Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya. Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya! Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
7 Reactions
59 Replies
3K Views
"Ninawaomba sana, kama ni vipigo tumeshapigwa sana, kama ni maumivu tumeyabeba sana, safari ya mwisho hii ndio tunaelezana turudi nyuma, kuna jambo gani? na leo wengine wanazunguka huko...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan, akiweka Jiwe la Msingi Makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi leo Mei 28, 2025 Jijini Dodoma amesema; "Tukio hili la kuweka jiwe la msingi la jengo la Ofisi ya Chama Cha...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Dhoruba iliyotokea sisi wengine tukasema hapana. Tukasema hapana kwasababu tunazizuia akili zetu zisitawaliwe na mihemko, tunazizuia akili zetu zijawe na sifa za kuja mbele za watu na kupigiwa...
0 Reactions
5 Replies
619 Views
  • Poll Poll
Wakuu, tunaenda kwenye uchaguzi (kama utafanyika) hivyo ni muhimu kupima hawa wabunge tuliokuwa nao, hasa kama watakuja tena kuomba ridhaa ya kugombea kwenye majimbo hayo. Huyo mbunge wako huko...
2 Reactions
14 Replies
696 Views
Wakati taifa likielekea katika uchaguzi mkuu na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likitarajiwa kuvunjwa rasmi katika siku chache zijazo, taswira ya kisiasa katika baadhi ya majimbo...
0 Reactions
7 Replies
578 Views
Wakuu vipi uko kwenye majimbo yetu? Imekua tabia ya viongozi wengi kuonekana kipindi cha uchaguzi wakihitaji kura kutoka kwa wananchi huku wakitoa ahadi nyingi za maendeleo, ambapo baada ya...
1 Reactions
2 Replies
428 Views
Akihojiwa mambo mbalimbali na kituo cha redio cha East Africa mbunge wa zamani Sulemani Bungara almaafufu Bwege amesema kwamba Chadema ndio chama makini zaidi Tanzania kwani wao wameamua kudai...
39 Reactions
78 Replies
5K Views
"Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa Samia, na kwasababu hiyo ni Jaji wa CCM na anafanya kazi ya CCM. Jaji Mwanga alikuwa kwenye Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) ya Jecha Salimu Jecha ambayo ilifuta...
27 Reactions
47 Replies
3K Views
Ukifuatilia muitikio wa agenda wa No Reform No Election utagundua kuwa ni agenda yenye umaarufu kupita chama chochote cha siasa! Muda mrefu sana ukihoji watu sababu ya kutopiga kura utasikia hata...
4 Reactions
5 Replies
570 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Bara, John Heche, amemtaka RPC wa Tabora kuacha upotoshaji kuhusu tukio la kushambuliwa kwao wakati wa mkutano wao. Pia, Soma: Polisi Tabora: Aliyemuomba msamaha...
27 Reactions
121 Replies
8K Views
Wakuu, Rasmi sasa Mwigulu Nchemba ametangaza kiasi cha pesa ambacho Serikali kitatumia kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025 Mwigulu amesema kwamba kwa mwaka huu, Serikali imetenga Tshs Bilioni 741.5 kwa...
5 Reactions
53 Replies
3K Views
Mawakili wa waleta maombi katika kesi ya CHADEMA na wanachama watatu wa chama hicho waliofungua kesi dhidi ya chama hicho wakilalamikia mgawanyo wa mali wamedai upo upotoshaji kuhusu kesi hiyo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mahakama imetoa agizo kwa Jeshi la Polisi Nchini kuhakikisha linachunguza na kumfungulia kesi ya jinai Wakili Edson Kilatu, anayedaiwa kughushi nyaraka na kuingilia mfumo wa Mahakama kwa...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
My Take Nyundo ya Mahakama Je inaweza kuwa ndio mwisho wa huo ujanja ujanja wa kutembeza bakuli la tonetone? 🤣🤣 Pia soma Breaking News: - Pre GE2025 - Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amewasilisha Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/26, kwenye Kamati ya Bunge, katika Ukumbi wa Pius Msekwa...
2 Reactions
58 Replies
3K Views
Kuna watu wanatumwa waje wasababishe hawa ghasia au sami fujo katika mikutano yenu. Mkijidai kulala nao sambamba police wataingilia na kuwatandika kisawa sawa. Kisha next time mtanyimwa vibali...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
No reform no elections ya Lisu, imefeli vibaya kama ilivyoshindwa na kukauka kabisa kampeni ya kuchangia pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone ya Lema. Unadhani , Nini sababu ya yote haya...
2 Reactions
164 Replies
4K Views
WAJUMBE TULETEENI ENG EZRA JOHN CHIWELESA NDUGU WAJUMBE. Kabla ya Mh Eng Ezra John Chiwelesa hajawa mbunge jimbo letu lilikuwa linapokea kiasi kidogo sana cha bajeti cha milioni 688 tu kwa mwaka...
0 Reactions
1 Replies
371 Views
Wakuu, Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Rais Samia amevuka matarajio ya watanzania walio wengi. Ameonyesha mwanga na nuru pale ambapo hapakuwa na nuru wala mwanga Ni miaka minne pekee...
2 Reactions
118 Replies
3K Views
Back
Top Bottom