Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hello! Magu na uzalendo na upendo wake kwa wananchi maskini alishindwa kupiga marufuku kamari ambayo kwa jicho la haraka ni Kodi kidogo inaingia serikalini, lakini inaleta hasara kubwa kwa...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Tangu Rais Samia alipopokea kijiti cha uongozi wa nchi mwaka 2021, amesifiwa na baadhi ya Watanzania kama Mama mwenye moyo wa ukarimu, hususan katika kujitoa kwa hali na mali pale anapodhani...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
Wakuu Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) linaloendeshwa kwa kodi zetu watanzania limethubutu kufunga comments kwenye mtandao wake wa Instagram eti kwa sababu tu wananchi wanaihubiri "NO REFORMS...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Jumuiya ya umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi wilaya ya biharamulo imempa tuzo ya uwakilishi bora uliotukuka mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa kama ishara ya kukubali kazi kubwa...
0 Reactions
4 Replies
316 Views
Mwanasiasa James Mbatia ametoa wito kwa Serikali na Viongozi mbalimbali kupata utulivu wa kutatua changamoto mbalimbali zilizopo nchini ili kupata majibu badala ya vuta nikuvute zinazoendelea huku...
12 Reactions
67 Replies
3K Views
Aloooooo hii ni nomaaa, yaani huyu ndio akapata na nguvu za kutuita sisi kenge? Kweli? Wizara ya Elimu embu njooni mtuambie hapa, hivi mtu anaweza kusoma form four miaka 16? Wachaaa banaaa! Hapo...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Ofisi iliyokuwa ikimilikiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), mkoa wa Mara, imebadilishwa na kuwa Ofisi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA). Awali ofisi hiyo kwa nje ilikuwa...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Kina Mama washika mabango yenye ujumbe wa "No Reforms, No Election" na "Tundu Lissu Sio Mhaini" katika Kata ya Minepa Kivukoni, Wilaya ya Ulanga, wakionesha msimamo wao dhidi ya kile walichokiita...
3 Reactions
7 Replies
965 Views
Moto wa 'No Reforms No Election' wazidi kushika kasi, tazama Mkutano wa saa 4 asubuhi leo Juni 5, Kata ya Igima, Jimbo la Mlimba (Morogoro), uliohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Mh.Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM CDE Samira Khalfan Amour amejenga uwanja mpya wa mpira wa pete biharamulo katika kuunga mkono kazi ya kukuza michezo mkoa wa kagera kama ilivyotafsiliwa katika...
3 Reactions
6 Replies
344 Views
Musoma,Kada mpya wa chauma bwana Mwalimu anatumia muda mwingi kuisema Chadema Bila aibu anasema ameikopesha chadema mamilioni ya pesa na anawadai asiulizwe pesa za chauma wanazitoa wapi Mwalimu...
22 Reactions
75 Replies
4K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, ametangaza kuwa chama hicho kitafungua kesi kupinga uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa, akisema ni kinyume na sheria na demokrasia. Ametoa...
13 Reactions
95 Replies
6K Views
Msururu wa dalili zisizo na shaka kutoka ndani ya mfumo wa kisiasa wa China katika miezi ya hivi karibuni zinaonyesha kuwa nguvu ya Xi Jinping madarakani inadhoofika na kwamba kuondolewa kwake...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Hakuna kitu Duniani binadamu anakipenda kama Haki, na hakuna kitu duniani anakichukia kama kudhurumiwa, kuonewa kunyanyaswa na kuibiwa tena awe hana chakufanya. Wananchi wengi sana walikuwa...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Jumanne Muliro amejibu madai ya wanaharakati wawili kutoka Uganda, Agather Atuhaire (Uganda na Boniface Mwangi (Kenya) kuwa waliteswa walipokuwa...
2 Reactions
56 Replies
4K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa Serikali. Viongozi hao ambao amekutana nao leo...
13 Reactions
69 Replies
5K Views
GTs, Swali la kizushi. Hivi itakuwaje in case Rais Dkt Samia akiamua kuona kuna umuhimu wa reconciliation ya haya mambo yaliyotajwa na Askofu Gwajima na kuyafanyia kazi kwa kuchukua hatua kama...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda leo Alhamisi, Juni 5, 2025 ametangazwa kujiunga na Chama cha ACT-Wazalendo. === Katibu wa Jumuiya na Taasisi za...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
UJENZI WA KUONDOA VIKWAZO KUUNGANISHA BARABARA YA RUNAZI -CHEBITOKE HADI KABINDI . Kipande cha kilomita 2 kati ya 4 ya barabara inayounganisha eneo la kabindi na runazi lilikuwa na changamoto ya...
0 Reactions
3 Replies
365 Views
Askofu Gwajima amesema Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuwa entertained Gwajima anasema huwa haongei kwa kubahatisha, mpaka anakuja kuongea mbele za watu ni kwasababu ana data, na data...
11 Reactions
95 Replies
9K Views
Back
Top Bottom