Leo X nimekutana na hii list ya most powerful people on earth nimekuta Samia yupo nafasi ya nne.
Mnaionaje hii list?
Japo aliyepost kaweka na profile picture ya Samia, inaonekana ni mwanaCCM...
Kiongozi leo muda wa saa 11 Usiku polisi wamevamia nyumbani kwangu Baada ya kunikosa wamepiga watoto na kukamata Familia yangu yote,
Waliokamatwa
kelin Benedicitor Jafety mwanafunzi wa kidato...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezungumza na Global TV na kuelezea hali ya ulinzi na usalama ilivyo jijini Dar es Salaam, amesema "Hatukusema Wananchi wakae ndani"
Ila huyu baba!
===========
"Dunia imeona naWwatanzania wameithibitishia dunia ya kwamba wakiamua kulinda amani wanailinda, wasiotutakia mema jana wameaibika. Watanzania wanapenda amani na...
Gen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.
Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.
Aione
IGP
Jumanne...
Tukiweka unafiki pembeni hii kesi itageuka kilio Cha kusaga meno Kwa Samia na CCM wenzake, maana within 6 months from today lazima ICC watafungua rasmi kesi.
Ukiangalia Jean Pierre Bemba...
Jacob John Mkunda is a Tanzanian military officer who currently serves as Chief of the Tanzanian People's Defence Force since 30 June 2022.
Early life
Mkunda attended the Ruvu Secondary School...
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo amewasishi vijana na watanzania wa ujumla kuepuka kushiriki vurugu zozote zitakazoharibu amani ya taifa akieleza tayari Rais Samia tayari...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam Ijumaa hii ya Desemba 12.2025 majira ya saa 08 mchana inatarajiwa kusikiliza kesi Na. 30210/2025 iliyofunguliwa na Mwanaharakati Rosemary...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa amewapongeza Watanzania kwa kutimiza miaka 64 ya Uhuru na kuwashukuru kwa kukubali wito...
Wakuu,
Kutofanyika kwa maandamano na kuwepo kwa hali ya utulivi na amani nchini Tanzania siku ya tarehe 9 Disemba 2025 ni nani anapaswa kupongezwa, Serikali au wananchi ?
Habari zenu wazalendo na wale wasiokuwa wazalendo!!?
Naamini mpo salama kabisa.
Sasa ipo hivi, vijana tunapenda sana mabadiliko.
Lakini pamoja na kuhitaji mabadiliko, hatuhitaji kuvuruga nchi...
Wananchi wengi wanakasirika sana kuambiwa kukaa ndan kwa sababu wanakosa kufanya biashara zao, ukwel ni kwamba itakapotokea mtu anataka kuandamana tena basi wananchi watadeal nae moja kwa moja kwa...
Salaam!
Ni kama kuna dini na Imani mpya imeingia nchi ni,
Kikundi na itikadi hii ya Siri imeingia kwa viongozi mbalimbali wa dini, wasanii, wanasiasa, polisi,waovu Katika makundi mbalimbali...
Katika miaka ya karibuni, Tanzania imeingia kwenye zama mpya ambako mitandao imekuwa uwanja mkuu wa siasa. Na kadri wananchi wanavyozidi kuuliza maswali kuhusu uhuru, gharama za maisha, ajira...
Umeshinda kwa asilimia 98% alafu unafungia raia ndani una mgogoro mkubwa na wananchi huu ushindi labda wa kuchora ukutani sio wa raia.
Anamgogoro mkubwa na wananchi kwasababu hakuchaguliwa na...
Tungependa tena kuendelea kutoa taarifa ya mwendelezo wa hali ya usalama hapa nchini kuanzia saa 12 asubuhi ya leo ya tarehe 10.12.2025 hadi mchana huu.
Hali ya usalama ni shwari na shughuli za...
Hata kama polisi wakitoa kibali, ukweli ni kwamba Watanzania wengi hawapendi kuandamana kwa sababu wanaona maandamano yamekuwa fursa ya wizi na uporaji. cocastic Ndiyo maana niliwahi kusema kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.