Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari, Huu ni ushauri kwa Dr. Samia kuelekea uchaguzi wa 2025. Huenda watu wake wanamdanganya "Mama umeupiga mwingi utapita tu" ila kiukweli hupendwi huku mitaani watu wamekata tamaa kuhusu...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa tabia ya yule Jamaa kufokea Kila mtu na kuona wote hawana akili isipokuwa yeye basi Mawakili wajiandae Kuburuzwa na kupelekeshwa na Mwabukusi kama gari bovu,mtu ana mihemko ,hana utulivu wa...
7 Reactions
105 Replies
4K Views
Nashangaa vijana wengi bado wanatembeza bahasha mtaani kitafuta ajira ambazo ki ukweli ni utumwa. Kwa nini msifikirie kutumia hii golden chance ya uwepo wa mama madarakani kujitafutia vya kwenu...
2 Reactions
10 Replies
705 Views
Mnec wa Mkoa wa Iringa Komredi Salim ASAS amesema hapa tulipo Uongozi CCM umekuwa kama Mnada Watu wanapandishiana Dau kwa Wajumbe Ili kuununua ASAS ameonya hali hii ikiachwa Iendelee itakivuruga...
12 Reactions
26 Replies
1K Views
MBUNGE ZAYTUN SWAI ATIMIZA AHADI YAKE YA MILIONI 12.5 KWA UWT JIJI LA ARUSHA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaytun Seif Swai ametoa Shilingi 12.5 kwa UWT Jiji la Arusha ikiwa ni ahadi...
1 Reactions
2 Replies
383 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna kazi ngumu na nzito na yenye majaribu mazito na mitihani ya kila aina na yenye kukuweka roho juu juu na presha muda wote basi kazi hiyo ni ya Urais. ni kazi...
4 Reactions
120 Replies
3K Views
Ni dhahiri atatulia na atapoa sana, atabadilika mno, anaweza kupoteza ufuasi lakini pia anaweza kuongeza uungwaji mkono. Ni kama nyumbu alietwezwa kwenye ziwa lenye mamba wakali sana na wenye...
4 Reactions
205 Replies
6K Views
🗓️ 3 AUGUST 2024 🗒️ Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Jana ametembelea GEREZA LA NYAMISIVYI {W} Kibondo, lengo ikiwa ni kuwaona wafungwa na kuwapa sabuni kwa ajili ya...
0 Reactions
10 Replies
725 Views
Na kwamba baada ya Tuzo hizi Zinazodaiwa kuambatana Rushwa ya hela, kuna Mwandishi yeyote hapo Mbeya atakayeandika Ukweli mchungu kuhusu huyu Mbunge? Ni lazima Mamlaka ikemee kitendo cha Kila Mtu...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan Serikali amesema Serikali ina mpango wa kuzifungamanisha huduma za Usafirishaji wa Treni za Reli ya TAZARA na za Reli ya Kisasa za SGR ili kuongeza ufanisi na kurahisha...
0 Reactions
2 Replies
874 Views
Binafsi sielewi kwanini CHADEMA wanaamini katika haya maridhiano wakati swala dogo kabisa Kama la viti maalumu wanadai kuwafukuza wakiwa bungeni. Kesi mahakamani haiishi na wanaendelea kuwa huru...
0 Reactions
7 Replies
599 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema ameumia sana kuona mchungaji Msigwa anahamia CCM...
13 Reactions
129 Replies
6K Views
Taarifa za Ndugu zake na Viongozi wenzake wa Chadema zinaeleza kwamba leo ni siku ya 8 tangu atekwe na waliojitambulisha kama maofisa wa Polisi kutoka Ofisi ya RPC. Dioniz Kipanya ni Katibu...
13 Reactions
72 Replies
4K Views
Huenda hii siyo ndoto yako lkn naleta kwako mawazo YANGU. Kila unaposimama unaonekana Kila unalofanya linaonekana Kila kijiwe na senta jina lako limekaa kwa vichwani mwa watu Amini, watakalo...
8 Reactions
67 Replies
2K Views
Kama unaweza kujichotea mabil ya pesa na hakuna mtu wa kuhoji. Kwa nini usiwe mwenyekiti wa kudumu maisha? Hata kama utatambua kuwa kupata hata madiwani na wabunge ni ngumu maaana wananchi...
2 Reactions
19 Replies
687 Views
Kwa maoni yako ya kutaka Wakili Nkuba akubali kushindwa kwenye uchahuzi wa Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) ulifiofikia tamati siku ya jana, jiandae kutenguliwa nafasi yako wakati wowote...
12 Reactions
25 Replies
3K Views
Technocracy ni nini ? Technocracy is a form of government in which the decision-makers are selected based on their expertise in a given area of responsibility, particularly with regard to...
0 Reactions
0 Replies
504 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema Ili kumzuia mchungaji Msigwa kuendelea kuwadanganya Wananchi kuhusu ufujaji wa rasilimali za Chama ni vema Katibu mkuu mh Mnyika akamjibu...
4 Reactions
14 Replies
871 Views
Hakuwahi fanyiwa vitendo hiki huko chadema. Huku kwetu kiumri amezeeka kimatendo amerudi utotoni. Aibu sana.
15 Reactions
33 Replies
2K Views
Wabunge wetu Wana shughuli zao nyingine zinazowaingizia kipato kama Biashara, Kilimo n.k lakini wanalipwa mishahara minono na Serikali na Vyama vyao vinapewa Ruzuku kila mwezi. Sasa kwanini...
0 Reactions
21 Replies
863 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…