Askofu Bagonza, mbona Lissu anaropoka hutoi maoni yako au unamuogopa?

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
452
1,797
Kila cku www unajifanya kukosoa serikali, kila anachokifanya Rais wa nchi wewe huachi kutoa maoni, maoni yako watu wa chadema wanayopost kila mahali hadi chooni.

Kuna mlevi mmoja anaitwa Lissu, hana mipaka katika kuongea, hajulikan kama anapoongea majukwaani anakuwa amekula ngada au cha arusha au cha same au K vant.

Juzi kasema chadema kuna hela chafu, mbona kimya bwana Bagonza.

Wewe ni mnafiki kama viongozi wengine wanafiki mliopo chadema.

Watu wanategemea ww ukiwa kama kiongozi wa dini useme neno kuhusu ushetani wa Lissu, umeganda kimya ukimhofia Lissu.

Toa maoni yako Bagonza, Lissu unamuogopea nini?
 
Ulishawahi kuwauliza wanaokuzunguka kama wanakuona upo sawasawa kichwani?
 
Kila cku www unajifanya kukosoa serikali, kila anachokifanya Rais wa nchi wewe huachi kutoa maoni, maoni yako watu wa chadema wanayopost kila mahali hadi chooni.

Kuna mlevi mmoja anaitwa Lissu, hana mipaka katika kuongea, hajulikan kama anapoongea majukwaani anakuwa amekula ngada au cha arusha au cha same au K vant.

Juzi kasema chadema kuna hela chafu, mbona kimya bwana Bagonza.

Wewe ni mnafiki kama viongozi wengine wanafiki mliopo chadema.

Watu wanategemea ww ukiwa kama kiongozi wa dini useme neno kuhusu ushetani wa Lissu, umeganda kimya ukimhofia Lissu.

Toa maoni yako Bagonza, Lissu unamuogopea nini?
Maoni yako ya Kipumbavu yanatosha wewe Mzanzibar, unataka tena maoni ya wenye akili??
 
Kila cku www unajifanya kukosoa serikali, kila anachokifanya Rais wa nchi wewe huachi kutoa maoni, maoni yako watu wa chadema wanayopost kila mahali hadi chooni.

Kuna mlevi mmoja anaitwa Lissu, hana mipaka katika kuongea, hajulikan kama anapoongea majukwaani anakuwa amekula ngada au cha arusha au cha same au K vant.

Juzi kasema chadema kuna hela chafu, mbona kimya bwana Bagonza.

Wewe ni mnafiki kama viongozi wengine wanafiki mliopo chadema.

Watu wanategemea ww ukiwa kama kiongozi wa dini useme neno kuhusu ushetani wa Lissu, umeganda kimya ukimhofia Lissu.

Toa maoni yako Bagonza, Lissu unamuogopea nini?
Lissu anaungwa mkono na Bagonza watimize lengo la kumpindua Mbowe.we tulia tuu.
 
Kama mmegundua kila anayesema Lissu anaropoka au kutukana huwezi kukuta anaweka au kurejea sehemu aliporoka au kutukana.

Mleta mada, na watu kama Etwege, uwezo wao unaishia KKK (kuandika, Kuhesabu na Kusoma). Hawana analysis wala reasoning knowledge. Ni wa kuwahurumia. Hawakujaliwa afya nzuri ya akili. Kwa vile hawakupenda kuwa hivyo, tuwasamehe. Bahati yao mbaya ya pili, hawajui hata tatizo walilo nalo kichwani.
 
Kila cku www unajifanya kukosoa serikali, kila anachokifanya Rais wa nchi wewe huachi kutoa maoni, maoni yako watu wa chadema wanayopost kila mahali hadi chooni.

Kuna mlevi mmoja anaitwa Lissu, hana mipaka katika kuongea, hajulikan kama anapoongea majukwaani anakuwa amekula ngada au cha arusha au cha same au K vant.

Juzi kasema chadema kuna hela chafu, mbona kimya bwana Bagonza.

Wewe ni mnafiki kama viongozi wengine wanafiki mliopo chadema.

Watu wanategemea ww ukiwa kama kiongozi wa dini useme neno kuhusu ushetani wa Lissu, umeganda kimya ukimhofia Lissu.

Toa maoni yako Bagonza, Lissu unamuogopea nini?
Mlevi lakini mbona rafiki yake wanayekunywa ote ni baba wa 1979Magufuli ie baba yako? Kwahiyo naye ni mlevi?
 
Back
Top Bottom