Unaweza kushangaa hizi kampeni zote za Lugumi akimwaga Pesa, mara watoto Yatima n.k zina lengo gan na kwanini nguvu kubwa inatumika kumtakatisha !!.
Rais Paul Kagame, ni Rais alojaliwa kua na...
Hili ni bomba la maji lililosahaulika kutoka enzi za Zakhiem wakati wa ujenzi wa barabara. Liko maeneo ya Mkolani Nida.
Limekuwa kero maana maji yanatiririka muda wote na kutuama kama...
Mombo Seleman aliyekuwa kwenye nafasi ya ubalozi ukanda wa Amerika Kusini wakati wa Nchimbi atachukua nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyepo sasa!
Swali kwanini kwa kipindi hiki...
Mh. Rais Samia ,Waziri wa Elimu Prof.Mkenda na Wizara ya Elimu kwa ujumla kwanza napenda kupongeza mfumo huu Mpya wa Samia Scholarship ulioanzishwa kutoa ufadhili wa Masomo vyuo vikuu 100% kwa...
Ikiwa kama mustakhabali wa VITI MAALUMU Ndani ya Chama Utaamuliwa Kwa Rushwa tena
Rushwa ya Wazi Wazi basi hadhi ya Uwakilishi wa kundi Hili maalumu hauna faida yeyote Ile kwetu sisi Wanawake...
Tulisikia kuwa TAKUKURU watakuwa macho sana na vitendo vyaRushwa wakati hiu wa uchaguzi. Inawezekana hili likawa kweli au siyo kweli.
Huku kwetu Rushwa inagawanywa waziwazi mchana kweupe. Katika...
Waliotoa mchele na pesa ndani ya CCM mwaka wa uchaguzi wameitwa watoa rushwa lakini Rais Samia ametoa baiskeli na manguo na yeye mbona hamsemi anagawa rushwa ? mwambieni Samia unatoa rushwa pia...
Mbunge mmoja Mkoani Shinyanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amedaiwa kugawa pikipiki kwa baadhi ya viongozi wa kata wa chama hicho ikiwa ni kishawishi cha kumpigia kura kwenye kura za maoni za...
Tembelea, Kijiji Cha Itumbi, kilichopo kata ya Matundasi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya.
Kuna wachina ambao ni wa Tanganyika na wanajiandaa kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025...
Mchakato wa uchujaji wa wagombea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi Vijijini umetawaliwa na tuhuma nzito za rushwa, upendeleo na ubabe wa viongozi, hali iliyopelekea sintofahamu...
JIMBO LA ITIGI LIMEOZA JAMANI:
ORODHA YA MIRADI AMBAYO ILITOLEWA FEDHA NA SERIKALI NA BADO HAIJAKAMILIKA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI MKOA WA SINGIDA.
Huyu Mwenyekiti wa Halmashauri...
Wakuu
Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha...
Nasikia ni muda sasa umepita mtambo wa kuchemshia vifaa vya upasuaji hapo hospitali ya mkoa Amana umekufa,ili upasuaji ufanyike vifaa vinaendea kuchemshwa sehemu nyingine nje ya hospitali.
Kwa...
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kata za Jimbo la Moshi Mjini wamealikwa na Mbunge wa jimbo hilo Mhe. Priscus Tarimo katika ukumbi wa CCP uliopo Chuo cha Polisi Moshi leo 19.6.2025 kwa...
WAZIRI WA ELIMU PAMOJA NA MKURUGENZI WA TAASISI YA ELIMU WAMESHINDWA KUSIMAMIA SYLLABUS NA MIHULA YA SHULE: SHULE BINAFSI ZINA MIHULA NA LIKIZO ZAO TOFAUTI
Katika suala hili msomaji zingatia...
Mbunge wa Sumve, Kasalali Mageni, ameibua hoja kuhusu ongezeko la wafanyabiashara kutoka mataifa ya Asia, hususan China, akisema kuwa pamoja na wingi wao, wamekuwa na tabia ya kukwepa kodi...
Mh. Waziri hongera kwa jinsi unavyomsaidia Rais wetu kwa uchapakazi wako uliotukuka. Watanzania tumekushuhudia unavyofanya kazi usiku na mchana kusaidia watanzania dhidi ya madhila ya ukatili wa...
Aliyekuwa naibu katibu Mkuu CHADEMA bara Salum Mwalim ana hela chafu.
Ana hela hadi zinamwagika. Mimi kanipa laki tatu za kibongo.
TAKUKURU mpo wapi? Nipo tayari kutoa Ishahidi. Mkoba wenye Hela...
Malori makubwa yanapita juu ya Flyovers jijini Dar na kuna hatari kubwa mambo mengi yakatokea ikiwepo uharibifu wa miundombinu husika iliyojengwa kwa kodi zetu wananchi lakini lolote linaweza...
Wakuu,
Mbunge na Waziri wa katiba na Sheria Damas Ndumbaro akiwa Songea ukumbi wa bombambili, alitoa 'posho' ya Tsh. 20,000/=kwa Kila mjumbe.
Ambapo wajumbe hao ni wapiga kura za maoni ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.