Duuh, Bongo kuna maajabu mengi sana...
Ni ngumu sana kuupaka uongo pafyumu na usionekane kuwa ni uongo...!!
Inawezekana vipi kiongozi mkuu wa nchi aliyejitangaza mshindi kwa 98% ya kura zote ktk...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi na Taasisi za Elimu, Ndugu Geofrey Kiliba akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 14, 2025 akielezea shughuli za kiharakati zinazoendelea mitandaoni amesema...
Kwa hisani ya JUNA:
"Leo Ndio nimeamini kuwa Chadema sio Chama Cha Siasa Bali ni NGO ya Wazungu, Yaani Makamu Mwenyekiti anawezaje kusema anataka Serikali ya Mpito itakayokuwa Nchini ya UN, Yaani...
Mwandishi wa makala za uchunguzi ndugu Fortunatus Buyobe anadaiwa kutekwa jioni ya leo maeneo ya Dar.
Hata hivyo waliomchukua wamejitambulisha kwake kuwa ni Polisi ila haijajulikana alipopelekwa...
Imeelezwa kuwa, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu ameiandikia barua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam akihoji ni lini hasa kesi...
Ratiba rasmi ya mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Joakim Mhagama, imetangazwa, ikionyesha utaratibu wa maombolezo na ibada zitakazofanyika kuanzia Desemba 12 hadi...
Tume imeanza rasmi utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Sheria ya Tume za Uchunguzi (Sura ya 32).
Inawaalika wananchi na wadau wote kutoa taarifa, ushahidi, maoni na mapendekezo...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kutoitambua serikali ya Tanzania iliyozaliwa na uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, ikidai kuwa uchaguzi huo uligubikwa na ukiukwaji wa haki...
Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wamewasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), kwa ajili ya kumsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anatarajiwa kuzungumza nao...
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika taarifa kwa vyombo vya habari imesema Serikali imepokea taarifa na matamko kwa umma yaliyotolewa kwa nyakati tofauti na washirika...
Kada wa CCM, Mchange Habib Mchange, amesema kuwa chama cha CHADEMA kinapaswa kuchunguzwa na vyombo vya ulinzi kuhusu tuhuma za kuhusika kwenye vurugu za Oktoba 29. Kuhusu madai ya watu kunyimwa...
Kama tumeamua kuisafisha nchi hawa watu ni hatari zaidi ya wasanii. Wasanii wao wanatafuta pesa kwa njia yeyote hata kwa kuungana na wauaji they don't care kulingana na shule zao za hapa na pale...
Parliament raises the alarm on human rights in Tanzania 🚨
Members of the European Parliament adopted two resolutions on the human rights situation in Tanzania following October’s elections. ...
Leo Disemba 12, 2025 Jeshi la Polisi limetoa taarifa baada ya saa 24 kupita toka tulipotoa taarifa ya mwisho asubuhi ya tarehe 11.12.2025 juu ya hali ya usalama nchini.
Akitoa taarifa hiyo...
Wadau,
Tuna msemo maarufu: "Namba Hazidanganyi." Kwenye nchi yoyote, takwimu (data) ndiyo msingi wa uhalali (legitimacy). Lakini ukiangalia Takwimu za Uchaguzi wa Oktoba 2025 na Takwimu za Watu...
Walahi washajaa kwenye mfumo hawa. Hehee! Walahi sikujua ingejuwa hivi Nye Nye. Vijana morali iko juu mawinguni. Waasubiri Siku ya Jambo lao.
Sasa huyu samuya Kesho naambiwa anaenda kutoa bonge...
Mkazi wa Dsm aliyejiyambulisha kwa jina la Amina Eli akitoa maoni yake kuhusu hali ya Disemba 09
"Tunashukuru jeshi la polisi na Vyombo vya usalama kwa hali ya Disemba 9 matarajio ya watu...
Mkurugenzi Mkuu wa EFM na TVE ambaye pia ni mdau mkubwa wa Muziki haswa wa Singeli, Majizzo amewaomba Watanzania kufuta kauli na Msimamo wa kugomea kusapoti Wasanii wa Tanzania kwa sababu eti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.