Huu ni utafiti binafsi na inarihusiwa na wewe comrade ufanye utafiti wako pia.
Hii kauli inakua akitamkwa sana na inaongezeka kila uchwao. Jambo la kushangaza ni kwamba, kuna watu walikua against...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemwagiza Mkuu wa Mkoa wa Iringa (RC), Ally Happi afuatilie utendaji kazi kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya ya Kilolo, Asia Abdallah ambaye pamoja na mambo...
Wasalaam Wakuu,
Hivi ni kwanini kila kunapotokea changamoto/ mgogoro kwenye kiwanda cha Dangote Cement Mtwara basi ndani ya siku chache tu lazima Rais Mstaafu wa Nigeria Obasanjo atue nchini na...
Rais huyu wa Tanzania ametokea katika kundi (hama) kubwa la utawala wenye itikadi za kubagua wananchi wengine, wasio taka maridhiano, wenye wivu na nongwa na wengine wakatili kwa wenye itikadi...
Wala sitaki kuwapotezea muda wenu wanabodi.
Ni kwamba Chadema Sasa kimekua Chama Cha Kuunga JUHUDI lakini Kwa Mitindo tofauti.
Katika Awamu ya Tano muhula wa kwanza, Tulishuhudia Makamanda...
CHADEMA ni Chama ambacho kimejinasibu kwa kinachoita operesheni (operations), zingine zisizokuwa na vichwa wala miguu kwa muda mrefu hapa Tanzania.
Na hivi karibuni nadhani baada ya kulamba...
Wananchi wa Tanzania tuache kuihusisha Serikali na mambo ya kipumbavu kama ushoga na mengineyo. Tukumbuke kuwa Serikali inajadili mambo ambayo yana maslai makubwa katika taifa letu ikiwemo afya...
Mwaka 1990 au 91 kama sikosei Nelson Mandela alifanya ziara nchini Tanzania, watu walijipanga kuanzia Pugu Road, Buguruni, Ilala, Kariakoo, Mnazi Mmoja, Posta mpaka Ikulu.Akiwa kwenye gari ya wazi...
Salama.
Huwa viongozi na watumishi wa serikali wakijinasibu kuwa wanalipa kodi, lakini kilogic watu hawa hawalipi kodi hata kidogo, badala yake ni watumia kodi.
Wataalamu waliochunguza swala...
Salaam,
Hilo ni swali kwa wana CCM na chawa wa Rais Samia. Je, mmejipanga au mnawahadaa CHADEMA, Wahafidhina ndani ya CCM hawashindwi wanakuacha ujimwambafy kwa muda tu.
Tunawacheki tu na hayo...
Waziri wa Mawasiliano Nape Nnauye amesema ubaya uliopo ni kuwa wanaohitaji katiba Mpya wanahitaji kwa kudai badala ya kuwa na majadiliano kati yao na serikali. Katiba Mpya ni majadiliano katika...
Tunakumbushana tu
Ndani ya VICOBA kuna Wamachinga, Mamalishe, Wagonga Mawe nk...nk
Ni Kundi kubwa lenye umuhimu mkuu Wakati wa Uchaguzi mkuu, Shujaa Magufuli kwa niaba ya CCM aliliheshimu sana...
Nianze kwa kukupa pole na majukumu yako ya kitaifa na mwenyezi Mungu akutangulie, sisi wakazi wa bwawa la Mtera tuna maombi kwako tangu mwaka 2019.
Bwawa la Mtera limesitisha kabisa uzalishaji wa...
Eti maridhiano. Kuna maridhiano hapo au ile ziara ya rais Samia kule USA ndio imezaaa maridhiano uchwara ili kuwaridhisha mabeberu kuwa kuna demokrasia nchini. Demokrasia uchwara wakati wananchi...
CHADEMA ni Chama ambacho kimejinasibu kwa kinachoita operesheni (operations), zingine zisizokuwa na vichwa wala miguu kwa muda mrefu hapa Tanzania.
Na hivi karibuni nadhani baada ya kulamba...
Upelelezi kesi ya Sabaya bado
Jumatano, Oktoba 12, 2022
Muktasari:
Wakati aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya akiendelea kusota mahabusu kwa siku 132 sasa tangu afikishwe...
Makamu Mwenyekiti Mh Tundu Lissu akiwa katika mtandao wa Club house ameweka wazi kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimeanza kupokea Ruzuku Mwezi huu uliopita.
Makamu huyo nguli wa sheria na...
Serikali imejaa ujanja yaani unataka msomi wa degree umgeuze msukule eti awe mchuuzi?
Hizi rasilimali tulizonazo zinabidi. Kulisaidia Taifa kwa watu wote .
Hizo Kazi za bodaboda wapeni watoto...
Ndugu zangu watanzania,
Watanzania bila kujali itikadi zao za kisiasa, Dini zao, makabila Yao, Kanda zao, jinsia zao,Rika zao, Elimu zao Na vipato vyaao Wameonyesha kuridhishwa na utendaji kazi...
SWALI tajwa lahusika. Tupo hapa masaa machache RC anamaliza kukagua mradi wa MAJENGO usiku wa saa 2 kasoro usiku.
Je, kama zipo kasoro katika MIRADI hiyo au MAJENGO.
Je, zitabainika kweli au...