Rais Samia awatetemesha Watanzania kwa furaha, ni baada ya kutiririsha Trilioni 6 Sekta ya Afya ndani ya muda mfupi

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,311
9,740
Ndugu zangu Watanzania,

Hakika ni mtetemo wa furaha, shangwe, tabasamu, nderemo ,vifijo na matumaini makubwa sana katika mioyo ya watanzania. Hii ni baada ya Rais samia mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia na nuru ya wanyonge kufanya mapinduzi katika sekta ya Afya hapa Nchini, kwa kumwaga Trilioni Sita ndani ya miaka yake miwili na nusu madarakani.

Hayo yameelezwa na Waziri mwenye dhamana Ya Afya Mh. Ummy Mwalimu jana alipokuwa anajibu maswali ya waandishi wa habari juu ya masuala mbalimbali yahusuyo Secta ya afya, lakini pia mafanikio makubwa yaliyopatikana kutokana na ziara ya Mh. Rais nchini India alikofaya ziara ya kitaifa kwa mwaliko maalum wa Rais wa Taifa hilo linalokuwa kwa kasi sana kiuchumi na kiteknolojia.

Hii maana yake nini ndugu zangu juu ya uwekezaji huo wa Rais Samia? Jibu ni kuwa Rais Samia amedhamiria kuwekeza kwa watu, kujenga na kuimarisha afya za watanzania, kupunguza na kumaliza vifo visivyo vya lazima, kujenga Taifa lenye afya bora na njema ya akili na mwili na lenye utayari wa kufanya kazi kwa nguvu zote,kujenga nguvu kazi yenye nguvu na afya njema, kusogeza huduma za afya karibu ya mwananchi.

Rais Samia anatambua kuwa Taifa imara ni lile lenye Afya njema kwa watu wake ya kiakili na kimwili, lenye uwezo wa kufikiri sawasawa, lisilo na udumavu wa akili na mwili. Ndio maana ya uwekezaji huo mkubwa, ndio maana ya kujenga zahana, vituo vya afya na hospitali za wilaya, mikoa, Kanda na Rufaa kila kona ya Taifa letu.

Ili watu wapate huduma kikamilifu na kwa ubora wa hali ya juu sana. Ili Taifa lizalishe vizuri na kufanya kazi vizuri ni lazima watu wake wawe ni wenye afya njema. mtu mwenye afya mgogoro au dhaifu yenye kila aina ya maradhi mwilini hawezi kufanya shughuli za uzalishaji kama vile kulima au shughuli za kilimo.

Rais Samia anatambua ya kuwa Afya ndio mtaji namba moja wa mwanadamu au Mtanzania, ndio maana kwa ujasiri ameamua kuwapatia mtaji huo watanzania bure kabisa ili kila mmoja wetu autumie kuinuka kiuchumi kwa kuchapa kazi kwa bidii, juhudi na maarifa kama msingi wa maendeleo wa mtu mmoja mmoja na Taifa zima kwa ujumla wake.

Ndio maana kila mwaka na kila wakati amekuwa akinunua vifaa tiba vya kutosha, madawa ya kutosha na ya magonjwa mbalimbali hasa yale yenye uhitaji mkubwa kwa wananchi kulingana na magonjwa na umri mfano watoto chini ya umri wa miaka mitano au wazee. Amekuwa akiajiri nguvu kazi ya kutosha yaani wataalamu wa afya wa kila Eneo ili wagonjwa wafikapo hospitalini wapate huduma na kuhudumiwa vizuri, kwa kupokelewa vizuri, kusikilizwa vizuri na mwisho kupewa huduma stahiki.

Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
IMG_0261.jpg
 
Kazi Kaz, kazi kazini anapiga right, left and center,
aise ndezi wanashangaa tu.....
 
Naunga mkono hoja.

Samia hana mda wa porojo ni kazi tuu

View: https://www.instagram.com/p/Cx-Y7YZK1JI/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Pesa za maendeleo zinakopwa nje, lakini pesa za ndani wanagawana na kutunisha matumbo yao ikiwemo kujenga majumba ya kifahari ughaibuni.

Ipo siku yenu, mtakipata.
Wakina nani wanaogawana? Kwani unafikiri miradi mikubwa na ya kimkakati inayojengwa hapa nchini pesa zinatoka wapi kama siyo kodi zetu kutumiwa vizuri na serikali yetu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom