CCM wakimsimamisha Emanuel na Lissu nafasi ya urais nitaondoka na Lissu sio Emma japokua mwana ccm mwenzangu nina sababu za msingi kama tatu.
Emanuel ni mtu mwenye misimamo Ila ni mtu muoga...
https://youtu.be/DmMvTZn92Cs?si=Pdj11TtTgLHCmAPc
Tazama na sikiliza hii mpaka mwisho.
Ameanza kwa kunukuu maadiko haya toka katika Biblia - Neno la Mungu ambayo ni Habari Njema kwa Watu Wote...
Aliyàhalalisha na yakashika mizizi mpaka leo.
Kwangu mimi hilo linatosha kumtupa kapuni! Kwanini?
It is because it involves merciless killing of human life .na mengine yaliyofuata!
Ripoti inasisitiza bila huruma kuwa hitimisho lake halikutokana na mawazo au tuhuma, bali ushahidi wa moja kwa moja kutoka kwa wale waliohusika. Metrics za ushiriki mkubwa zilimsaidia Tume...
Wajinga wakitamalaki ,Dunia inakua sehemu ya kichekesho.
Hata hivo, HATUWEZI KAMWE KUSAMEHEE MAUAJI HAYA.
Yeye amuombe Mungu msamaha, sisi hatusamehe, NA HILI LITAKUA JUU YAO NA VIZAZI VYAO HATA...
Inawezekanaje TCRA na JAB kuruhusu Diwani wa CCM Kata ya Kariakoo Haji Sunday Manara kufanya kazi za utangazaji wakati bado ni mwanasiasa active mwenye nafasi ya uongozi?
Je, sheria inaruhusu...
Aliyekuwa mgombea nafasi ya Urais mwaka 2025 kupitia chama cha NLD, Doyo Hassan amewaasa Watanzania kuacha kuwatukana na kuwakejeli Wajumbe wa Tume ya Uchunguzi kwani kwanza ni wakubwa wa umri na...
Mjumbe wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, Balozi Radhia Msuya, ametoa ufafanuzi kuhusu idadi ya vifo iliyobainishwa katika ripoti ya tume hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo...
Wakuu,
Angalia tofauti ya jumbe hizi jinsi Marekani ilivyowatakia heri nchi hizi halafu linganisha na kwetu, jua linakaribia kukucha bana! Serikali ya Sakia na genge lake haikubaliki kokote, ni...
Mchakato ni kama ufuatao;-
Gas turbine kubwa ya kuzalisha megawatts 100 ni usd million 20 sawa na kama tsh Trillion 40+ kama
Mfano wa gas turbine zinazozalisha megawatts 100+
General Electric...
Ukinunua Mafuta utakutana na tozo nyingi sana lakini kati ya hizo Kuna
-Tozo ya maendeleo ya reli
-Tozo ya maendeleo ya Bandari
-Tozo ya maendeleo ya Barabara
-Tozo ya maendeleo ya maji nk
Sasa...
Emmanuela Mtatifikolo, ameonesha dhamira yake ya dhati ya kuwatumikia wananchi kwa kuchukua na kurejesha fomu ya kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Isimani.
Hatua hii inaakisi utayari wake...
Porojo zote, usushi wote, stori nonsense na uongo wote wa hata baadhi ya wadau wa JF kuhusu Oct.29.2025 umefutwa na kuzikwa rasmi na ripoti maalumu ya tume ya jaji chande, iliyojaa ukweli na...
Wote tunajua baada ya kuondoka Magufuli anayeweza kutoka macho makavu na kupinga rushwa na Ufisadi akiwa macho makavu ni Tundu Antipas Lissu tu wengine hawajapata nafasi kama Makonda alivyodai...
Kwakweli kuwa mnafiki mi siitaji kamwe
Lakini nifenyeje jaman Mimi siitaji kuwa mnafiki Mimi siwezi waombea watu walio jiweka madarakani kwa kuuwa watu 518 please please padri padri Baba yangu...
Kwamba umoja, mshikamano na kujipanga kiteknojia na kijeshi ni jambo muhimu sana.
Wananchi kukataa Propaganda za wanaharakati na nchi za magharibi ndio msingi wa uzalendo.
Tujifunze kwamba sote...
Waandishi Habari wa Tanzania uwezo wao unaishia kwenye kuwahoji viongozi wa level ya Ubunge kushuka Chini na si zaidi ya hapo
Kumuhoji Nguli kama Aziz kunahitaji Utulivu mkubwa wa akili na tumbo...
Mara zote huwa sihangaiki na masuala ya CCM, lakini linapokuja jambo la kuparurana, kulogana na kuuana huwa nafurahia
Pamoja na kushinda kinachoitwa kura za maoni huko Isman wazito wa CCM...
Licha ya kuongoza kura za Maoni katika Mchakato wa Uchaguzi wa Ubunge, Jimbo la Isimani (Mkoa wa Iringa), Kamati Kuu ya CCM, imemuweka kando Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama @fred_vunjabei...