Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salaam, Shalom!! Haya pia ni madhara ya kubaki na chama kimoja kikuu cha upinzani. Tukijiuliza jwa sasa, CHADEMA bado kina sifa ya kuitwa chama kikuu cha upinzani, wangapi watakubaliana na HOJA...
0 Reactions
15 Replies
824 Views
Mbunge wa Jimbo la Rorya Mkoa wa Mara, Mhe. Jafari Wambura Chege ameandaa Kongamano la Vijana Rorya Tunaruka na Mama Samia lililohusisha Semina za mafunzo mbalimbali yenye fursa kwa Vijana wa...
0 Reactions
1 Replies
609 Views
Haya ni maoni yangu na upepo ninavyouona unavyovuma! Lisu is the right presidential candidate from Chadema! Give him a second chance. ATAMTIKISA SAMIA, TENA SANA!
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Hali ndani ya Chadema si shwari. Kama imefikia hatua kiongozi mwandamizi ndani ya CHADEMA bila aibu anampeleka Abduli kwa Lissu kumshawishi achukue rushwa. Tena anamwambia kuwa watu kibao ndani ya...
21 Reactions
97 Replies
4K Views
Nimeshangaa sana kuona KADI za Makaratasi za CHADEMA kwani ninavyojua CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo walishaacha na hizo KADI za Kienyeji. Pia soma: Kadi za kieletroniki za uanachama kuipa CHADEMA...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Kwa walio ushuhudia umri wa CHADEMA tokea kianzishwe ni wazi haupo wakati Chama hicho kinashuhudia wimbi la utengano uliyo bayana kama siku za hivi karibuni. Kutuhumiana wazi wazi pasi na uficho...
0 Reactions
4 Replies
469 Views
Wawili hao ni miongoni mwa Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema waliokutana kwenye kikao Muhimu kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Mikocheni, Dar es Salaam
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amemkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu kujiunga na chama hicho akidai tayari chama chake...
1 Reactions
5 Replies
829 Views
Jinsi ya CHADEMA kufanya vizuri kwenye uchaguzi wa 2025. 1. Kwanza, mgombea urais wa CHADEMA apatikane kwa njia ya primaries. Hii ndio njia tuliyokuwa tunaitumia huko nyuma. Hata wakati Mbowe...
0 Reactions
3 Replies
665 Views
Akizungumza kupitia mtandao wa ClubHouse, Rais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi, amesema; Kama kuna walimu wanachanga hela kumchangia @SuluhuSamia kugombea kupitia CCM...
17 Reactions
56 Replies
2K Views
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa amesema atatumia nguvu na Juhudi zile zile za CHADEMA kuzunguka nchi nzima kuelezea Mazuri na...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Salaam Lissu nilikuwa nakuheshimu sana. Umepigwa risasi sababu ya CHADEMA, umefungwa sababu ya CHADEMA, huishi kwa amani sababu ya CHADEMA. Leo unakataa ngawila sababu ya CHADEMA. Umelogwa au...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Wasalaam. Ndugu zangu wadanganyika hakika sisi ni wadanganyika na tumekua tukidanganyika tangu kuanzishwa kwa vyama vingi vya siasa mwaka 1992. Hapo nyuma kulikua na chombo cha kusimamia uchaguzi...
1 Reactions
14 Replies
927 Views
Kutokana na kampeni za kijinga zinazoendelea hapa JF na kwingineko, za kutaka Msaliti Mdee na Wasaliti wenzake warejeshwe Chadema, Imebidi tumelazimika kuja kutoa Ufafanuzi. Halima Mdee na...
23 Reactions
123 Replies
5K Views
Kwa namna Mch Peter Msigwa kada mpya wa CCM anavyoieleza CHADEMA ilivyo. Mhe Tundu Lissu sioni haja ya wewe kuendelea kujitesa ndani ya CHADEMA wakati wewe kwenye Taifa hili ni hazina Kila mmoja...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa watanzania wenye sifa za kujiandikisha katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, kujitokeza katika...
1 Reactions
14 Replies
778 Views
Anayejua aliyekuwa Mbunge wa Iringa mjini ni mchungaji wa Kanisa gani anijulishe Nimekaa pale 😃🔥 PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter...
0 Reactions
7 Replies
698 Views
Huko Mbeya kama ilivyo kila Mahali Tanzania kuna kilele cha Maonesho ya Wakulima au maonesho ya Nanenane. Pamoja ni bidhaa mbali mbali za kilimo ikiwemo vifaa vyake kama Matreka kuonyeshwa...
12 Reactions
31 Replies
3K Views
Wapo wanachama ndani ya vyama vya siasa wanaoshikilia misimamo ya kupinga agenda zitakazokiimarisha chama. Ndani ya vyama wamo wanachama ambao wamenunuliwa bila kuchukuliwa. Unaweza kumnunua mbuzi...
1 Reactions
0 Replies
296 Views
Katika dunia ya leo kuna technolojia ya "Akili Bandia" au "Inteligensia ya Bandia." Hii inafanya utabiri baada ya Researcher kukusanya Data. (secondary data au Primary data) Researcher anaweza...
6 Reactions
58 Replies
2K Views
Back
Top Bottom