Kumekucha! Maguzu masese.
Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake.
Upendo Peneza anasema, kwa kuwa...
Hakika sasa ndio nimejua kwanini Wajinga wengi wapo CCM. Hali ya Ugumu wa Maisha ya wananchi waathirika wakubwa ni Wanachama wa Chadema na ndio maana viongozi wao wanataka Mabadiliko makubwa ya...
Kama malalamiko wanayoyatoa upinzani nchini, yangekua na mbadala, au yangeambatana na mbadala wa sera, mipango na mikakati bora zaidi, dhidi ya iliyopo sasa, basi ingeleta maana na changamoto...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema amesema Jimbo la Kongwa halina Mbunge na yule Ndugai alipachikwa tu
Ndugu zangu hapa Kongwa jimboni hakuna Mbunge hivyo nawaomba anzeni safari ya kuchagua viongozi wa...
Huu ni Wosia kwa Vijana wote wa Tanzania uliotolewa na mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala
"Ukiwa Juu Epuka sana Jeuri Kiburi na Majivuno kwani kuna Kupanda na Kuanguka"
Magari hayo ni ya kimkakati na kazi maalumu. Yatasambazwa kwenye kila kanda, katika kanda zote za kichama nchi nzima. Magari haya yatakua chini ya usimamizi wa viongozi waandamizi wa kanda...
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti...
Kutokana na kupanda kwa joto la siasa nchi, hasa ukizingatia ujio wa chaguzi, mabadiliko ya Sheria ya uchaguzi na madai ya tume huru kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa.
Pia mfupa mgumu ambao...
Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Daniel Baran Sillo ametoa magunia 10 ya Mahindi ya chakula kwa waathirika wa mafuriko waliopo katika Kijiji cha...
Kwa heshima na taadhima, Kama kuna njia unaweza kurekebisha kauli hii, itapendeza au kuifuta kabisa, sijui . It is one of the worst, devastating statement from your mouth!
Hii kumchangia changia ili anunue gari ni danganya toto tu lkn ukweli ni kuwa Maria na wanaharakati wenzake ndani ha Chadema wanamshawishi Lissu agombee uenyekiti wa Chama wakidhani kwa akili zao...
Sijui Chadema wataacha lini kupiga siasa za mitandaoni na kuingia vijijini ambako asilimia kubwa ya wapiga kura wanatokea huko.
CCM wanajibebea tu maujiko kwa mama zetu, uncle zetu, Baba zetu...
Balozi wa USA Tanzania bwana Battle amemimina sifa kemkem Kwa Rais Samia Kwa jinsi ameimarisha Demokrasia na uhuru wa kujieleza Aliyoleta mifano jinsi Vyama vya Upinzani hasa Chadema vilivyo huru...
Namshauri tu Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu aanze kuhamasisha mabadiliko ya Katiba kwenye UKAWA yaani CUF na CHADEMA.
Prof Lipumba, Mzee Cheyo na Mhe. Mbowe ni miungu Watu hawa kwenye...
Jina la kwanza kuwekwa hadharani ni la huyu Dickson Matata, ambaye ameteuliwa kuwania uenyekiti kanda ya Magharibi.
Dickson Lucas Matata
Ameteuliwa na Kmati Kuu ya Chama kugombea nafasi ya...
Kichwa cha thread kinajieleza
Ukifuatilia utendaji wa Makonda kwa sasa utatambua Kuwa ameujua Ukweli
Watanzania hadi vijijini wameshaamka ila bado Watu wa DSM ndio wamekariri maisha ya Uchawa...
Wanajukwaa,
Nchi yetu iliingia katika mfuko wa vyama vingi vya siasa mwaka 1992 ikiwa ni miaka 32 sasa. Kati ya vyama vya siasa vilivyosajiliwa wakati huo ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo...
Kuna dalili zimeanza kujitokeza kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, wabunge, madiwani na Rais 2025 kutokuwa huru na haki.
Hii ni kutokana na ushahidi wa chaguzi ndogo zilizofanyika hivi...
Naweza kusema huo ndio utakua uchaguzi mkuu wenyewe. Mwingine baada ya huo, itakua ni wa kukamilisha ratiba tu kwa mujibu wa taratibu, kanuni, sheria na katiba ya nchi.
Mathalani, kwenye nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.