Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda , ameonesha hali ya kushangazwa na kuchukizwa mara baada ya kutembelea na kukagua mradi wa kisima cha maji uliopo kijiji cha Ilidonyo Kata ya Sinya katika...
Mbunge wa Viti Maalum Santiel Eric Kirumba ameishauri Serikali kuweka makato ya Tsh. 50 kwa kila laini ya simu kwa ajili ya Mfuko wa Barabara (Road Fund) ili kuuwezesha kuwa na makusanyo...
Taarifa Ikufikie popote ulipo kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo, leo hii kinafanya Mkutano Mkuu Maalum Jimbo la Mjini Morogoro.
Kuna Chaguzi kadhaa za Viongozi wa Jimbo pamoja na...
Salaam, shalom!!
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu uchaguzi unaendelea wa Kanda, mchuano ni mkali na leo tumeshuhudia Mh Sugu akiibuka mshindi Kwa tofauti ya kura mbili pekee.
Jambo jingine...
Wapiga kura wapya 224,355 wanatarajiwa kuandikishwa mkoani Kigoma wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kufanyika mkoani humo kwa siku saba kuanzia tarehe 01 hadi...
Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam imeandaa mikakati kwa kila mwalimu wa shule ya sekondari kuvaa sare ya suti kwa ajili ya matukio mbalimbali.
Mkuu wa mkoa huo, Albert Chalamila amesema wameandaa...
1. Mlichokivuna kwenye maandamano yaliyoitishwa mikoa yote kwa kukosa watu, ni dalili kuwa hakuna Mtanzania anawaelewa nini mnataka. Watanzania wanaunga mkono Serikali ya awamu ya sita...
Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya hapo jana katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi pamoja na secretarieti Kupokelewa Kifalme na kwa kishindo kikuu Mkoani Singida. Hii leo tena...
Arusha inasifika kwa utalii.....Arusha ni jiji linalokutanisha watu wa makundi mbalimbali kwa sababu ya hali yake ya hewa.
Katika ukanda wa Afrika Mashariki DAR imeshindwa kushindana na Nairobi...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametoa wito kwa vijana kuachana na siasa kwakuwa siasa hailipi badala yake wafikirie kuhusu kutengeneza pesa, maana pesa ndio inalipa na ukiikosa hata kwenye...
Hii ni kwa mujibu wa taarifa yake aliyoitoa leo kupitia mtandao wake wa kijamii
---
Kwa ajili ya ustawi wa chama changu na uimara wake ktk kujenga misingi bora na muhimu haswa ktk kipindi hiki...
Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi amesema maneno ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere bado yanaishi ya kwamba CCM ikitikisika hakutokuwa na Nchi madhubuti na hivyo amewataka kila...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayonipa uhuru huo.
Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila awashangaa wanaotaka Tume huru ya Uchaguzi isiwe chini ya Rais ama Rais asiwe na Mamlaka na Tume hiyo.
Hakuna tume itazaliwa Rais asiwe na mamlaka...
Gambo amuonya Mkuu wa wilaya mbele ya Makonda, asema ameshindwa kazi
Kuna kiongozi mmoja, alisema eti mambo hayaendi kwasababu ya mgogogro wa mbunge, Baraza la Madiwani na Wataalamu, haya...
Viongozi tunaowachagua tunawapa mamlaka ya kutuamulia mustakabali wa maisha yetu katika kipindi chote cha uongozi wao. Viongozi hawa wanatunga sheria na sera kwa niaba ya wananchi wote, wanachukua...
Hizo Pilika pilika, shamra shamra , shangwe , kishindo na Mtikisiko uliousikia Nchi nzima unahusu kanda 4 tu
Ifahamike kwamba bado kuna kanda 6 hazijafanya uchaguzi, sasa bado hatujui nini...
Kwa namna wabunge wa viti maalumu wanavyojenga hoja na kuongea bungeni kuna ambaye unaweza kusema anashawishi tuwe na wabunge wa viti maalumu?
Kama yupo ni yupi? Pamoja na kumtaja tuambie...
Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda.
Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini.
Ujumbe wake huu hapa
---...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.