The targetting of vocal leaders of faith and political opposition reveals a chilling, historic pattern: the weaponisation of state apparatuses, paramilitary structures, and systemic violence to...
Sasa ni dhahiri Chadema ndio CHAMA KIKUU CHA SIASA Nchini Tanzania, Kama unabisha itisha Mkutano wa hadhara wa CHAMA chako tulinganishe
Leo CHAMA hicho chenye mvuto wa juu zaidi Africa kimeingia...
"Wamesema vifo na vilitokea vipi... mimi naamini vifo vilikuwa vingi zaidi kuliko wanavyosema. Lakini wanasema kulikuwa na vitendo vya uvunjaji wa sheria, na wanapendekeza iundwe tume nyingine...
Natambua kwamba Hilda Newton amemuanika kwa kiasi fulani Japo kwa kuchelewa, lakini maelezo Yale hayatoshelezi
Sasa ni vema BUYOBE akaanikwa kikamilifu hapa jf ili kila Mmoja amfahamu vizuri
Ni...
Naendesha mkweche wangu wa bei rahisi na huwa hauli mafuta maana ni Suzuki Jimmy ya kizamani. Natoka Katoro naenda zangu Igunga.
Leo zilikuwa zinashushwa nondo za uhakika za kudai maslahi ya...
Moja ya kundi lilolokuwa brain washed nchi hii ni Umoja wa Vijana wa CCM, nina hakika kwa 100% CCM wamefanya makusudi kwa hawa vijana kuhakikisha Idara hiyo inakuwa haina uwezo tena wa kuhoji wala...
Kama wewe ndo ulitoa amri waue watoto wetu, basi jiuzuru wewe wao waendelee kukalia hivyo viti
Lakini wao wapo na wewe upo ili Taifa halitopona mkuu achia nchi life lisonge
Uliowaua wanalia...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ndani ya siku 13 kueleza kwa nini kisichukuliwe hatua za kisheria, ikiwemo kusimamishiwa usajili au...
A word of advice to you Dangote: You need to remember Samia will not be the president of Tanzania forever. Tread with care, watch what you say in public. Stop locking yourself into long term...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kabla ya kuanza kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa, ni vyema kuwabaini kuwachukulia hatua za kisheria...
WOTE TUTAMBUE JUKUMU LA MAMA SAMIA SIO KUTUPA WANANCHI FURSA,MAMBO MENGI HAYAFAI YAMETOKANA NA UTEGEMEZI HUU, JUKUMU LA MAMA SAMIA NI KUSIMAMIA SERIKALI NA UTENDAJI WAKE ,KUFANYA MIUNDO MBINU YA...
Guys
Aisee watu wamevurugwa na hili liwe somo. Kwa watawala na wastaafu wasipende siasa rahisi na za uongo uongo.
Kwa kwa sababu ya maudhui yake sitauweka hapa huo wimbo ila kama wewe ni mdau wa...
Leo Mzee Wassira ameropoka, mpango wao waliokaa wakajadili. According to yeye watawatafuta baadhi yenu na akasisistiza "Tusiwe tunafuga nyoka ndani" hili sio neno la Gen-Z.
Tarehe 29 kuna Askari...
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa CHADEMA, Katoro, Geita. John Heche, amesema,
Nataka niwaambie ndugu zangu, huwezi kuua ndugu zako halafu mambo yakaisha. Kaini alipomuua ndugu yake...
Mgombea Ubunge Jimbo la Ismani kupitia Chama Cha Wananchi CUF Nassim Yahaya Upete ameendelea na Kampeni za kuomba ridhaa kwa wananchi kwenye Uchaguzi Mdogo Jimbo la Ismani katika Kata ya Kising’a...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba leo CHADEMA iko Geita Mjini kwenye ile kampeni yake ya Katiba Mpya na Free Lissu
Kwa umati uliojitokeza ni dhahiri Nyahoza yuko Sahihi kuifutilia mbali
Dereva wa Kenya Nelson Wanjohi Kirika, mkazi wa Kenya nchini Afrika Kusini Edward Mwangi Mwai, na Aziz Hama, raia wa Tanzania (kutoka kushoto kwenda kulia) wamefikishwa rasmi mahakamani leo...