Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema kuwa hapa nchini Tanzania hakuna mwenye amani; si waliochaguliwa, si...
"Kuna kitu kimetengenezwa katika nchi hii na watawala ile sera yao susi inaitwa wagawanye watawale ndiyo ambao wanatumia hao watawala ambao wanauroho wa madaraka ninaomba watanzania hiyo sera...
https://youtu.be/hCgMt6sD0zM?si=dqkSFZPmFfSlwzUZ
Tutaelewana tu
Eti jumla ya wapiga kura 32,000,000 plus walitokeza kupiga kura...
Kati ya hawa wote eti 98% wakampigia kura Samia Suluhu Hassan...
Viongozi wa chama cha ACT Wazalendo wanaendelea na ziara zao katika Mikoa ya Kusini ambapo jana Januari 7, 2026 Kiongozi wa Chama, Dorothy Semu, aliwasili katika Jimbo la Mtwara Mjini na kufanya...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema kuwa wahusika walijua mapema kuwa watatenda makosa, kwa lengo la baadaye...
“Ikionekana Rais abakishiwe Mamlaka aliyonayo kwangu ni sawa, wakisema apunguziwe kwangu ni sawa, na hata wakisema aongezewe zaidi kwangu ni sawa tu” Dr. Makame, Mbunge wa Bunge la Afrika...
Abdallah Makame, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, amesema kuwa taifa lina utaratibu wake wa kushughulikia vifo vinapotokea nchini, ikiwemo kutoa pole kwa wafiwa na kuwajali waliojeruhiwa...
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdallah Makame (CCM), amesema kuwa kuna watu wananataka mabadiliko ya katiba unataka nini kibadilike?.
Nimekuja kugundua ni ngumu sana kuja kuipata hii...
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdallah Makame (CCM), amesema kuwa hana ufahamu wa chanzo cha matukio ya Oktoba 29, lakini ni kweli kuwa kulikuwa na watu waliokuwa wakitembea na mabegi...
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdullah Makame (CCM), amesema kuwa maridhiano yanayotarajiwa kufanyika hayana uhusiano wa moja kwa moja na matukio ya Oktoba 29, bali ni moja tu ya...
Abdallah Makame ambaye ni mbunge wa bunge la Afrika Mashariki akijibu hoja ya mtangazaji Odemba kuhusu haki na amani, amesema kuwa vyote ni pacha na haviwezi kutenganishwa kwasababu vinategemeana
“Ni kweli kuna baadhi ya Nchi katika Jumuhiya ya EAC matokeo ya Urais yanapingwa mahakamani, lakini mimi kwa Tanzania sioni umuhimu wa kupinga matokeo ya Urais Mahakamani, na wala sioni aibu...
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdallah Makame (CCM), akizungumza katika kipindi cha Medani za siasa amesema Tanzania ni nchi ya demokrasia inayofuata mifumo ya vyama vingi vya siasa...
Tahakiki ya Tamko la Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, kwa Wahariri, 25 Novemba 2025: Mazingira, Maudhui, Mapengo, Tathmini na Mapendekezo
1. UTANGULIZI KUHUSU TAMKO
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu...
Wapiga kura 20,851 waliomo kwenye Daftari la Kudumu la Mpigakura wanatarajiwa kushiriki uchaguzi wa madiwani katika Kata ya Kirua Vunjo Magharibi, Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro...
Balozi Emmanuel John Nchimbi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakuandikia ujumbe huu nikikuomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa uvunje ukimya ulisaidie taifa. Nchi yetu...
Katika kipindi cha One Against One kati ya mtangazaji nguli Chief Odemba na mwanahabari mwandamizi Habibu Mchange, Mchange amesema kuwa mwenyekiti wa Chadema na makamu wake John Heche ndio...
Wakili Hekima Mwasipu, mmoja wa Mawakili wanaowawakilisha Rosemary Mwakitwange, Wakili Deogratius Mahinyila na Wakili Edward Heche ambao ni waleta maombi kwenye kesi ya kuhoji uhalali wa Tume ya...
Anaandika Rais wa TLS kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X, Boniface Mwabukusi.
HATUTAENDELEA KUKAA KIMYA DHIDI YA UOVU.
Hii ni project yenye sessions 27 mpaka sasa zimefika tano. Nadhani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.