Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Yaani hawa wananchi wa Buchosa akili zao zinatakiwa kupigwa window kabisa, maana ni aibu sana kuambiwa maneno kama hayo na Mbunge alafu ukakaa chini ukasikiliza. Uko Marekani watu wapo...
3 Reactions
7 Replies
395 Views
Wakuu, Siku ya leo ndo ile siku ambayo Mahakama itaanza kusikiliza kesi ya CHADEMA baada ya kushtakiwa na wanachama wao wa Zanzibar kwamba wanatumia mali za chama vibaya ==============...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Baada ya Serikali kutangaza kuvunja mabaraza ya madiwani kote nchini huku Juni 27 mwaka huu Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajia kuvunja Bunge 12 ili kupisha...
0 Reactions
0 Replies
359 Views
Akizungumza Jumatatu, tarehe 23 Juni katika Ukumbi wa Ubungo Plaza, Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba, aliongoza mkutano wa uwajibikaji kuhusu utekelezaji wa ilani ya CCM kwa kipindi Cha miaka...
1 Reactions
12 Replies
699 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeelezwa kuwa bado kina nafasi ya kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi ili kipate fursa ya kushiriki uchaguzi. Akizungumza katika Kongamano la...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Katibu wa Mafunzo, Uenezi na Siasa wa CCM Mkoa wa kilimanjaro, Abraham Urio, amesema Tsh Billioni 188.59 zatolewa kwa shirika la Umeme Tanesco Mkoa wa Kilimanjaro iliyowezesha shirika hilo...
0 Reactions
1 Replies
243 Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema Rais Samia ameagiza kila wilaya ambayo haina VETA ya serikali ijengewe VETA ya serikali. Ujenzi unaendelea katika wilaya 64...
1 Reactions
8 Replies
482 Views
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Ashatu Kijaji amesema wanaokosoa wanapiga kelele, amwambia Rais Samia achape kazi Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
0 Reactions
6 Replies
360 Views
Tuna amini kwamba tawala zote duniani utoka kwa Mungu! Ni kweli maana Mungu ndo muumba wa vitu vyote! Chaguzi zote za haki ni sehemu ya kumpendeza Mungu! Chaguzi za dhuluma ni machukizo ya...
2 Reactions
3 Replies
367 Views
Wakuu ACT wanaendelea na arakati za maandalizi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 na sasa ni zamu ya Magreth Lutufyo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya ACT kugombea Ubunge wa Jimbo la Tanganyika. Fomu...
2 Reactions
3 Replies
412 Views
Niwaombe Watanzania wote tunapoelekea kwenye uchaguzi wa mwaka huu 2025, mafanikio yote tuliyonayo kama haya atuwezi kujivunia kama tukishindwa kulinda amani ya nchi.
0 Reactions
2 Replies
257 Views
Habari wanajamvi! Kwa anayefuatilia siasa za Tanzania atakubaliana na mimi kuwa kwa sasa Mh. Paul Makonda Katibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndiye anayetamba katika anga za Kisiasa hapa...
8 Reactions
64 Replies
4K Views
Hivi mmetumwa kujaribu upepo wa kisiasa? CCM imechafuka kwa kila uchafu, utekaji , kurithishana madaraka, wizi, sakata la bandari, kubambikia watu kesi (Rejea kesi ya Lissu mpaka shahidi hajui...
0 Reactions
4 Replies
383 Views
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Janeth Ritte wa ACT Wazalendo "Hivi kweli, polisi ambao wana njaa kama sisi, leo tukiamua kushughulika nao watabaki salama? Sisi Watanzania tukisema tumechoka...
9 Reactions
7 Replies
799 Views
Rais Samia amemcha Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina akihutubia Mkutano wa Hadhara Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 17 Juni, 2025 akisema kuwa; "Mbunge wa Kisesa ni kuruka ruka kwamba...
28 Reactions
287 Replies
19K Views
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Abbas Tarimba amesema amejitoa mhanga kwa atakaye mtingisha rais Samia nae atamtingisha. Nataka niwaambie katika historia ya karibuni hakuna utekelezaji ulifana...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema amekuja na mpango wa smart classes (madarasa janja) kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi wa Buchosa kufaulu masomo yao hasa ya Sayansi na kukabiliana na...
0 Reactions
2 Replies
284 Views
MAKAMU Mwwnyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewaeleza wabunge na madiwani hususan waliokuwa wanajifungia vioo kwenye magari wajue wakati umefika. Amesema...
1 Reactions
3 Replies
329 Views
Huyu Hapa ni Abbas Tarimba, Mbunge wa Kinondoni ambaye hajui hata alipataje Ubunge huo akijikuta kakaa kwenye kijiwe ambacho hata haelewi amefuata nini. Tarimba anatajwa kuwa ni miongoni mwa...
24 Reactions
71 Replies
3K Views
Back
Top Bottom