1. Kumuengua mgombea kisa Hana shughuli ya kiuchumi ni upumbavu wa hali ya juu Kuna wazee walio na umri wa miaka 60 na kuendelea ambao wengi wao hawana majukumu ya kiuchumi ya kuzalisha mali je...
Wakuu,
Baada ya kuwepo kwa sintofahamu ya kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani, Amos Makalla amejitokeza hivi karibuni na kusema kuwa vyama vya upinzani vinafanya upotoshaji
Makalla amesema kuwa...
Wakuu,
Wakienda kukata rufaa wanakuta ofisi zimefungwa! Imekuwa kama mchezo wa paka na panya!
====
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI), Mohamed...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa, (TAMISEMI), amesema kinachofanyika kuhusu ofisi za watendaji kudaiwa zimefungwa ni propaganda kwa kuwa...
Wakuu,
Kumekucha...kumekucha huko, mpaka tumalize uchaguzi huu tutaona mengi.
=====
"Magufuli aliruhusu mambo yanayotokea 2019 na 2020, tulinyamaza watu (wengine) wakashangilia, Mungu...
Mwenyekiti wa CHADEMA Singida Mjini, Shahibu Mohamed amesema wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi Singida Mjini ndio waliowawekea mapingamizi wagombea wa Chadema na si wagombea wa CCM
Kuna mgombea wa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Tundu Lissu amesema katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu 2024 umekishwa kikubwaa watapigania wagombea waliobaki tu lakini huu kifupi umekwisha...
Wakuu nikiri Mimi ni muumini wa haki bila kujali chama chochote Cha kisiasa.
Maslahi ya taifa na nchi yetu ndo muhimu zaidi kuliko maslahi ya chama au maslahi ya Kiongozi yoyote kwenye nchi hii...
Hakika uchaguzi za serekali za mitaa wengi tunafahamiana na nathubutu kusema chaguzi hizi ni "" tega nikutege, mwiba!""
Bwana mmoja katika mtaa wangu, ambaye tunafahamu kweli namaanisha in and...
Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X
"Kata ya Marangu Mashariki Kijiji cha Lyasongoro Msimamizi wa uchaguzi amewawekea wagombea wa Chama cha Demokrasia Maendeleo...
Tundu Lissu akizungumza na waandishi wa Habari Mkoani Singida amesema wagombea wao wengi waliwekewa mapingamizi hata kabla ya majina yao kubandikwa
Singida tulisimamisha wagombea takriban 1225...
Ni mwendo wa kuwa chawa tu mpaka uhakikishe kambo yako imefungwa vizuri kwenye mtu uanze kula!
====
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya...
Inasikitisha sana kuona nchi inayofuata utawala wa kidemokrasia inakumbwa na mambo yasiyofuata sheria, taratibu, na kanuni kila inapofika wakati wa uchaguzi. Wagombea wengi kutoka vyama vya...
Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Dodoma, Aisha Madoga, ameahidi kupambana kuhakikisha wagombea wa chama hicho walioenguliwa katika uchaguzi wa serikali za...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) katika wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, hivi karibuni imeficchua kwamba baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wanatoa rushwa kwa wagombea...
Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania (CHADEMA), Freeman Mbowe amewataka watu chama hicho walinde kura na kuhakikisha hakuna kura inapotea wa inaibiwa katika uchaguzi ujao wa Serikali za...
Wakuu,
Ni mwendo wa maigizo tu mpaka kieleweke.
=====
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewaomba wanachama katika maeneo...
Hali ni mbaya sana kuelekea kwenye uchaguzi wao serikali za mitaa. Ukiachilia mbali kule kuchezea daftari la wapiga kura kwa:
Kuongeza majina bbandia
Kuongeza majina ya waliopotea
Kuongeza majina...
Wagombea wangu wote wameenguliwa.
Waliobaki ni wale wanaobebwa na serikali ambao sisi wananchi hatuwataki.
SITOPIGA KURA KUWACHAGUA WALIOCHAGULIWA TAYARI
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Kwa Mkurugenzi wa Itifaki wa Chadema, John Mrema aliyoisambaza Dunia nzima , Kwamba hata wale wawili watatu wa Chadema waliopitishwa kugombea uenyekiti wa Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.