Afande Sele awachana CHADEMA

Cute Wife

JF-Expert Member
Nov 17, 2023
580
2,244
Sikiliza Afande Sele alivyowashukia CHADEMA hapa;


"Nyie wapumbavu lazima muongeleswe kipumbavu, machadema nyie ni mapumbavu kabisa kabisa bora vyama vingine vijipange vitaitwa upinzani sio nyinyi wapumbavu. Nyinyi wapumbavu ndio tulikuwa tunaongea pamoja tukiwa CHADEMA, tunajenga CHADEMA mimi nikiwa mmoja wapo. Mtu niko imara, nimesababisha CHADEMA ijulikane Morogoro, iwe na nguvu na ipate wenyeviti wa mitaa kwa mara ya kwanza, mimi nilisimama hapo kama Mwenyekiti wa Kata ya Mafiga.

"Wachumia tumbo mnakaa mnapigapiga makofi, Mbowe anashindwa kuheshimu Katiba ya chama ya chake ataheshimu Katiba ya nchi mpuuzi kama huyu? Si ndio atakuja kufanya vitu vya kijinga kabisa? Mimi naweza kuonekana mtu wa ajabu, sisapoti kilichopo sasahivi kwenye Madaraka lakini pia sisapoti upinzani kama wa CHADEMA.

"Mapuuzi kama nyinyi mnapinga mambo yenu wenyewe, mliyokuwa mnayalilia yanfanyika mnayapinga. Sasa leo hii mmebaki kama mbayuwayu tuu, kama popo tu hamjui nyinyi ni ndege au Wanyama, mpo kama mkunga sio Samaki, yaani nyie mpo mpo tu. Yaani Malaya wa kisiasa, hamjui msimame wapi, upande wa wananchi au upande wa chama tawala.

"Mlikuwa mnasema mama anaupiga mwingi eeh leo hii mnashindwa kusapoti upande wa mama mnalaumu, sasa mnasapoti nini? Yule ambaye alikuwa anafanya yale mlikuwa mnayataka mmemtukana mpaka Mungu amemchukua, haya sasa mtaenda upande gani? Mna ajenda gani? Eti katiba mpya, katiba mpya wakati katiba zenu za chama hamzieshimu? Mnakaa madarakani miaka na miaka, mnapeana vyeo kwa uzinzi tu na ngono za ovyo ovyo tu, leo hii wale wako bungeni mnajifanya hamjui! Mwenyekiti wenu anajua na hela amechukua pumbavu tu, mnajifanya ng’oooo.

"Mimi ndio maana nasema kitu kimoja, hamna cha upinzani, upinzani mpya utakuja kwa watu wapya na labda iwe nje ya CHADEMA.Na kama ni CHADEMA itoke ndnai ya CCM. Watu makini wapo ndani ya CCM wengi tu, lakini nyinyi hamna lolote nyinyi ni wachumia tumbo tu.

"Eti katiba moya na tume huru, miaka yote mlishinda uchaguzi mkuu Mzee Lowassa katoka CCM kaja kuwapoti kawabusti ndio mkapata viti vya wabunge wengi, kabla yah apo mlikuwa na kitu gani? Si mlikuwa mnahangaika wenyewe mkaja kubugi mkanunuliwa kama makahaba. Na wale tuliokuwa tunawaita mafisadi, wakawanunua kama makahaba viongozi wenu, wakaja mkawapa nafasi kubwa mpaka ya kugombea urais, watu ambao wameshatukanwa kila mahali. CCM inawema nyie mnawapokea, mnawaweka akina Sumaye front line, akina Kingunge, watu ambao walikuwa na makashfa ya kila aina CCM, nyie mnakula matapishi mnawachukua, mnawatakasieni..eeeh chagua chagua.

"Haya mlipata wabunge lakini tuliwaonya hawa wananchi watageuka watugundua nyinyi ni masnichi, kiko wapi juzi? Uchaguzi wa juzi ooh tumeibiwa, mmeibiwa nan ani? Watu washajua nyie ni wanafki wachumia tumbo tu. Mnataka nini nyie watu wapuuzi, msioelewa chochote, eti mnakaa mnatukanwa, lazima tuwaambie kwa lugha kali, kwasababu mmekuwa majinga, mazuzu, mang’ombe, mapunda, ndio maana mnaitwa nyumbu, blood fool!"
- Afande Sele

======
Pia soma: Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul
 
Huyo anayewasema wenzake kuwa ni wachumia tumbo si ndio huyo ambaye alikuwa mnufaika wa miradi ya misaada inayotolewa na mashirika ya Marekani ambayo amekuwa akiitukana?

Akawatungia na wimbo eti "Dunia bila Marekani" wakati kula yake tu inahitaji mkono wa Marekani.

Leo ndio kaja kisiasa kwa kujidai hana upande wakati tunajua Chama chake ni CCM.

Huyu ndio maana aliwambwa makofi na P Funky.
 
1714740937971.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom