Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WanaJF, SALAAM! Niende moja kwa moja kwenye agenda ihusuyo Uhuru wa MTU kutoa maoni "Tulia Ackson ambaye pia ni Mbunge na Spika wa Bunge kwa maoni binafsi alinukuiwa akisema kuwa "Hatutaiachia...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Toka 2014 mpaka sasa,inakaribia takribani miaka 5 tangu (WILLIAM FULTON) mwanzilishi na mkurugenzi wa kituo cha MANGO TREE ,kituo kilichokuwa kikihusika na Msaada Wa kielimu kwa Yatima,Wenye...
4 Reactions
103 Replies
17K Views
Mbunge wa huko Tanga mh Rashid Shangazi amesema PhD zinauzwa kama njugu kwani yeye binafsi aliambiwa atoe US Dollar 1500 atunukiwe. Shangazi amesema Dola 50 ni Usajili, Dola 550 Doctorate degree...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Spika anamaanisha wenye makaratasi ya PhD ya kusomea darasani wanadhalilishwa na Hawa wanaopewa PhD kwa kazi walizofanya kwa taifa lao, ni upuuzi kututaka tuyaheahimu makaratasi yasiyotusaidia...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Ameandika Baba askofu Bagonza PhD Feki Ubunge halali Ubunge Feki PhD halali Enyi Viongozi vipofu mnacheua mbu na kumeza Ngamia Mathayo 23:24 Jumaa kareem!
17 Reactions
26 Replies
3K Views
Hongera babu tale kupata PhD na usishindwe kumshukuru aliyekuweka hapo leo hupo bungeni unipiga makofi ukisikia awamu ya tano iliyopita ilikuwa na maovu. Jambo lilonileta hapa ni kukuambia ukweli...
5 Reactions
9 Replies
643 Views
Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria? Ila wewe umejitoa fahamu...
9 Reactions
120 Replies
9K Views
Kuwekeana mipaka kwenye ulaji ni jambo la hekima, lakini kuwekeana ukomo kwenye kujitolea ni ama kukosa uelewa, kukosa maarifa, au anayetaka hilo liwepo ni mnafiki, ana dhamira mbaya. Kuweka...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Mvua ya masaa tu chuo kimekuwa mto, aliyejenga hapa atafutwe awajibishwe. Mambo ya hovyo sana haya, hakukuwa na upembuzi yakinifu. Leo watu wamehailisha mitihani Dar es Salaam Campus kisa chuo...
16 Reactions
70 Replies
7K Views
Habari wakuu, Ni mdahalo kwa wagombea Urais kuelekea uchaguzi mkuu 2015. Mdahalo huu unawapa fursa wagombea Urais kuweka wazi ajenda zao kwa nchi yetu ili wananchi wazipime. Leo Jumapili Oktoba...
4 Reactions
267 Replies
28K Views
Maeneo mengine Yote ya kiutendaji na usimamizi wa nidhamu Kwenye Sekta zote Shujaa Magufuli alifanya vizuri sana Ila Kwenye eneo la kulazimisha Wenyeviti wa serikali za Mitaa nchi nzima watoke...
10 Reactions
35 Replies
2K Views
Unaombwa kutoa maoni ili kuboresha haki jinai kulingana na kipeperushi hapo chini. ===== Serikali yawakaribisha wananchi na wadau mbalimbali kutoa maoni na mapendekezo kuhusu jinsi ya kuboresha...
0 Reactions
2 Replies
511 Views
Katika pitapita yangu nikaangukia kwa bahati mbaya TBC1 kwenye Television. Eeh Mungu, maajabu niliyoona ni kwa TBC1 kuonyesha coverage ya ujio wa Tundu Lissu kwa bashasha na uhalisia na...
20 Reactions
32 Replies
5K Views
THE CIVIC UNITED FRONT (CUF-Chama Cha Wananchi) TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MKUTANO WA HADHARA KESHO MAGOMENI KANISANI: Mwenyekiti wa CUF-Chama Cha Wananchi Prof. Ibrahim Lipumba kesho Jumamosi...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Zanzibar wamestuka Wakati Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ikitangaza zuio la uuzaji nje ya nchi bidhaa ya sukari na mchele, Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) kimeitaka itoe maelezo ya...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Sakata la Mwanahabari Luqman Maloto ambaye amefungua kesi ya jinai No. 5/2023 dhidi ya DCI na DPP katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam limeendelea leo Februari 9, 2023 ambapo imefikishwa Mahakamani...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kiukweli CCM ifuatilie na kujifunza kwa karibu yanayovikuta Vyama vikongwe vya ANC na Zanu PF Watu wa masoko kuna Kitu wanaita Product Life Cycle PLC ni muhimu kuijua Hiyo Au nasema Uwongo...
2 Reactions
4 Replies
505 Views
Ni mbunge shupavu asiye hitaji hata sekunde ya kumpamba kiongozi. Huyu bwana mdogo wa "uvccm" ya kwa mzee wetu Madiba hana chembe ya uchawa kwa walio madarakani. Angekuwa ndani ya bunge letu...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nilikuwa nafuatilia vyuo vinavyotambuliwa na PhD za heshima walizotoa. Ukiangalia vizuri zimejaa wanaharakati, wachezaji wa michezo mbali mbali na wasanii. Sasa huyu spika kupoteza muda na...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Nimesema tu, wenye mabasi waendelee kuchangia Vinginevyo abiria wanao safari usiku wawe na Bima kubwa
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…