Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiJorums.
Waziri Kabudi alikosea sana kuikana kauli yake juu ya kifo cha Azory Gwanda. Alipaswa kukubali kwamba ni kweli alikufa ndani ya...
Huu ni mwanzo... Tuanze kujiandaa na yale yajayo siku za usoni. Maji yameanza kupungua tena kwenye mabwawa.
Tulicheleweshwa sana kimaendeleo. Sasa tutaweza kuifungua nchi vizuri na kurudisha...
Kauli iliyotolewa na Mkuu wa wa Dar, Amos Makala, kwa wazazi wa watoto kuwa atakayemkosa mtoto wake nyumbani, basi anapaswa aende kituo cha Polisi au hospitali kwenda angalia kama yuko huko, ni...
Moja ya majukumu makubwa kabisa ya serikali ni kuwalinda watu wake dhidi ya changamoto zote za kiusalama na kuwahakikishia amani na utulivu.
Jukumu la Serikali si tu kulinda watu wake kutokana na...
Wiki iliyopita Spika alivunja baadhi ya Kamati za Bunge na kuziunda upya. Ikumbukwe kwamba kamati hizo zilivunjwa wakati vikao vya kamati vikiendelea sambamba na taasisi za serikali kuhojiwa mbele...
Tanzania ni ya pili kwa unafuu wa bei ya mafuta Afrika Mashariki, ahueni iliyotokana na ruzuku, TZS bilioni 100, inayotolewa kila mwezi Na Mhe. Rais Samia Suluhu. Kushuka kwa bei ya mafuta...
Kitendo cha mbunge Cecilia Pareso kuhoji kauli ya Mamlaka ya juu kuhusu maji ya kuoshea samaki wa ziwa Victoria Ilikuwa kama kumtega waziri Ulega
Nipo hapa Soko la samaki Kunduchi kiukweli Bei...
JE KIKWETE NA MEMBE NI NDUGU WA KUZALIWA TUMBO MOJA?
Nichukue fursa hii kuwashukuru wasomaji,wakosoaji,wauliza maswali na watoa maoni wote wa jukwaa hili kwa kila ninachoandika na kukiweka humu...
Ukiangalia gharama kubwa za maisha zinavyozidi kuwatesa wananchi, kila kitu kimepanda bei kuanzia chakula, mafuta, vifaa vya ujenzi ndio kabisaaaa. Kuna wakati najiuliza tulitumia zaidi ya Tsh...
Tunajua wote kuwa MzeeMwinyi kabla ya kujiingiza kwenye siasa na kufikia cheo cha Urais alikuwa mwalimu
Tunaomba mwenye kujua shule alizopita kufundisha Ili tuweke kumbukumbu kwa vizazi vijavyo
Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu, Balozi Marten Lumbanga amesema mabadiliko ya Katiba hayakwepeki, huku akiwataka viongozi wa Serikali na CCM kutopuuza madai hayo.
Balozi Lumbanga aliyekuwa Katibu...
Haki za binadamu zikiwamo za kuishi, usalama, kulindwa, kujilinda, kusikilizwa n.k, si hisani. Anasema beberu: "Human rights aren't negotiable."
Hizo haziombwi. Zaidi sana anasema beberu: "Human...
Moja kwa moja kwenye mada.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa upande wa Bara Comrede Kinana ameitaka Serikali ya CCM kuanza maandakizi ya kujenga Barabara ya TANZAM kutoka Dar hadi Tunduma kuwa njia...
Kwa mtazamo wangu, Sasa Nchi yetu inapita katika kipindi kigumu sana.
Ukitazama mbele unakutana na TOZO.
Ukigeuka nyuma unakutana na PANYAROADS.
Ukigeuka kulia unakutana na MFUMUKO WA BEI WA...
Huyu Mwananchi mkuu wa Wilaya ya Temeke mh Jokate baada ya kuonyesha utumishi uliotukuka kuwashughulikia Panyaroad anastahili kupandishwa kuwa RC DSM
Sabato njema!
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), imepunguza gharama za safari zao za ndege kwa wanafunzi wanaosafiri kutoka Tanzania kwenda China kutoka Dola za Marekani 3800 hadi Dola za Marekani 2100...
Sindi Mzamo, Rais wa circle of global business women (CGBW), amesema Rais wa Tanzania Samia Suluhu ni Champion wa Utalii Afrika aungwe mkono.
Aliyasema hayo jijini Johannesburg Afrika kusini...
UTANGULIZI
1. Kwanza kabisa, tunawashukuru kwa mwitikio na kufika kwenu kwenye mkutano huu muhimu. Leo tutazungumza masuala ya kitaifa kuhusu Ushiriki wa Watanzania katika Mradi wa Bomba kutoka...