Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa majibu kwa chama cha ACT Wazalendo kuhusu ombi lao la kuchukuliwa hatua dhidi ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos...
Dawson Kagine kupitia Mtandao wa X, amesema kuwa
''Amos Makalla ashtakiwa Kwa kesi ya Jinai.
Mimi na ndugu Yangu wa damu Martin Maranja tumemshataki Ndugu Amos Makalla Kwa matamshi yake ya...
John Mnyika, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kusema hatua alizochukua dhidi ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na...
Oktoba 2025 Kura yangu sahihi nitampigia Dr Samia na wagombea wote watakaopitishwa na vikao halali vya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Lucas Mwashambwa
Lucas mwashamba
ChoiceVariable
Tlaatlaah
Wadau, 2023 rais Samia aliunda tume ya kuchunguza mfumo wa utoaji haki....Haki Jinai, kuangalia namna polisi, Takukuru, kitengo cha madawa ya kulevya, magereza na ofisi ya mwendesha mashtaka...
Alipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu...
Mafioso wana kaulimbiu yao inasema usifanye jambo kwa kukurupuka wala kwa shinikizo maana hutafaulu kutokana na makosa mengi ya kiufundi.
Katika hali ya kuchanganyikiwa baada ya kushindikana...
Wananchi wa Ileje kutoka Ikinga, Isongole, Ngulilo, Ndola, Luswisi na Itale kwa pamoja wameonyesha uzalendo wao kwa kumchangia gharama za kuchukua fomu ya ubunge. Msomi Dr Ntimi Mtawa ili agombee...
Wakuu
Mbowe kaamua naye, kamteua Boni Yai
Freeman Mbowe mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA amemteua Mjumbe na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, akizungumza na wananchi wa Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi wa Soko la Nyama Choma la Kumbilamoto lililopo Vingunguti, amesema...
Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza akiwa Kata ya Chang'ombe Wilaya ya Songwe kwenye mkutano wa hadhara amewaasa Wanaume kutokimbia majukumu yao ya kutoa matunzo kwa...
Nawatakia mema na kila la kheri watia nia wengine wote wa CCM maeneo mbalimbali nchini, wa ubunge pamoja na wale wa udiwani.
Tuheshimiane na daima kua wastaarabu miongoni mwa watia nia wengine...
Huko CCM nikadhani uchawa ni kwa mwenyekiti wao tu kumbe hadi wabunge sasa hivi wanafanyiwa uchawa?
Madiwani mmekuwaje lakini?
========================================
Diwani kata ya Zingiziwa...
Wakuu,
Akiwa kwenye kile kipindi cha Cafe Talk, Silaa amesema kwamba kutokana na kufungiwa kwa X Tanzania, Serikali ime-discourage taasisi zake kutumia mtandao wa X ili kuendana na katazo hilo...
Wakuu,
Zile mbwembwe na tashtiti za Uchaguzi zimeanza rasmi. Huyu kaamua kuubwaga Ukuu Mkoa wa Iringa na kwenda kugombea Ubunge!
========================
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Peter...
Kwa mfano Prof Kabudi, mh Lukuvi nk wamerejeshwa na Nape Nauye, Angela Kairuki, January Makamba nk walirejeshwa na sasa wametumbuliwa tena
Kuna Siri gani katika kuwaamini Mno Watendaji wa Shujaa...
Wakuu,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu William Lukuvi ameitaka Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu kuandaa Daftari la Faida litakaloonesha kazi na shughuli za...
Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Festo Kiswaga, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea ubunge katika Jimbo la Isimani, mkoani Iringa, katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Akizungumza na waandishi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.