Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Askofu Gwajima amesema Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuwa entertained Gwajima anasema huwa haongei kwa kubahatisha, mpaka anakuja kuongea mbele za watu ni kwasababu ana data, na data...
11 Reactions
95 Replies
9K Views
Taarifa ya Chadema hii hapa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara, Mwalimu Chacha Heche, amesema chama hicho hakina ofisi (iliyotajwa kwamba ilikuwa yao na kisha kuchukuliwa na CHAUMMA) bali kwa...
2 Reactions
32 Replies
1K Views
Kimsingi kwa maoni yangu TUNDU LISU alikuwa anatufaa katika nyakati hizi sababu kubwa ni kwamba waliopo madarakani sasa hivi ukikosoa unaitwa mhalifu na kutekwa. Watu wengi ambao wameikosoa...
11 Reactions
16 Replies
867 Views
Wakuu naona usajili ni kama unaendelea kila sehemu, hatimaye Eugine Kabendera ambaye pia ni miongoni mwa waanzilishi na msemaje wa CHAUMMA ameamua kwenda CHADEMA na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu, Sijaelewa hapa, huko Chamwino ndio mpaka wanafunzi nae wameingizwa kwenye zoezi hilo la kumtakia heri Rais Samia kwenye siku yake ya kuzaliwa. Hii inakuaje mpaka kukatisha ratiba ya siku...
0 Reactions
8 Replies
905 Views
Imeandikwa na: Adv Tito Magoti Niliweka wazi kwamba ninamuunga mkono Tundu Antiphas Mughwai Lissu katika safari yake ya kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
12 Reactions
21 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Zainab Abdallah ametoa pikipiki kwa Vijana wa UVCCM Mkoa wa Tanga ili zitumike na Vijana kusikiliza na kutatua kero za Vijana, kusemea kazi nzuri zinazo fanywa na...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Nimeona Jana Barua ya Kufungwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima. Nimeona Pia Clip ya Video inayosambaa ya Kuzingirwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima. Miaka 2000 iliyopita kule JUDEA...
59 Reactions
133 Replies
7K Views
Akiwa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mollel Papaa, wilayani Babati, mkoani Manyara leo, Jumatano Juni 04.2025 Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos...
0 Reactions
1 Replies
408 Views
Wakuu, Yaani hawa watu wanasifia hadi wanaharibu. Na huyu anavoonekana hajatumwa. Yaani kaamua tu kusema ili aonekane na watawala apate chochote
5 Reactions
19 Replies
722 Views
Hawa ndiyo wabunge wenye muda mrefu bungeni, mtu amekaa miaka 30 ila majimbo yao yana shida ya maji, umeme, changamoto za kilimo n.k. Nadhani ni muda sasa wapumzike. William Lukuvi 1995 -2025...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimewasikiliza hawa jamaa naona kama kuna kuchanganyikiwa flani hivi au wana hasira za kutoka CHADEMA kiasi cha kupoteza Dira na kutumia Mikutano yao waliyoiandaa kwa Gharama kubwa kuisakama...
4 Reactions
7 Replies
580 Views
Mbunge wa viti maalum Riziki Said Lulila wakati akichangia bungeni Juni 4, 2025 kwenye wizara ya fedha ametaka fedha zinazoingia nchini zikaguliwe ili zisije kuingia kwenye matumizi yasiyofaa na...
2 Reactions
63 Replies
3K Views
Msafara wa makamu mwenyekiti wa Chadema John Heche leo tarehe 5, June 2025 ukiwa tayari umewasili katika jimbo la Mlimba tayari kwa mikutano ya hadhara. Video Jambo TV
5 Reactions
22 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/live/7ZcPjzIVj4U?si=HH7k_DuPBtlF4v7X Abdallah Khamis, Afisa Habari, ACT Wazalendo anasema: Wakati leo Juni 05, 2025 viongozi Wakuu wa ACT Wazalendo wataongea na vyombo vya...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
https://www.youtube.com/watch?v=iuttjJJLxG0 Pia soma Mbatia aibwaga NCCR Mageuzi mahakamani James Mbatia ameanza kuzungumza na waandishi wa habari, itakumbukwa hivi karibuni alishinda rufaa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu Akiwa sehemu ya ujumbe wa Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla anayeendelea na ziara ya kikazi kwenye mikoa ya Kanda ya Kaskazini, Kada wa chama hicho...
0 Reactions
4 Replies
504 Views
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ameyahakikishia mataifa mbalimbali ulimwenguni kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, utafanyika kwa uhuru...
0 Reactions
8 Replies
595 Views
Ni dhahiri kwamba ule upendo wa dhati kutoka kwa wakuu wa dini kuipenda CCM unaweza kufikia .kwa inavyoonekana kuna mafarakano kati ya CCM , na wakuu wa dini. Hii ni hatari kwa chama tawala...
0 Reactions
7 Replies
439 Views
Rais Samia akiwa kwenye mazungumzo na Uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu...
2 Reactions
48 Replies
4K Views
Back
Top Bottom