Kama hujuma wanazofanyiwa Wagombea wa upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa hazima baraka za Kiongozi wa Nchi, nashauri yeye mwenyewe awaite viongozi wa vyama vya upinzani kisha asikilize...
https://www.youtube.com/live/hM2imb4c6lE?si=k17W_0YvvGSkfLRI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka wagombea wote ambao hawajaridhishwa na...
https://www.youtube.com/live/vyP3aX84nHw?si=XkBNYCZhDqiFYwCB
PICHA NA MATUKIO YA UZINDUZI WA ILANI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, VIJIJI NA VITONGOJI
Huu ni Ukumbi wa Hakainde Hichilema; upo...
Wakuu,
Hivi karibuni Msemaji mkuu wa Serikali amejitokeza kuzungmzia uwepo wa taarifa potofu na za uwongo katika kipindi hiki cha Uchaguzi kwa kusema kuwa historia inaonesha kuwa katika kipindi...
Wakuu,
Waziri Mohamed Mchengerwa hivi karibuni amedokeza kuwa malalamiko yanayoendelea hivi sasa kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa kwa wingi wake ni propaganda zisizo na msingi.
Soma pia...
Moja ya Sifa kuu ya Tundu Lissu ni Mkweli
Alisema CHADEMA bado haijawa na Wagombea wa kutosha kuikabili CCM
Hiyo imejionesha kwenye wilaya karibu zote
Mfano mzuri ni Kilosa Vijiji 138 Chadema...
Viongozi Dini Mkoani Iringa wametoa wito kwa Vyama vya Siasa, wagombea na wananchi kuwa wastaarabu wakati wa Kampeni na baada ya Uchaguzi iku kulinda na kudumisha amani iliyopo nchini.
Pia, Soma...
Wakuu,
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Kagera imewaonya wagombea wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024...
Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Dodoma wameviasa vyama vya siasa nchini kudumisha amani wakati wa kukamilisha michakato ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024
Pia, Soma...
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, ACP Amon Kakwale, amewataka waandishi wa habari kutumia kalamu zao kama nyenzo ya kuimarisha mshikamano wa Watanzania badala ya kuleta mgawanyiko...
Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga imeanzisha kampeni ya kuhamasisha wananchi kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, kwa kutumia michezo...
Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam wamesema, baada ya kukamilika kwa mchakato wa kujiandikisha kwenye Daftari la Mkazi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni wakati wa wananchi kujiandaa...
Viongozi wa Dini mkoani Manyara wametoa wito kwa vyama na wagombea wa vyama vya siasa kutumia lugha za kistaarabu wakati wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa zinazoanza Novemba 20 mwaka huu...
Wanawake wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara wamewataka Wagombea wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wanachi kwa ujumla Wilayani humo kufanya na kushiriki kampeni za kistaarabu katika uchaguzi huo...
Wakuu
Kumeanza kuchangamka huko Arusha
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Godbless Lema, ameagiza wanachama wote waliofanya fujo wakati wa zoezi la...
Kwamba wanasababisha fujo, ikumbukwe kwamba Wagombea wa uchaguzi wa serikali za Mitaa wa Chama hicho wapo kwenye ofisi za Halmashauri kusubiri hatima yao
Ngoja tusubiri namna watakavyopigwa kwa...
Mtendaji wa kata ya kiwira ambaye ni kada mtiifu wa CCM anahujumu uchaguzi pamoja na mtendaji wa kijiji cha Mpandapanda wamewaengua wagombea wote wa CHADEMA kijiji cha Mpandapanda au Kiwira Mjini...
Mchengerwa:
1. Unaona kabisa anajiamini kusema analolisema. Unaona kabisa kuwa ana mamlaka Kuu inampa kiburi na arrogance!
2. Hakuna kitakachobadirika.
3. Kama alisema Lisu, uchaguzi umeisha...
Viongozi wa CHADEMA wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wakieleza jinsi rufaa zao za majimbo ya Moshi vijijini, Moshi mjini na Vunjo 'zilivyogonga mwamba' chini ya Mwenyekiti wa kamati ya rufaa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.