Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wabunge kutoka Zanzibar Omar Ali Omar (ACT) - WETE Khalifa Mohammed Issa (ACT) - MITABWE Maryam Omar Said(CUF) - PANDANI Mohamed Said Issa (ACT) - KONDE Seif Salim Seif (CUF) - KUSINI PEMBA...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, uchapakazi wa Mheshimiwa Makonda, ujasiri wake, uzalendo wake, kujitoa kwake kutetea wanyonge, ushupavu na umadhubuti wake umewakosha na kukonga mioyo ya Watanzania...
12 Reactions
501 Replies
22K Views
"Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.
54 Reactions
304 Replies
30K Views
Taarifa zilizosambazwa kwa vyombo vya Habari Nchini Tanzania zinaeleza kwamba Rais wa Nchi hiyo amesaini ile Miswada mibovu inayopingwa na kila mwenye akili timamu Bila Shaka kwa kitendo hiki...
5 Reactions
69 Replies
4K Views
Imekuwa wiki ya kutupiana vijembe kati ya mahasimu wa muda mrefu Husein Mohamed Bashe na Paulo Christian Makonda, mahasimu hao wa muda mrefu toka 2014 wakiwa katika makundi ya kuusaka urais wa...
23 Reactions
174 Replies
13K Views
Askofu wa Jimbo Katoliki Shinyanga, Mhashamu Liberatus Sangu, amewasihi wananchi wasiwapigie kura viongozi wanaotaka madaraka kwa rushwa, na kwamba wakipewa rushwa wapokee lakini wasipige kura kwa...
2 Reactions
3 Replies
580 Views
Naanza kuelewa Sasa, huwenda ni kweli kwamba Watanzania ni watu wa hovyo na ambao hawawezi Kila kitu na hawawezi Kuibadirisha nchi Yao kutoka Hali mbaya ya umasikini na kuwa nchi yenye neema na...
10 Reactions
83 Replies
4K Views
Wadau nawasalimu.Watanzania Tumekuwa tunapiga kelele KUDAI KATIBA MPYA. Viongozi badala ya kuendeleza Mchakato wa Kupata KATIBA MPYA wameanzisha Jambo jipya na lisilo na TIJA la Kurekebisha baadhi...
0 Reactions
0 Replies
339 Views
Wana bodi, ni tumaini langu unaendelea vizuri na sherehe za pasàka pili. Baada ya kusikia Kwa muda mrefu suala la watu tofauti tofauti kujitokeza na kudai watamchangia Mama pesa za kugombea Urais...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Mhe Makonda karibu jimboni Arusha utuwekee mazingira mazuri ya CCM kushinda 2025. Mhe Lema uchaguzi 2025 haitakua rahisi jiandae kisaikolojia.
0 Reactions
3 Replies
894 Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema Muuwaji hawezi kupata nafasi ya kuuwa tena na Muonezi hatapata nafasi ya kuonea tena wala kutesa tena Ili kulinda Demokrasia ya...
20 Reactions
113 Replies
6K Views
Wakuu, Mtando wa ClubHouse umezuiwa kupatika nchini toka mwaka jana (2023) mwanzoni, ambapo huwezi kupata kupata huo mpakata utumie VPN. Hii ni ukiukwaji wa haki ya kujieleza na kupata kupata...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hebu angalia Magari ya serikali yanavyotumika vibaya, tena bila huruma kwa Wananchi makapuku wanaoitwa Wanyonge Baada ya Hapa anapanda Punda na kushangiliwa na Wajinga . Kiukweli hii Nchi...
34 Reactions
105 Replies
8K Views
Rais Samia amemtua Paul Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha baada ya kudumu kwa kipindi kifupi sana kwenye uenezi na itikadi. Wako waliokuwa wanamaifia Makonda sana ni haki yao ila ukweli ni...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
BASHUNGWA ASHIRIKI MISA YA PASAKA JIMBONI KARAGWE. Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent L. Bashungwa ameungana na Waumini wa Parokia teule ya Kayungu Jimbo Katoliki la Kayanga...
2 Reactions
5 Replies
803 Views
Ni udikteta au kutokujiamini!?, mtandao wa X asubuhi hii upo chini! Vipi wewe, kwako X inafunguka?
3 Reactions
50 Replies
2K Views
Wakuu, Siasa na matamko sehemu za dini pamoja na kauli za viongozi wa dini huko Makanisani, Misikitini na kwenye shughuli nyingine za kidini zimeendelea kuzua mijadala nchini, hasa tunapoelekea...
0 Reactions
0 Replies
255 Views
Chama cha siasa kwa ujuzi na uzoefu niliyo nayo kinapigiwa kura na wananchi kwa itikadi sera yake na ilani yake yenye msingi wa itikadi na sera zake. CCM ni chama cha kijamaa na kadri miaka...
4 Reactions
5 Replies
600 Views
Itakuwa ni rasmi, baada ya trh 04.04.2024 jembe PCM anatinga chuga city, maskani ya machalii wa afrikani Geneva. 'Wasiempenda kaja' wenye roho mbaya naye huyo hapo anaingia mjini, iwe kashushwa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Lakin saa inakuja, nayo sasa ipo, ambapo mtavuna mnachokipanda, kwa jicho la mbali mnamuona kama anakijenga chama, katika jicho la upeo wa roho anadhoofisha chama, bosi wake na Viongozi wakuu...
21 Reactions
113 Replies
8K Views
Back
Top Bottom