Ndugu zangu Watanzania,
Kauli za kibaguzi ambazo zimetolewa na zimekuwa zikitolewa kupitia mdomo wa Lissu zimeendelea kulaaniwa na kukemewa sana na watanzania maeneo mbalimbali nchini. Ambapo...
Habari ndiyo hiyo. Hizi juhudi za Mbowe aondoke, ni mkono wa chuma wanaouogopà. Wanasubiri uanguke washangilie. Msiruhusu kitu kama hicho.
Msiwe wepesi wa kusahau. Mnadhani Mashinji (nadhani...
Nimepitia kumbukumbu za mjadala wa katiba na Muungano kwa miaka zaidi ya 11 sasa. Kumbukumbu kwenye YouTube na mahojiano yaliyowahi kufanywa na vyombo mbalimbali ikiwemo midahalo inaonyesha...
Akiwa Bungeni Dr Bashiru ameitaka serikali kubadilisha mfumo wa kuajiri kutoka Utumishi na kuviachia vyuo vikuu kuajiri. (Namkubusha tu 2019 alikuwa bado ni Magu, na katika hili watumishi wengi...
Machawa fanyeni kazi yenu basi ya kusifia. Mvua hizo, mafuriko, mama Anaupiga mwingi. Naomba tumshukuru kwa mafuriko maana maisha yetu yanakuwa determined na Mama.
Au nakosea jamani
Serikali imetenga bilioni 3.5 katika bajeti ya wizara ya afya kusimamia tafiti na matumizi ya matokeo ya tafiti mbalimbali katika afua za:
Tafiti za magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo saratani...
Watanzania watatu waliuawa Jumanne iliyopita jijini Cape Town, Afrika ya Kusini kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya. Watanzania hao walipigwa risasi na kundi la watu...
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Vikao vya Kamati Kuu ya Chadema, ambayo sasa imedhihirika kwamba ndio Chama cha Siasa chenye Wanachama wengi zaidi Nchini Tanzania ( inatajwa kuwa na...
Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu...
Siku hizi kumezuka Tabia za malorry makubwa kwa magari kuegeshwa pembezoni mwa barabara au kwenye njia za waendao kwa miguu, hivyo kujaribu mazingira, kwani sehemu hizo sio hazikujengwa kuhimili...
Mkuu wa mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga leo Machi 9, 2024, ameongea na waandishi wa Habari ofisini kwake juu ya maadhimisho ya jubilee ya miaka 25 toka kuondoka hayati Baba wa Taifa Mwalimu...
Taarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha...
Muundo wa Muungano wetu, hata kwenye mantiki ya kawaida una kasoro kubwa. Na kasoro hizo zipo wazi kwa kila mwenye akili timamu.
Siyo kweli kuwa CCM na Serikali yake hawazioni au hawazijui hizo...
TAARIFA YA KIFO CHA NDG OCTAVIAN HUBERT TEMBA
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei amelaani vikali mauaji ya Ndg Octavian Hubert Temba miaka 25-30 toka kijiji cha Komela...
Huyu mzee namkubali sana, Haya mahojiano yake nahisi ni sehemu ya kwanza, KIkubwa ninachomkubali nikuwa sio mramba makalio, na yupo straight forward...
Tusipoziba ufa, tutajenga ukuta,
Ni busara shughuli na maswala ya muungano na tunu zake, yakatolewa nje, aidha yakawa siyo maswala ya kujadiliwa na wanasiasa wa vyama vya siasa vilivyopata...
Hii kauli ya kuwa Serikali haifanyi biashara wala haipaswi kujihusisha na biashara binafsi sifurahishwi nayo hata kidogo.
Ajabu kwamba inatolewa na taifa linalo jitanaibisha kuwa linafuata sera...
Kwa maoni yangu hivi hapa ni vyama mamluki ambayo ni matawi ya CCM
ADA TADEA
CCK
NLD
Demokrasia Makini
NCCR- MAGEUZI
TLP
UPDP
SAU
UMD
NRA
ACT
CUF
Pamioja na Chama cha DP
Ndugu zangu Watanzania,
Hakika ni mtetemo wa furaha, shangwe, tabasamu, nderemo ,vifijo na matumaini makubwa sana katika mioyo ya watanzania. Hii ni baada ya Rais samia mama wa shoka, chuma cha...
Shirika la Uchunguzi la Mitandao la NetBlocks limesema changamoto ya Ukosefu wa Internet umezikumba Nchi zote za Africa Mashariki na Jirani zao.
NetBlocks wamesema nchi 12 zimeathirika japo...