodoma ametaka Bima ya Afya kwa Wabunge ifike muda wa matumizi yake hadi mwezi wa 11. Soma, Pia: Mbunge Francis Mtinga ataka...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songolo Mnyonge, amewataka viongozi wa CHADEMA kuacha chokochoko za kisiasa ambazo zinaweza kuhatarisha amani ya nchi, hasa kipindi hiki taifa linapoelekea kwenye...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche amesema chama hicho kimewaelekeza wanasheria wa chama hicho kumshitaki Msajili wa Vyama vya Siasa wakipinga kutenguliwa kwa viongozi walioteuliwa na...
0 Reactions
1 Replies
508 Views
https://www.youtube.com/live/bPHc0mwP6Rk?si=2CnOWwUZW5KwaumZ
4 Reactions
58 Replies
4K Views
Nawaza tu, kwa akili mnato za wabongo ikatokea askofu wa makanisa ya ufufuo na uzima akajiunga chauma na kugombea uraisi moja kwa moja na hapo ndio mtagundua jinsi elites wanavyo chezea system ya...
0 Reactions
9 Replies
683 Views
Hawa lastborn wa siasa kila siku kuwataja chadema kwenye mikutano yao wanashindwa kuweka sera zao. Wanatumia muda mwingi kuwakosoa chadema kutoshiriki uchaguzi. Kama wao wameamua kushiriki si...
4 Reactions
18 Replies
852 Views
https://www.youtube.com/watch?v=6Z3BEm0TZp0 Freddy Chacha Akieleza kilichowatokea baada ya kukamatwa na kupelekwa Mkuranga waliambiwa wanywe maji yaliyokuwa na sumu kwa sababu wameshindwa...
0 Reactions
0 Replies
438 Views
Naibu katibu mkuu wa CHAUMMA Benson Kigaila amefafanua wanaohoji kuhusu ukubwa wa mkutano wa kuwakaribisha wanachama wapya wa CHAUMMA ambao umefanyika kwa ukubwa na wadau wengi wamepata wasiwasi...
0 Reactions
59 Replies
3K Views
Amani iwe kwenu waungwana wa jukwaa hili pendwa kabisa! Katika Hali ya kustaajabisha nimekutana na Account ya Chadema ikirusha matangazo mubashara ya mkutano wa hadhara wa chama Cha CHAUMMA...
6 Reactions
63 Replies
5K Views
Wakuu hivi hawa CHAUMMA wanaamini kweli watapata kiti hata kimoja? === Mwenyekiti wa CHAUMMA wakati wa mkutano wao wa hadhara Juni 4, 2025 ameeleza kuwa wao wameona kutoshiriki uchaguzi haleti...
0 Reactions
2 Replies
349 Views
Back
Top Bottom