Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye Mkutano ulioitishwa na Chama hicho amesema Viongozi wa Chama hicho wamefunguliwa mashtaka na kisha kujidhamini na...
Tumeshtushwa sana na taarifa za kuaminika kwamba polisi walitumia nguvu kupita kiasi wakati wa kuwakamata viongozi wa Chama cha siasa cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA, washiriki vijana, na...
Wakuu,
Hizi hapa Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji, Wajumbe, wa Halmashauri ya Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka za Wilaya za mwaka 2024.
Pia soma
~ Je, umeziona na...
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kuwashikilia na kuwahoji viongozi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wapatao 520 na kuwaachia huru baadhi yao kwa dhamana.
Pia...
Inawezekana sijui sana ila CHADEMA yapaswa mbadilike kwenye ungwe hii ya siasa
CHADEMA is a story teller, na watu wote wanaojiita wananchi na kuhuzunika na CHADEMA mnajipotezea muda na kujitukana...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu Moto Chini ameandika Ukurasani X " Rais na Amiri Jeshi Mkuu TUMEFIKAJE huku tena?"
Sugu ameandika akiwa Chumba cha Wagonjwa...
Viongozi wa Chadema na Wanaharakati waliochukizwa na kina Mbowe, Lissu, Mnyika, Sugu na wanachama wao wamelalamika kwamba Lissu ni mgonjwa. Anatumia dawa muda wote lakini Polisi walimkatalia...
Baada ya Viongozi na wanachama wa CHADEMA kukamatwa na Jeshi la Polisi Agosti 11, 2024 walipokuwa wakielekea Jijini Mbeya kwenye kongamano la Vijana Duniani na kisha kuanza kuachiwa kuanzia 12...
Salaam, Shalom!!
Wote tunajua masaibu yaliyomkuta TUNDU Lissu, Hadi tunavyoongea risasi Moja haijatolewa mwilini mwake.
Hakuna askari Nchi hii asiyemjua TUNDU Lissu na Hali yake kiafya na...
“Naenda Mahakamani kufungua kesi kwanza ya kuvunjiwa mkutano wetu bila sababu, pili Viongozi na Wanachama wetu kupigwa bila sababu, tatu kukamatwa bila sababu, nne kufungwa bila sababu, tano...
Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwalimu Nyerere hakuwahi kukamata wapinzani wake kisiasa kina Kambona kwa kiasi kikubwa kama hicho.
Si Mwinyi wala Mkapa wala Kikwete wala...
Na Mwandishi Wetu
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), katika kipindi hiki ambacho nchi inajiandaa kwenda katika uchaguzi wa serikali za mitaa kimejipanga kuvuruga uchaguzi lakini pia...
Kabla ya uchaguzi wa 2015 mlikuwa na nguvu sana mikoa ya Mwanza, Mara na Geita. Mlishinda chaguzi na kupata mafiwani, wenyeviti wa vijiji , vitongoji na hata Wenyeviti wa serikali za majiji...
Vitisho vya aina yoyote ile na Lobbying yoyote ile kwenye Media kuelekea Press conference ya Mhe. Freeman Mbowe @freemanmbowetz havina nafasi kwenye Uhuru wa Habari.
Kwani Freeman Mbowe hapaswi...
Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa, halijapiga marufuku kufanya mikutano ya nje ya hadhara na ile ya ndani ili mradi inafuata matakwa ya sheria za nchi.
Pia soma: Uzi Maalum wa Matukio...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amewataka Wanasiasa Nchini kutumia vizuri ndimi zao na kamwe wasitoe matamshi ambayo yanaweza kuhatarisha amani na utulivu...
Wakati mwingine watu wanapolaumiwa kwa kulipa kisasi huwa tunawaonea tu, Unamkamata mtu kwao Mbeya unamficha Iringa, mnampiga sana halafu mnamsafirisha hadi ugenini Dar na kumwachia huru.
Polisi...
Kilichowaponza CHADEMA ni kauli na hamasa ya vurugu
Na Mwandishi Wetu
MWAKA 1994 hauwezi kufutika katika historia ya dunia baada ya watu zaidi ya 800,000 kupoteza maisha kwa mauaji ya wenyewe...
Fikra na hali ya Wanasiasa kutegemea madhaifu yao ya kimwili au kiafya kuvutia au kupata huruma ya wananchi, imeanza kuadimika, kutoweka na kupotea kwa kasi sana nchini, huku ikiwaacha wanasiasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.