Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mtangazaji huyo wa Michezo alikuwa kibarazani kwake alipokumbwa na shambulizi hili. Marehemu hakuwa akiandamana lakini kama ilivyoripotiwa awali, alipigwa risasi. Leo mwili wake umepumzishwa...
8 Reactions
74 Replies
6K Views
TANZIA Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Benjamin Joseph Munisi , mwanafunzi wa mwaka wa tatu mwenye namba ya usajili 2632044/T.22...
1 Reactions
6 Replies
512 Views
Mwanasiasa mkongwe nchini, Khamis Mgeja, ambaye pia alikuwa Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, amefariki dunia jana Jumatatu Novemba 3, 2025. Kwa mujibu wa taarifa...
1 Reactions
13 Replies
640 Views
Mgombea wa nafasi ya udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Kata ya Kirua Vunjo Magharibi, Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, John Kessy, amefariki dunia jana , saa nane mchana...
1 Reactions
8 Replies
425 Views
Mtoto wa aliyekuwa Rais wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Marehemu Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi, ndugu Mussa Aboud Jumbe, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Jumanne, Oktoba...
1 Reactions
4 Replies
452 Views
Wakuu, Taarifa nilizopata punde ni kuwa Mzee Kahama amefariki Dunia kama muda mchache uliopita katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili (muda wa saa 10 kamili jioni hii). Kahama aliwahi kuwa Waziri...
29 Reactions
204 Replies
41K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi leo Februari 29, 2024. Rais amesema "Ndugu...
42 Reactions
680 Replies
65K Views
Rais Samia Suluhu ametangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya ambaye amefariki leo Mei 7, 2025 alipokuwa akiendelea na matibabu katika Hospitali ya...
19 Reactions
187 Replies
16K Views
EDWARD NGOYAI LOWASSA AFARIKI DUNIA Aliyewahi kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mtoto wake Fredrick Lowassa...
46 Reactions
545 Replies
53K Views
(UPDATED 13:30 - October 16, 2015) Kwa mujibu wa Jerry Silaa (aliyekuwa Meya wa Ilala): Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa rasmi kutoka kwa timu ya uokoaji imefanikiwa kufika eneo la...
15 Reactions
2K Replies
280K Views
Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi Mjini, Alhaj Omar Shamba, amefariki dunia ghafla Septemba 22, 2025 akiwa nyumbani kwake Alhaj Shamba aliwahi kuhudumu kama...
1 Reactions
1 Replies
236 Views
Mgombea udiwani wa Viti Maalum Tarafa ya Emboreet, Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara, Rehema Naaman (CCM), amefariki dunia ghafla baada ya kudaiwa kuugua homa ya mapafu. Mgombea huyo wa udiwani...
1 Reactions
9 Replies
502 Views
Taarifa za hivi punde ni kuwa kamanda Mohamedi Mtoi amepata ajali na kufariki dunia WAMETOKA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI TARAFA YA MLOLA. KAMANDA MTOI AKAWAPELEKA WENZAKE MPAKA LUSHOTO MJINI...
10 Reactions
1K Replies
127K Views
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki...
91 Reactions
2K Replies
179K Views
Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile 1969-2024 Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Kigamboni, Mheshimiwa Dkt. Faustine Ndugulile kilichotokea usiku wa...
56 Reactions
591 Replies
62K Views
Source: EA Radio Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Said Bwanamdogo amefariki Dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupa MOI, alikokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu, Ofisi ya Bunge...
2 Reactions
323 Replies
44K Views
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya soka Suleiman Methew Luwongo Amefariki Dunia. Taarifa zilizosambazwa kwenye vyombo vya Habari...
8 Reactions
56 Replies
4K Views
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Mafia mkoani Pwani, Salehe Kikweo amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu Hospitali ya Mji Handeni, Mkoa wa Tanga. Taarifa ya kifo hicho...
4 Reactions
51 Replies
3K Views
https://www.instagram.com/p/DNVSkIBMJH4/?igsh=c2M0N2MwaHJ0amp0
6 Reactions
40 Replies
3K Views
Rest in peace Dr Hassy Kitine—the former Director General of Tanzania Intelligence and Security Service (1978-1980). Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Mbunge wa Makete na Waziri...
24 Reactions
152 Replies
13K Views
Back
Top Bottom