Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

RC Geita amezungumzia sakata la wananchi waliopanga kwenda kufanya tambiko kubwa kwenye kaburi la Magufuli. Amewachimba mkwara wale wote waliopanga kufanya hivyo na amewaambia maswala ya...
7 Reactions
68 Replies
5K Views
Ndugu Zanguni leo ndio nimehitimisha majukumu yangu ya mradi unaohusisha mambo ya Jamii kupitia shirika lisilo la kiserikali la WORLD VISION. Pamoja na mengine nimekuwa nikikaa kwenye vijiwe...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
January Makamba akijibu hoja za wabunge kuhusu kukatika kwa umeme, kwanza alimlaumu mbunge Musukuma kwa kumshambulia yeye binafsi na kueleza kazi ya ubunge sio kushambuliana na kama ana matatizo...
12 Reactions
213 Replies
14K Views
Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imetaja mambo matatu yanayochangia kupanda kwa bei ya mafuta ikiwemo uwezo mdogo wa maghala ya kupokelea na kuhifadhi mafuta nchini. Mwenyekiti wa kamati...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwa kutambua umuhimu wa mradi wa kufua umeme wa Mto rufiji Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu wametembelea bwawa la kuzalisha umeme la NYERERE Hii ni hatua kubwa za kuenzi legacy ya JPM...
11 Reactions
110 Replies
13K Views
Kwa kweli ni mambo ya kushangaza sana tukio la Lissu kukutana na mama na shangaa watu wakiponda na wengine kuingiza ushabiki wa vyama. Wote ni viongozi na wanasiasa wanachokiongelea si kwa faida...
4 Reactions
4 Replies
773 Views
Leo mbunge Musukuma akichangia Bungeni, amesema moja kati ya sababu za mradi wa bwawa Hilo kukwama, ni kwamba ujenzi wake ni substandard (chini ya viwango). Bila shaka Medard Kalemani ana kesi ya...
8 Reactions
91 Replies
8K Views
Niende Moja kwa Moja kwenye lengo. Tangu 2007 baada ya Serikali kuanguka kutokana na matokeo ya tume huru iliyoongozwa na kaka yangu Mwakyembe, watanzania waliaminishwa Lowasa ni mbaya sana...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Picha: Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi Serikali ya Zanzibar imeeleza kuwa hivi sasa hakuna mgonjwa hata mmoja wa Ugonjwa wa Uviko19 (Covid-19) japokuwa hawawezi kuweka wazi kama ugonjwa huo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
"Mwaka sasa umetimia tangu ututoke. Ulituachia misingi imara kiuongozi. Tumeendeleza wosia wako wa kututaka kupigania Maridhiano ya Wazanzibari kwa nguvu na juhudi zote. Tumeendelea kushikamana na...
4 Reactions
8 Replies
829 Views
Mkurugenzi TAMWA-ZNZ awashangaa wanaotaka mabadiliko ya sheria Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa habari wanawake TAMWA-ZNZ Dkt,Mzuri Issa amesema mtazamo wa baadhi ya wanajamii kutaka watoto...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanajamvi, Waswahili walisema chelewa ufike. Na pia Bora nusu shari kuliko shari kamili. Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kwa Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu kwa hatimae kumuelewa Mheshimiwa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mama anazidi kuonesha jinsi alivyo na moyo wenye hekima, utu na upendo. Tazama, amesafiri kutoka Ufaransa kwenda Ubelgiji akiendelea na ziara yake barani Ulaya. Kufika Brussels, Ubelgiji anapokea...
12 Reactions
40 Replies
3K Views
Awanu ya sita ni awamu ya Katiba, ni ushahidi tosha kuwa kutii na kuheshimu Katiba ya nchi kunalipa sana. Taifa limevuka salama baada ya kifo cha Mh. Rais Magufuli kwakuwa Katiba yetu haikupepesa...
0 Reactions
2 Replies
739 Views
Inaweza kuwa kama ndoto, lakini mambo haya hutokea. Hakuna aliyejua kuwa Mzee John P. Magufuli angekufa mwezi uliopita. Wengi walidhani na hata kuanza kufikiri kubadili katiba ya nchi ili...
9 Reactions
63 Replies
5K Views
Anasema hata kama una matatizo na Mh. Samia kuwa rais au yeye (Januari) kuwa waziri tutafute jambo jingine siyo mambo ya nje. Hii ndiyo rubbish ya Januari. Katika mjadala ule hakuna...
34 Reactions
47 Replies
4K Views
Rais Samia ametembelea ofisi za kampuni inayojenga bwawa la Nyerere iitwayo Arab Cintractors nchini Misri. Rais Samia pia amekutana na wawekezaji mbalimbali wa nchi hiyo. Waziri wa mambo ya nje...
9 Reactions
69 Replies
9K Views
1. Mhe. Rais ameonyesha wanadamu wenye damu ya siasa Kwamba hakuna Nchi itapiga hatua ikiwa vipande vipande. Tanzania ilimkosea Tundu Lisu Kwa Yale yaliyomkuta, Tanzania ilimkosea Tundu Lisu...
33 Reactions
75 Replies
5K Views
Waziri Makamba umeonyesha kiwango kidogo cha ukomavu, kwa kusema wabunge wanakubana kwa sababu ya uwaziri wako. Hii ni kauli inayopaswa kutolewa na mtu ambae sio msomi, hakuna wabunge wenye shida...
26 Reactions
93 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…