Mwaka 1962, Mwalimu Nyerere aliandika kitabu kidogo cha kurasa 20 kinaitwa TUJISAHIHISHE. Kwa maoni yangu wana CCM ni vema tukajikumbusha maudhui yake ili tulisaidie taifa.
Katika kitabu hiki...
CDE SAMIRA KHALFAN ASHEREHEKEA SIKU YA MAMA DUNIANI KWA KUTEMBELEA SHULE YENYE WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM ATOA RAI KWA JAMII KUWAJALI NA KUWATHAMINI, AKABIDHI MATENKI YA MAJI, MASHUKA NA...
Usiku wa kuamkia leo kupitia kwa kinachoitwa tamasha la mama, Gerson Msigwa akiwa UDOM amekumbana na zomea zomea hadi kutoa vitisho.
Zomea zomea hiyo ilikuwa akianikizwa na maneno "No reforms No...
Wakati wa Magu tulikuwa tunajua ni mtu anayeamini njia yake pekee sio mtu ambaye alikuwa mrahisi kumshauri. Kwa ufupi Magufuli alikuwa mtu wa msimamo mkali. Hivyo haikushangaza sana kwa yake...
Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda amesema;
"Mwezi Oktoba mwaka huu nchi yetu inatarajia kufanya uchaguzi mkuu, katika kulizungumzia jambo hilo nyeti tumeona ni...
Mch Mkubwa Ezekiel wa Kenya ashauri mambo mazito waombaji jinsi ya kuombea Tanzania uchaguzi mkuu na alichokiona baada ya mtanzania kutaka maombi yake kuwa anataka nchi zote za jumuiya ya Afrika...
Huyu mama sasa hajapindisha maneno wala kuongea kwa tafsida kama Gwajima, yeye amelenga mulemule kwa mama.
===
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa wa ACT Wazalendo, Janeth Joel Rithe amesema...
Kupitia Instagram story yake Msemaji mkuu wa serikali na katibu mkuu wa wizara ya habari utamaduni sanaa na michezo Gerson Msigwa ameweka ujumbe unaojibu tukio la kuzomewa jukwaani na wanafunzi wa...
Makelele na mayowe ya mitandaoni yaliyopambwa na dhana potofu ya no reform no elections, hayana faida wala athari zozote kwenye uhuru na haki za wananchi kukamilisha maandalizi ya mwisho ya...
Huu hapa ni Mkutano wa saa 5 Asubuhi, ambako kazi ilikuwa Rahisi sana.
Wananchi wamekumbushwa kauli za Nape Nnauye na yule DC wa Longindo, zile za kuteka na kutupa watu maporini kwa sababu za...
Natoa tu angalizo kwa sababu wasiwasi ndio akili
Mfano Wajumbe wa Jimbo la Kongwa wakizingua Unadhani kutafuata nini?
Huu mchezo wa No Reforms ni upuuzi unapobaki huko Upinzani ila ukihamia na...
Nipo Salama! Hofu Kwenu!
Tunahitaji reforms sio kwaajili ya Chama Fulani bali kwaajili ya vyama vyote.
Reforms kwaajili ya CCM,
Reforms kwaajili ya CHADEMA,
Reforms kwaajili ya vyama vyote vya...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi,Mbunge wa Jimbo la Babati vijijini Daniel Sillo amewahakikishia Wananchi wa Jimbo Lake kuwa serikali itaendelea kuwasogezea huduma zote muhimu na wapinzani...
Niseme wazi kwa Sasa Mtanzania wa Leo hata mwanasiasa amfanyie Nini atanungunika tu na atahoji na kuhitaji zaidi!!
Hata uwape ajira mamilioni, uwape mikopo yote, uboreshe elimu, afya na barabara...
Akiwa anachambua kauli ya No Reforms No Election, Zungu ambaye ni mchambuzi maarufu wa siasa nchini amesema na mtangazaji wa kipindi cha Morning Bantu cha ST Bongo amesema:
"Kama...
Msikilize Nape Nnauye anavyoelezea jinsi wanavyoweza kubadili matoke ya Kura yako uliyopiga bila kujali matokeo halisi ya kura.
Nape Nnaye amewahi kuwa Katibu Mwenezi wa CCM. Wakati akitoa kauli...
Kiongozi wa Chama Kikuu cha upinzani Tanzania kaongea tena. Ni mwaka wa bilionea Hashim Rungwe, atamba na kusema yuko tayari kumuachia Mbowe uenyekiti wa chama. Piga picha mabilionea wawili wakae...
Watanzania huwa tunafuatilia hotuba za kiongozi wetu mkuu wa nchi, from A-Z tunajua Rais alichozungumzia. Jana Rais alikuwa kwenye ibada ya Iddi Kinondoni-Dsm, mashehe walisisitiza amani, utulivu...
UTANGULIZI.
Awali ya yote napenda kumshukru mwenyezi Mungu, muumba mbingu na nchi kwa kutujaria uhai, nguvu na uwezo wa kutukutanisha leo tukiwa wazima buheri wa afya.
SHUKRANI.
Kabla ya...
kumbe kuna kampeni za unfollow mtandaoni ngoja na mimi nika unfollow samia na watu wote serikalini kuunga mkono damu zilizo mwagika na mabadiliko.
Nasimama mstari wa mbele kuunga mkono wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.