Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoani Simiyu kuepuka kugawanywa kwa itikadi za vyama na badala yake kudumisha Amani na...
0 Reactions
4 Replies
610 Views
Wakuu, Sidhani kama hizo sehemu nyingine mambo yatakuwa tofauti. Serikali (CCM) itasema mchakato ulikuwa wa huru na haki, wamepokea hata mapingamizi tena wakaongeza na siku za kupokea mapingamizi...
0 Reactions
6 Replies
656 Views
Wakuu naona mambo yanazidi kuwa tofauti na vile ilivyotarajiwa licha ya imani iliyojitokeza baada ya Nchimbi kutoa kauli. Ama ndiyo kusema wote makosa yao ni makubwa makubwa?
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Majibu yaliyotolewa na Kamati leo tarehe 15 Novemba, 2024, ambapo hakuna mgombea yeyote aliyeshinda katika majibu hayo ya mapingamizi kwa sababu zilizoambatanishwa ikiwa ni rufaa hizo...
1 Reactions
72 Replies
3K Views
Nimeshangazwa na chama cha ACT-WAZALENDO siku ya kesho wanaenda kuzindua ilani ya chama chao kwajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa uchaguzi upi? Kwa wagombea wepi? Katika jukwaa ili kuna...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Bara, Tundu Lissu, ameweka wazi aina ya watu wanaostahili kuwa viongozi ndani ya chama chao. Akizungumza leo Novemba 13, 2024 mkoani Singida wakati akifungua...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Wana Jf habari za kwenu. Tulihimizwa sana tujiandikishe na elimu ikatolewa kwa wingi sana. Tulielewa tulioelewa tukajiandikisha Sasa tunahimizwa tukashiriki uchaguzi tukawachague viongozi...
0 Reactions
4 Replies
445 Views
Wagombe wa Chadema katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Wilaya ya Ubungo wametia kambi katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo mpaka jioni hii. Hawatatoka hapo mpaka wamejua hatma ya rufaa...
0 Reactions
4 Replies
514 Views
TAMISEMI kipindi kingine angalieni namna ya kuwasaidia kujaza form wapinzani. Ukiangalia tu elimu ya Mwenyekiti, uje kwa viongozi wa kanda unaweza pata picha mgombea wa kitongoji au mtaa
2 Reactions
15 Replies
865 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amewaonya Viongozi wazembe ndani ya Chama chake Lissu amewaomba Viongozi wa Chadema DSM suala la kuvumilia Viongozi wanaopewa rushwa na CCM Ili...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Dkt. Fredrick Shoo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), hivi leo amezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na zoezi la Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa linaloendelea nchini. Dkt...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu, Lema ameyasema haya baada ya uchaguzi wa kiongozi wa chama mkoa wa Arusha, mnyukano wa CHADEMA jana unazidi kuweka fukuto. Mambo yanazidi kuwa moto. ==== Lema asema bora watu 10 wenye...
0 Reactions
7 Replies
753 Views
Au tusubiri na press conference ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa ili kuthibitisha kwamba CHADEMA imegawanyika vipande au makundi matatu yanayojitegemea? Nakumbuka niliwahi kukomenti mahali kwenye...
6 Reactions
50 Replies
2K Views
https://m.youtube.com/watch?v=n0BhBYsZeyw Dkt. Grace Magembe naibu katibu mkuu OR TAMISEMI awapa ukweli waandishi wa habari na serikali kwenda kijiditali katika kuelimisha umma wakati wa semina...
3 Reactions
10 Replies
693 Views
Akizungumza kwa niaba ya Baraza la Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Fredrick Shoo, ametoa wito kwa...
0 Reactions
2 Replies
499 Views
Baraza la Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) limewataka wananchi kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27. Wito huo umetolewa na Askofu Mkuu wa...
0 Reactions
3 Replies
609 Views
Wakuu, Nadhani niliweka uzi jana kama si juzi kuhusu kiupepo hiki cha wananchi kuhojiwa wakisifia OR TAMISEMI kusimamia vizuri mchakato wa wagombea kuchukua fomu na mpaka tamko la muda kuongezwa...
2 Reactions
1 Replies
398 Views
Wakuu, Inaonekana kauli za Amos Makalla za hivi karibuni zimewakera sana viongozi wa CHADEMA ambao hivi karibuni wamejitokeza rasmi kumjibu. Akiwa anazungumza kwenye mikutano tofauti tofauti...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Akizungumza hii leo na waandishi wa habari kuhusiana na zoezi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa linaloendelea nchini, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Wakuu, Mambo yanazidi kuwa ya moto, kama ndani kwa moto, nje wataweza kweli kuzima moto? Watatoboa kweli November 27? === CHADEMA kimejitokeza hadharani kukanusha vikali tuhuma zinazohusishwa...
0 Reactions
3 Replies
580 Views
Back
Top Bottom