Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwaka 2021 umeisha kwa mjadala mkali kuhusu kasi ya ukuaji wa deni la Taifa. Mjadala huo japo umekuwepo kwa kitambo lakini wiki mbili zilizopita umechagizwa zaidi na kauli kali ya Spika wa bunge...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Yes kwa nchi kama Japan siyo deni kama la Tz yetu....wao mengi ni mambo ya ndani zaidi kuliko nje Debt to GDP is a very broad measure. Debt can be private, corporate, or governmental. Another...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Jana Mhe. Mpina alifukuzwa Bungeni na kutakiwa kutohudhuria mikutano 15 ya Bunge. Tulisoma HOJA zake lakini uamuzi ukafikiwa kuwa afukuzwe. Kwa kuwa nchi hii inaongozwa kwa kufuata UTAWALA BORA...
0 Reactions
1 Replies
351 Views
1. Malumbano kati ya Waziri wa fedha na Kamishina wa Mapato TRA Msimamo wa Kamishina kuhusu kero za wafanyabiashara ni kutekeleza sheria wala siyo maagizo ya wanasiasa wa ngazi yoyote...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Vijana wa Gen Z walichohitaji ni Zakayo ashuke Rasmi sasa Zakayo ameshuka Baadae Mlale Unono 😃
0 Reactions
1 Replies
379 Views
Nilimsikia Kitila Mkumbo akisema kuna bidhaa 8 wamekubaliana na wafanyabiashara kuziingiza kwenye mfumo bila ufafanuzi zaidi na leo nimemsikia tena Mwigilu akisema kuna bidhaa 8 ambazo...
1 Reactions
3 Replies
296 Views
Hali ni tete Sana Maaskofu wa Kenya wamtaka Rais Ruto kuitupilia mbali Finance Bill Ili kuliokoa Taifa Maaskofu wamemtaka Amiri Jeshi Mkuu wa Kenya kuwarudisha KDF kambini na Mipakani mara Moja...
1 Reactions
8 Replies
391 Views
Maeneo ya Tip Top Manzese Maduka bado yamefungwa ila kuna Mauzo yanaendelea Kwa kificho Kariakoo ikoje Leo?
2 Reactions
8 Replies
508 Views
Wakuu salaam kwenu! Kuelekea 2025 Kumekuwa na tabia ya baadhi ya Wabunge kuhama makazi yao baada ya kuchaguliwa na kuwa Mbunge. Wakati wote mtu alikuwa mkazi wa Jimbo X, anaomba ridhaa kupitia...
0 Reactions
1 Replies
316 Views
Rais ni cheo kikubwa sana yenye madaraka makubwa sana mwenye kupata hiyo nafasi lazima aihenyee ndio atakuwa na wivu na hiyo nafasi. Siyo kupewa tu na katiba. Migomo hii ni udhaifu wa Rais wa...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Akihitimisha hoja ya Serikali Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amesema Serikali ya Rais Samia ni sikivu na imekuwa ilifanya hivyo Toka Mwanzo. Kwa msingi huo imesema itapunguza matumizi ya...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Waziri Kivuli wa Mifugo na Uvuvi, Ndugu Selemani Misango, amesema bajeti iliyotengwa kwa Wizara ya Mifugo na Uvuvi haiwezi kukidhi matakwa na matatizo ya Sekta hiyo nchini na kwamba ACT Wazalendo...
1 Reactions
3 Replies
671 Views
Sukari ipo? Je, ni bei gani mtaani? PIA SOMA - LIVE - Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Ni angalizo tu Kwa waziri wa mambo ya nje January Makamba kuhusiana na Uwekezaji wa Majengo kwenye Ubalozi wa Uganda Citizens tv wameonyesha Jengo la Uganda ambalo lina ofisi za Balozi humo humo...
3 Reactions
9 Replies
644 Views
Ninawasilimia wana Jf wote. Baada ya mapumziko ya kuandika hapa na kuwa kwenye kundi la wasomaji, leo nimerejea baada ya miaka miwili. Ninaomba mnipokee na msinifokee. Niendelee na mada. Katika...
1 Reactions
2 Replies
603 Views
Kama Nchi, tumefika pazuri sana, maana sasa ni dhahiri kwamba Wananchi wameanza kutambua kwamba wao ndio wenye nchi. Hata kama tumechelewa lakini ni bora kufika kwa kuchelewa kuliko kutofika...
9 Reactions
45 Replies
3K Views
Hii ni hatua nzuri sana, hasa ikizingatiwa kwamba, chanzo cha mgomo huu ni Serikali ya ccm kuwapuuza wafanyabiashara.
6 Reactions
14 Replies
607 Views
Wameomba kuongea na Mkubwa mwenyewe badala ya kuongea na Wawakilishi wake ambao hawana lolote zaidi ya kupiga porojo tu . Taarifa ya vyombo vya habari hii hapa
1 Reactions
4 Replies
389 Views
Wakuu Heshima mbele! Nilisoma yale ambayo Generation Z waliyasema na yote wameyatekeleza kwa asilimia 100%. Kesho 27/06 Waandamanaji wamesema watafunga njia kuu ya kuelekea nairobi na kuiteka...
10 Reactions
20 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…