Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Zipo taarifa za uhakika kuwa katika jitihada za vyombo vyetu kutafuta ushahidi, vinatumia mateso na udhalilishaji (torture) ili kuwalazimisha watuhumiwa waseme ukweli. Baadhi ya mbinu wanazotumia...
5 Reactions
11 Replies
343 Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza, amesema kwa sasa yanahitajika maridhiano ya kweli ili kulirudisha taifa katika amani na...
3 Reactions
7 Replies
575 Views
Kama akina GenZ wakiamua kuubadilisha mbinu ya maandamano. Wakasema maandamano sio ya siku moja bali ni siku 100 mfululizo au siku 365 mfululizo au siku 730 au siku 1095 mfululizo mpaka wapate...
10 Reactions
55 Replies
875 Views
Akizungumza na Jamhuri TV Jaji Mkuu Mstaafu, Joseph Warioba ameeleza kuwa alionya jeshi kuhusishwa na siasa na sasa matokeo yake yanaonekana ni kuwepo kwa mgawanyiko ndani ya vyombo vya usalama...
7 Reactions
8 Replies
526 Views
Jaji Joseph Warioba amezungumza kupitia Jamhuri TV ambapo amesema sasa hivi kuna uoga mkubwa sana wa kusema ukweli.
4 Reactions
6 Replies
467 Views
Huyu hapa Bibi yetu wa Kizazi kipya ambaye amekataa kukaa kimya dhidi ya uovu kwenye nchi yetu, akianzia kwa kunukuu maandiko ya Biblia na kueleza uzoefu wa wananchi chini ya tawala tofauti...
38 Reactions
79 Replies
4K Views
Jaji Warioba katika mazungumzo yake na Jamhuri TV ameelezea wasiwasi wake pale ambapo vyombo vya ulinzi na usalama vinapogawanyika. "Nilimwambia mama, nikasema mama nimeogopa sana. Ukisikia kuna...
8 Reactions
24 Replies
785 Views
Samia alitoa ahadi kedekede za kutekelez ndani ya siku 100. Mpaka leo zimeyoyoma karibia siku 50, yaani %50 ya siku 100 kutekeleza aliyoyahaidi majukwaani. Je, ametimiza yapi kati ya haya...
12 Reactions
46 Replies
2K Views
  • Featured
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati...
4 Reactions
68 Replies
7K Views
  • Closed
Taarifa kwa Vyombo vya Habari Tunasonga Mbele! Kituo #D25 kuelekea #J1 Itolewe kwa Uharaka Dar es Salaam, 12 Disemba 2025 Na. 028 Tunatambua wazi kwamba Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na...
22 Reactions
161 Replies
5K Views
Friends and our Enemies, Kuna msemo unasema baniani m'baya ila kiatu chake ni dawa. TEC na KANISA KATOLIKI... Mwaka 1992 waliingia mkataba wa kinyemela na serikali ili waweze kupata msaada wa...
4 Reactions
112 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa zipo sababu zinazofanya baadhi ya watu kuingilia mambo ya Tanzania, akibainisha kuwa wanajua nchi imegundulika...
1 Reactions
46 Replies
1K Views
Anaandika Wakili Boniphace Mwabukusi kupitia ukurasa wake wa X: Kuiba Ngoma ya Kijiji ina weza isiwe tatizo, changamoto kubwa ni kutafuta mahali pa kuipigia kwa Amani bila wanakijiji kukusikia...
5 Reactions
6 Replies
386 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limetoa taarifa kwa umma likikanusha madai yanayosambazwa mitandaoni kuhusu kukamatwa kwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kati. Katika taarifa hiyo, polisi wamesema...
1 Reactions
12 Replies
345 Views
Wakuu, Akiwa anazungumza hivi karibuni Shaban Pembe amesema kwamba itakuwa ni kitu cha kushangaza kama Wakristo hawatopinga na kukemea maandamano ambayo yamepangwa kufanyika kwenye siku ya...
3 Reactions
16 Replies
445 Views
Padre Kitima akizungumza na waandishi wa habari amehoji kulikuwa kuna sababu gani ya kuwaambia watu wasitoke nje wakati wa maandamano halafu wanafuata majumbani na mtaani kwao na wengine kuwindwa...
41 Reactions
129 Replies
3K Views
Kwa kweli hii ni interview ya kufunga mwaka. Mh.Bwege amemungushia Rais Samia lawama zote kwa yaliyotokea Oct 29. Amekwenda mbali na kumtaka aombe radhi, atubu, na aahidi kutorudia. Pia amesema...
7 Reactions
15 Replies
620 Views
Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA), Mchange Habibu Mchange amedai kuwa sababu ya watu kufariki Oktoba 29, 2025 na siku zilizofuata ni wao kuchochewa na...
1 Reactions
37 Replies
886 Views
Ndugu zangu, Muda huu (mchana wa leo Disemba 20, 2025) askari wenye silaha wapo nyumbani kwa wazee wangu, kijiji cha Old Moshi Kidia. Leo wameenda na magari mawili, yenye namba za usajili...
47 Reactions
107 Replies
3K Views
Dorkasi ameeleza kuwa utawazuiaje watoto ambao ni watu wazima tayari wenye miji yao kuwa wasiandamane wakati wao ndiyo watawala wa kesho, ameeleza hii kufuatia hoja iliyotolewa mbele ya wazee wa...
5 Reactions
5 Replies
283 Views
Back
Top Bottom