Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sikiliza Afande Sele alivyowashukia CHADEMA hapa; "Nyie wapumbavu lazima muongeleswe kipumbavu, machadema nyie ni mapumbavu kabisa kabisa bora vyama vingine vijipange vitaitwa upinzani sio...
16 Reactions
129 Replies
7K Views
Nadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha. Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana...
3 Reactions
47 Replies
2K Views
Akiwa mkoani Iringa katika mkutano wa hadhara Lissu amesema hajui ilikuwaje CHADEMA ikamualika mama kwenye mkutano wa CHADEMA maana huwa hawaji wenyewe ni mpaka waalikwe. Aidha Lissu...
17 Reactions
145 Replies
11K Views
Ni vizuri mkafanya vikao vya ndani, kurekebisha na kusahihisha kasoro na dosari zinazoonekana mpaka nje ya chama, ambazo zinaweza kuathiri taswira, umoja na maelewano ya viongozi waandamizi wa...
6 Reactions
72 Replies
4K Views
Hakika kutokana na kiti cha urais kukaniwa na ccm ni wazi ccm itatumia mbinu zote kuhakikisha inashinda uchaguzi huo kama hayati magufuli alivyoukania urais na kuamua kuuvuruga ule uchaguzi ili...
1 Reactions
4 Replies
469 Views
Wiki mbili za Tundu Lissu kufanya maandamano Takribani Mikoa 6 mfululizo zimeacha Madhara makubwa. Madhara hayo ni kufungua Wananchi kuhusu masuala mbali mbali ikiwemo Uchaguzi, Katiba Mpyaz...
10 Reactions
135 Replies
8K Views
Kutokana na hali ya ukuaji wa matumizi makubwa ya mitandao habari zimekuwa zinafika kwa wakati. Hali hii mpaka tufike Uchaguzi Mkuu sidhani kama nyomi zile tulizoziona chaguzi zilizopita zitaweza...
2 Reactions
0 Replies
433 Views
Mkuu wa Mkoa wa kusini Unguja Visiwani Zanzibar, Ayoub Mohammed Mahamoud, ametangaza uamuzi mpya wa kuwapatia Wafanyakazi wa Ofisi yake chai ya asubuhi ikiwa na kitafunwa cha mikate wenye siagi...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mvomero Mkoa wa Morogoro Said Nguya amekemea tabia iliyoanza kujengeka miongoni mwa vijana nchini ya kusifiana sifa za uongo wakiwa ana kwa ana ama kusemana vibaya...
0 Reactions
5 Replies
824 Views
Kama ni Kweli Chadema walishauri Vyama vingine visiingizwe kwenye Mijadala wa Marekebisho ya NEC bali Wawe Wao na CCM tu, basi demokrasia ya nchi yetu ipo mbali Wengi tulihoji hapa Jf Kwanini...
0 Reactions
2 Replies
399 Views
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Kaskazini amewataka CCM kuachana na kicheko cha kujitekenya badala yake wajikite kwenye hoja. Amesema propaganda za CCM kuhusu Ugomvi wa Lisu na Mbowe zipuuzwe na...
0 Reactions
5 Replies
666 Views
Habari ndio hiyo ni kweli ccm imechokwa ,Tena imechokwa lakini watanzania hawaoni mbadala wa ccm! Wapinzani ndio wamechokwa zaidi hakuna mfano ! Wao wenyewe pia wamejichoka. Uchaguzi ujao ni...
1 Reactions
11 Replies
771 Views
Tukio hili lilitokea November 17, 2023, lakini limeibuliwa jana 4/5/2024 kama tukio jipya. Je, walioibua tukio hili na kusema ni ya karibuni walikuwa na nia gani? ===== Katibu wa baraza la...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar bwana Abbas Mtevu amewataka wajumbe wenye dhamana ya kupitisha wagombea wa Ubunge na udiwani kupitisha wagombea ambao wanakubalika Kwa Wananchi vinginevyo...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Kamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na...
4 Reactions
62 Replies
3K Views
Wananchi wa Kata ya Engusero Jimbo la Kiteto wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia Gari jipya la wagonjwa ambalo litawaondolea adha ya...
0 Reactions
3 Replies
752 Views
Mbunge wa Jimbo la Rorya, Mhe. Jafari Wambura Chege amesema ndani ya siku 30 Serikali itaanza matengenezo ya Barabara ya Nyarombo - Siko - Busanga ya Kilometa 8 baada ya Serilkali kutenga Milioni...
0 Reactions
2 Replies
534 Views
Kila cku www unajifanya kukosoa serikali, kila anachokifanya Rais wa nchi wewe huachi kutoa maoni, maoni yako watu wa chadema wanayopost kila mahali hadi chooni. Kuna mlevi mmoja anaitwa Lissu...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
ukata wa fedha, sera na mikakati mibovu isiyo na tija ya kuwaunganisha wanachama wao imekua ni chanzo cha kuzorota kwa hamasa katika harakati zao mitandaoni na mtaani. maandamano yamekosa mvuto...
2 Reactions
26 Replies
939 Views
Huyu Mwamba aisee amenishangaza. Ame niprove wrong, sikuwa na mwamini kivile. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Chini ya Dr Hussein Mwinyi mtoto wa Hayati Alihasani Mwinyi uongozi wake...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom