Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mujibu wa Ratiba iliyosambazwa na CHADEMA, leo ni zamu ya Mkoa wa Simiyu, ambako wananchi wataandamana mitaani kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi nchini Tanzania. Kama...
14 Reactions
76 Replies
4K Views
Kuna haja kwa kipindi hiki kuangalia katiba zetu upya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hairuhusu Rais aliyopo madarakani au kustaafu kushtakiwa kwa kosa lolote lile Je siku akitokea...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Watanzania wamesoma, miaka takribani 60 Sasa toka uhuru .sio wajinga kwakuwa ni wakimyaa wanaopenda kushughulikia na mambo yao yasiohusu siasa,japo maisha yenyewe ni siasa. Ni jambo la Hatari...
1 Reactions
3 Replies
437 Views
Mkuu wa Mkoa wa kusini Unguja Visiwani Zanzibar, Ayoub Mohammed Mahamoud, ametangaza uamuzi mpya wa kuwapatia Wafanyakazi wa Ofisi yake chai ya asubuhi ikiwa na kitafunwa cha mikate wenye siagi...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mvomero Mkoa wa Morogoro Said Nguya amekemea tabia iliyoanza kujengeka miongoni mwa vijana nchini ya kusifiana sifa za uongo wakiwa ana kwa ana ama kusemana vibaya...
0 Reactions
5 Replies
824 Views
Tundu Lissu ndo mwanasiasa bora Kuwahi kutokea Tanzania. Kapigwa risasi Ila yupo imara. Kawekwa ndani sana Ila yupo imara. Kaondolewa bungeni bila sababu za msingi Ila yupo imara. Tundu Lissu...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu, ukweli uko wazi CCM hawaitaki katiba mpya kwasababu ndio anguko lao la kiutawala, pia uwepo wa tume huru ndio msumali wa mwisho kwenye jeneza lao la utawala wa ulaghai. Muungano huu ni...
2 Reactions
0 Replies
325 Views
Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya...
17 Reactions
112 Replies
5K Views
Chadema Ina Mbunge Mmoja Bungeni kama Sio wawili Hiyo inafnya Kiwe ni CHAMA chenye Umaarufu Mdogo licha ya Kujitutumua na Kufanya Maandamano ili kupata Ridhaa ya Wananchi kukiamini Tena.. Kitendo...
0 Reactions
4 Replies
529 Views
Kwa tathmini yangu ccm ndio chanzo kikubwa cha umaskini Tanzania. Kuna watu wema ndani ya ccm kama rais samia ila mfumo wa ccm sio mzuri kwa maendeleo ya taifa. 1. CCM inaifunika dola kitu...
6 Reactions
23 Replies
951 Views
Ni kuwapa tu taarifa kwamba Rais Samia alihudhuria kikao muhimu Cha IDA taasisi ya World Bank nchini Kenya Kikao hicho muhimu kilihudhuriwa na Wakuu wa Nchi 17 za barani Africa Credit: Mkuu...
4 Reactions
15 Replies
935 Views
Tangu UVCCM hii ya 2000's ipambe moto kudahili vijana mashuleni, vyuoni na mitaani hakuna kijana mwenye ajira ya uhakika (permanent & attractive salary) amejiunga na UVCCM na kujishughulisha nayo...
2 Reactions
3 Replies
408 Views
Sanjari na alivyokuwa akisisitza Nyerere (RIP): "Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Hii topic ni distraction. Mimi nilitaka kuandika kuhusu jambo lingine. Lakini 1964,kama TFL ilivunjwa ni kwa sababu iliunga mkono maasi ya Colito Barracks. Lakini ni kweli anavyosema Tundu Lissu...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
“Nimesikitishwa na nimeshangaa kauli iliyotolewa na ndugu yangu msomi mwanasheria, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA , akiwahutubia wananchi na ametumia maneno ya ubaguzi huwezi kiongozi makini tena...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mhe. Kinana anazungumza na waandishi wa habari Dodoma. Katika mambo aliyozungumza ni kudai tume itakuwa huru, kudai Rais ana nguvu kwenye kila tume ya uchaguzi Duniani na kudai Chadema wanamepewa...
2 Reactions
7 Replies
721 Views
Kama ni Kweli Chadema walishauri Vyama vingine visiingizwe kwenye Mijadala wa Marekebisho ya NEC bali Wawe Wao na CCM tu, basi demokrasia ya nchi yetu ipo mbali Wengi tulihoji hapa Jf Kwanini...
0 Reactions
2 Replies
398 Views
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Zitto Kabwe amepost logo ya ACT-Wazalendo na kuandia ushairi huu; "Huzuni imenijaa Machoji yamejaa Moyoni kumepwaa Kukuacha hatimaye "Mlongo umenifaa Umekuwa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Kaskazini amewataka CCM kuachana na kicheko cha kujitekenya badala yake wajikite kwenye hoja. Amesema propaganda za CCM kuhusu Ugomvi wa Lisu na Mbowe zipuuzwe na...
0 Reactions
5 Replies
666 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…