Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Je ni waalimu wangapi kwa mwaka wanaingia kwenye soko la ajira kutafuta ajira wakiwa na certificate, diploma na degree? Je ni kwenye sekta ya afya kwa kada mbalimbali ni wangapi wanaingia sokoni...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Safari yangu ya kukaa hapa Kenya inahitimishwa leo rasmi, kesho narejea Tanzania. Wagombea wote wakubwa ndani ya Kenya wana tuhuma za ufisadi kwa Raila na Ruto. Hivyo ajenda ya ufisadi haikuwa...
7 Reactions
32 Replies
4K Views
Msikilize huyu mwamba akimpiga chini mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Mtwara. USSR
14 Reactions
47 Replies
2K Views
Dar-Unguja ni takriban kilometer 85. Tuna madaraja muhimu sana ya kuunganisha mkoa kwa mkoa au wilaya kwa wilaya yenye urefu wa mita 20 au 50 tu na tumeshindwa kuyajenga leo hii tunafikiria...
37 Reactions
95 Replies
8K Views
Leo ilikuwa ni siku ya Wafanyakazi dunia nzima. Hapa Tanzania sherehe hii iliadhimishwa Mjini Morogoro na mgeni rasmi alikuwa Mhe. Samia Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Sherehe kama ya...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Mikutano hii itaambatana na ule Mpango wa kisasa wa Chadema Digital
0 Reactions
3 Replies
468 Views
..Boni Jacob amezungumzia mambo mbalimbali kuhusu haki, siasa, katiba, na sheria. ..mojawapo ya mambo aliyoyatilia msisitizo ni jeshi la Polisi kuheshimu sheria na katiba badala ya kutekeleza...
2 Reactions
8 Replies
843 Views
DKT. SAMIZI AKOMAA NA MRADI WA MAJI ULIOKWAMA WA KIFURA, SASA KUANZA KUTOA HUDUMA AGOSTI 31. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi anaendelea kusimama kidete...
1 Reactions
0 Replies
478 Views
Mdogo wangu wa mtata RPC Sophia Jongo alipewa u-RPC na IGO Simon Sirro kipindi cha Rais Magufuli na tangu muda huo hajawahi kuondolewa yupo mgangari. Tofauti na ma-RPC wengine ambao hufanya press...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Huwa namsikia huyu Bwana Kambona alikuwa ni moja kati ya miamba katika behind the scenes hasa za kutafuta uhuru, tunachokiona baada ya uhuru ni tip of an iceberg, Naskia alianza kuonekana mbaya...
1 Reactions
6 Replies
609 Views
Mwaka wa nne mfululizo, ni matumaini yetu tutashusha pumzi baada ya Mgeni Rasmi, Rais wa JMT Dk. John Magufuli kusema neno. Leo tunasherekea siku ya wafanyakazi duniani iliyoanzia huko Chicago...
22 Reactions
910 Replies
88K Views
Katika hotuba zenu za Mei Mosi jana kuna suala sugu sana ambalo Rais Mwinyi amelikumbuka lakini mama Samia hakuligusia hata kidogo. Ni Suala la PENSION ZA WAZEE WASTAAFU WALIPWAO NA HAZINA...
0 Reactions
5 Replies
957 Views
Waziri wa Afya mh Ummy Mwalimu amewataka wananchi wa DSM kuzingatia usafi kwa sababu Jiji hilo limekumbwa na Kipindupindu Ummy amesema kwa takribani miaka 7 na ushee iliyopita hatujawahi kukumbwa...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Aliyekuwa mbunge wa viti Maalum Upendo Peneza amesema katika kushughulikia ripoti ya CAG hana Imani na Mwenyekiti wa LAAC na yule wa PAC kwa sababu wako bungeni kinyume cha Katiba. Peneza amesema...
10 Reactions
16 Replies
1K Views
Vyama vya upinzani havijaonekana kwenye Sherehe za Mei mosi Morogoro hata vile vikubwa Chadema na ACT wazalendo Halafu 2025 mtasema CCM inaiba kura hasa wewe Devotha mshindani wa Abood Rais...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Yamekuwa na nadhani yataendelea kuwa maoni yangu kwamba kubadili mitaala ya nchi ni moja ya mambo makubwa kabisa yanayoweza kuacha alama kwenye vizazi vyetu, na hivyo wakati Serikali inapofanya...
1 Reactions
6 Replies
640 Views
Kanisa la TAG wakitafuta kupendwa na Magufuli enzi hizo. Ujinga mtupu , eti nao ni Maaskofu. Leo Malasusa na Pengo eti shatani Musiba asamehewe! Rubbish!
4 Reactions
51 Replies
3K Views
Ukiangalia historia ya uhuru wa tanzania utaona imechangia kwa kiasi kikubwa kushape fikra za watanzania wa leo, yaani ukisoma huon struggle kabisa zaid ya watu waliokua wanakutania kwenye bao na...
11 Reactions
36 Replies
2K Views
Wataalam wa Hesabu naomba msaada wenu kuhusiana na Hesabu za Seti. Seti mbili zikiungana unakuwa ni Muungano (Union) na vile Vitu vinavyohusika na Seti zote mbili kwa kufanana ndio Ungano. Je...
0 Reactions
0 Replies
494 Views
Mbunge wa Viti Maalum Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate kufuatia Sikukuu ya Mei Mosi iliyofanyika Kitaifa Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro amempongeza...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…