Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Jimbo la Makambako mkoani Njombe, Deo Sanga, ametoa wito kwa mamlaka husika kuwachukulia hatua wote wanaoeneza ujumbe wa uchochezi unaoweza kuhatarisha amani ya nchi, ikiwemo kuchora...
0 Reactions
13 Replies
828 Views
Shekhe wa wilaya ya meatu, Juma Kizeba maarufu JJ leo alipopewa nafasi ya kutoa , sala fupi kwa niaba ya waislamu wote, mbele ya Rais akiwa ziarani mkoani Simiyu, amemwombea Rais umri mrefu ili...
1 Reactions
3 Replies
301 Views
Mchambuzi Skawa Jr. amehoji baada ya Mbunge wa Iramba Mashariki, Francis Mtinga, akichangia Mjadala wa bajeti ya Wizara ya Afya jana Juni 2, 2025 kuomba Watanzania kukatwa kiasi cha Tsh 100...
0 Reactions
2 Replies
387 Views
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewekwa Haki kwa Watanzania wote kuwa na uhuru wa kuabudu na kufanya Ibada. Tanzania pamoja na kutokuwa na dini ila Wananchi wake wamepewa Haki ya...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Zitto anazidi kutoa shule huko X kwa wananchi wanaohoji ni kwa vipi watafanikiwa na operereshin yao ya #lindaKura "Kwa lugha nyepesi: tutalinda kura kwenye kituo cha kupigia kura kwa kupiga kura...
2 Reactions
44 Replies
2K Views
Afisa Polisi, aliyefika kutoa ushahidi upande wa Jamhuri katika kesi ya uchapishaji wa taarifa za uongo mtandaoni inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa, Tundu Lissu, ameeleza sababu za...
8 Reactions
83 Replies
5K Views
Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 nchini Tanzania, hali ya kisiasa imeendelea kuwa ya mashaka, hasa kwa upande wa vyama vya upinzani. Tukio la Jeshi la Polisi kuzingira hoteli ya...
1 Reactions
9 Replies
720 Views
Rais Samia akiendelea na ziara Kanda ya Ziwa jana Juni 16, 20225 amezindua shule ya Wasichana Simiyu, mradi uliogharimu Billioni 4.45 hadi sasa imetumika Billioni 4,159,942,035.37 ikiwa ni majengo...
0 Reactions
1 Replies
436 Views
Mbunge wa viti Maalum mkoa wa Njombve Neema Mgaya ametangaza Rasmi kuchukua fomu ya Kugombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa October 2025. Neema amesema hayo alipohudhuria baraza la UWT...
0 Reactions
1 Replies
451 Views
"Mimi niliwaahidi Wananjombe kuwa nitawatumikia mpaka wao watakaposema tumekuchoka, Sasa Wananjombe wenyewe wanasema tunakuhitaji kwahiyo nitagombea (tena) kwa ajili ya Wananjombe kwanza, Mimi...
0 Reactions
0 Replies
249 Views
Issa Ussi Gavu, Katibu wa NEC ya CCM anayeshughulikia Oganaizesheni, amesisitiza kuwa ni marufuku kwa wanachama wa chama hicho kufanya vitendo visivyofaa kama vile chuki, uonevu au kuzushiana...
0 Reactions
4 Replies
384 Views
Hawa ni wachina wanapewa tenda ya kuprint tshirt, Vijana wa Kitanzania wanasota mitaani tu, na sio kusota wapo wenye offisi jama za hawa wachina ila hawajapewa hii kazi. Kuna vijana wana offisi...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
KAMA HUYU NI MWANA CCM, wako wana CCM wangapi wa namna hii? Ukurasa wangu hupokea maoni mengi kutoka pande zote za sarafu, CCM, Wapinzani, Wasio na Vyama kama mimi, Maadui zangu na marafiki...
26 Reactions
52 Replies
4K Views
Aliyekuwa Kiongozi na Mbunge wa Chadema baadaye akahamia CCM Peter Msigwa, amemuomba Msajili wa Vyama vya Siasa kuchunguza vyama vya Siasa hasa CHADEMA sababu wanafanya vitu nje ya katiba ya...
5 Reactions
73 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato, Mkoa wa Geita Mhe. Batholomeo Manunga ametangaza nia ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Chato Kaskazini. Mhe. Manunga ametangaza nia yake hiyo jana...
0 Reactions
0 Replies
532 Views
Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa Said Goha alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za CCM Mkoa ambapo alikuwa akijibu swali la mwandishi wa habari aliyeuliza kuwa "ni kweli CCM...
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira ameeleza mambo mbalimbali yanayoifanya CCM kuwa idumu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
0 Reactions
7 Replies
467 Views
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Faraj Abri (ASAS) amewakumbusha wanachama wa chama hicho ambao wana dhamira ya kutangaza nia ya kugombea nafasi mbalimbali za Uongozi...
1 Reactions
0 Replies
463 Views
Tundu Lissu kWa sasa ni mlemavu, hiyo no reform no election ni mkakati wake ili tupambane na dola tuumizwe tuwe kana yeye, mwenzetu kila baada ya muda anaenda kucheki afya ulaya, mm hata nauli ya...
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali iko mbioni kujenga shule maalumu ya wavulana kwa ajili ya Kanda ya Ziwa, ambapo ujenzi huo utafanyika mkoani Simiyu. Samia ametoa kauli hiyo leo...
1 Reactions
2 Replies
515 Views
Back
Top Bottom