Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akihojiwa na Mwanahalisi Digital, aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA na baadaye kuhamia CCM, Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa kuna orodha kabisa imewekwa ya Watu wa kuondoka...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Hakuna ubishi ya kwamba watanzania wanajitaji chama cha kuweza kuwa na sera mmbadala dhidi ya chama tawala. Hata hivyo ,vyama vilivyopo vimekosa kukubalika kwa watanzania walio wengi kutokana na...
3 Reactions
30 Replies
982 Views
Akiongea mbele ya Rais Samia Ikulu leo July 26, 2024 wakati wa uapisho wa viongozi walioteuliwa Makamu wa Rais Philip Mpango amesema; Pia soma: Rais Samia: Cheo ni sawa na nguo ya kuazima ambayo...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Ukiniuliza kwa nini muziki wa Reggae hauna vibe siku hizi jibu ni moja tu, dunia ya sasa hivi hakuna ukoloni wala ubahuzi wa rangi. Aina hiyo ya muziki ilikuwa kwa ajili ya ukombozi, sasa kama...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Ni Maneno ya Nabii Nicolaus Suguye akiwa kanisani Kwake akiendesha Huduma ya Ibada. Nabii huyo ambaye anaendesha Kanisa la WRM- Word of Reconciliation Ministries lililoko Kivule Matembele ya Pili...
7 Reactions
79 Replies
4K Views
Ukisoma historia ya john okello ni mtu aliyezaliwa mazingira ya kimaskin kama ilivyo kwa jamii nyingi za ki-afrika za kipindi kile wapigania uhuru wengi wa kiafrika kama nyerere, jomo kenyatta...
4 Reactions
4 Replies
711 Views
Rais Kikwete ametangaza nia ya kuanza kwa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha kimataifa. Rais amesema reli nyembamba inapatikana eneo la Afrika Mashariki tu. Mh. Rais kayasema hayo mkoani...
21 Reactions
452 Replies
40K Views
Leo huku ya shauri alilofungua Maambukusi imetoka. Wakati kesi hii inaanza hadi inamalizika vyombo vyote vikubwa vya habari nchi vilijiweka mbali na viunga vya Mahakama. Hakuna chombo...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/watch?v=epWYJ_SY8uU United States well I hope we do have a 0:57 young lady at some point become 1:00 president of the United States I can 1:06 tell you how I think it will...
2 Reactions
11 Replies
955 Views
Labda baadae waboreshe, ili watu wasafiri wanaokaa mbali na hiyo railway line wasogezwe labda kituoni pugu, Chalinze, kariakoo. Tofauti ya nauli ya basi na Hilo SGR ni aftatu dar Moro, Sasa sisi...
0 Reactions
3 Replies
490 Views
Tunaelekea na tumekaribia msimu wa uchaguzi pamoja na mwaka wa uchaguzi mkuu.. Halipingiki fedha ni chambo muhimu ktk kufanikisha uchaguzi ktk vyama na kwa wagombea udiwani,ubunge na urais.Lakini...
0 Reactions
0 Replies
370 Views
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Albert Chalamila amekiri uwepo wa Mauaji na Utekaji Watoto lakini siyo kama yanavyoripitiwa Chalamila amesema matukio mengi yakifuatiliwa yanabainika siyo kweli. --- Mkuu...
2 Reactions
9 Replies
718 Views
Awali "Y" alikuwa Wakili na aka attest nyaraka za Mzee "X". Hatimaye Tapeli "Z" akadhulumu kiwanja, kesi ikafunguliwa. Na kwa bahati mbaya ikaanguka kwa Jaji "Y" ambaye ndiye alikuwa Wakili wa...
16 Reactions
207 Replies
12K Views
Kwa wale ambao tumebahatika kuijua CCM kwa undani, Makali ya Magufuli yataisha mara tu baada ya Kuapishwa kuwa rais 2020/2026. Nimemuona Bashiru Twitter akiwaonya Nape na Kigwangala kwa Mambo...
10 Reactions
73 Replies
11K Views
Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni...
8 Reactions
52 Replies
5K Views
Mkuu wa Mkoa wa Mara amewakaribisha viongozi, watendaji na wananchi wote kushiriki katika maadhimisho ya miaka 60 ya Mwenge wa Mwitongo yatakayofanyika nyumbani kwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia. Hakuna Maada nyingine...
55 Reactions
109 Replies
5K Views
Hakunaga Uhuru usio na Mipaka Uhuru wa kwanza kabisa kwa mwanadamu ulitolewa pale Bustani ya Eden na Mungu wa Mbinguni mwenyewe Uhuru ule Mungu aliuwekea Mipaka; "Matunda YOTE ya Bustani...
2 Reactions
5 Replies
481 Views
Mwenge ni protocal ya Rais, nilitarajia Mkuu wa Mkoa wa Arusha leo akabidhi mwenge kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara. Kulikoni Arusha!? Hata mgomo wa wafanyabiashara Namanga, kwa nini Mkuu wa Mkoa wa...
11 Reactions
62 Replies
6K Views
1.Jerry Silaa ni mbunge anatumikia mhimili wa bunge ambao unapaswa kujitegemea. 2.Jerry Silaa ni waziri anatumikia serikali ambayo nayo ni mhimili unaojitegemea 3.Jerry Silaa ni wakili wa...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…