Kwa sisi watafiti, nguzo yetu kubwa ni kugundua chanzo cha tatizo na kulichambua vema, ili kuja na suluhisho.
Kwa kilichotokea Octoba 29, japo chanzo chake, kwa nje, inaonekana ni "ujeuri na...
MAANDAMANO MADAI YETU NI
1. Uchaguzi ufutwe
2. Miili ya ndugu zetu irudishwe.
3. Ndugu zetu waliotekwa warudishwe.
4. Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi.
5. Mauaji na Utekaji vikomeshwe...
Ndani ya vipindi tofauti kwa Mwaka 2024 na 2025 tumeshuhudia ongezeko la matukio ya Watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha, kutekwa nchini Tanzania na bado kumekuwa kukiripotiwa kwa matukio...
Naweka kwa Muhtasari, Taarifa kwa Umma ya Luhaga Joelson Mpina ya Tarehe 6 Disemba 2025 (attachment)
Mtoa Taarifa: Luhaga Joelson Mpina (Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo aliyeenguliwa)...
Mahakama Kuu ya Zanzibar Kanda ya Pemba leo Desemba 16,2025 inatarajiwa kusikiliza kesi ya walalamikaji wa Uchaguzi, wakiwemo waliokuwa wagombea wanane wa Chama cha ACT Wazalendo, dhidi ya...
''Msikubali jeshi letu kuchafuka''
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amelitaka jeshi la nchi hiyo kutojiingiza katika siasa.
''Hiki chombo kuwe kuna CCM kuwe kuna CHADEMA kuwe kuna chama...
Kuhusu Utekaji Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, ASP Philemon Makungu amesema baadhi ya taarifa zinazoripotiwa kwa watu kutekwa ni uzushi kwani sio kila mtu anatekwa, baadhi yao wanashikiliwa na...
Wananchi wamemkataa live wana hasira sasa anatumia nguvu ya dola kuwatawala na kuwanyamazisha.
WanaCCM wenyewe ndani ya chama chake hawamtaki.
Nchi wahisani ambazo ni msaada mkubwa kwa miradi...
Baada ya ukimya wa muda mrefu tangu Mika Chavala aachiliwe huru na kufutiwa kesi ya uhaini iliyokuwa inamkabali pamoja na Niffer na wengine, hatimaye Mika amezungumza kuwashukuru watanzania wote...
Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 nchini Tanzania umepita, Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya Urais, Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangazwa Mshindi kwa kupata Kura Milioni 31 sawa na takribani...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gallus Hyera amethibitisha kwamba Mhadhiri wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM), alikamatwa kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano kinyume na sheria.
Kwa mujibu wa...
Huu ni muhtasari wa athari za kiuchumi za kuzimwa kwa mtandao Tanzania siku na baada ya uchaguzi mkuu Oktoba 2025
▪︎ Nini Kilitokea?
•Tanzania ilikumbana na kuzimwa mtandao nchini kote wakati na...
Kwa mujibu wa wakili Hekima Mwasipu amesema mteja wake aliachiwa kwa dhamana mnamo Desemba 14, 2025
Mwambe ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Viwanda na biashara, alikuwa anatuhumiwa kwa makosa mawili...
Askofu wa Kanisa la Uamsho la Moravian Tanzania, Emmaus Mwamakula, amependekeza kuwa kila mkoa ambako mauaji yalifanyika, Oktoba 29, 30 na 31 mwaka hii, ipangwe siku ambayo watu watakusanyika...
Tanzania ipo katika zama ambapo Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ni kiini cha mijadala ya Kisiasa, uwajibikaji na matumizi ya haki za kiraia.
Takwimu za Mamlaka ya Mawasiliano...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewataka Watanzania kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Yote niliyotaka kuandika tayari kayasema komredi Jimmy Mafufu.
Msanii wa filamu Jimmy Mafufu ameibuka na kukanusha kuomba radhi, akisisitiza kuwa hawakufanya kosa lolote linalohitaji kuombwa...
Ubalozi wa Marekani wamepost kuwa Samia kajadili na kaimu balozi. Je, kunani?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Balozi...
Kanisa Katoliki la Baltimore, Maryland, Marekani (eneo la DMV) siku ya Jumapili, Desemba 14, 2025, limefanya ibada maalum ya kuwaombea mashujaa waliouawa wakati na baada ya uchaguzi Oktoba 29...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.