Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watu waliouwawa Oct 29 sio wale waliochoma moto vitu, hili suala la kusingizia walichoma vitu ni la kupumbaza tu, kwanza kuchoma vitu adhabu sii kifo. Adhabu ya kuchoma vitu adhabu sii kifo...
5 Reactions
8 Replies
229 Views
https://www.youtube.com/watch?v=-ZZrAoiAmqc Uchunguzi wa DW umebaini ushahidi wa kuaminika unaoonyesha kuwa vikosi vya usalama vilitumia nguvu za kikatili dhidi ya raia wakati wa vurugu...
26 Reactions
120 Replies
4K Views
Kwa wanaomfahamu Mange kwa miaka mingi, tunaelewa kwamba ni zaidi ya influencer, ana kipaji cha ziada cha kuratibu na kuhamasisha maandamano. Ni tangu enzi za Magufuli watu waliingia road kwa...
7 Reactions
38 Replies
1K Views
  • Featured
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hayo leo Januari 13, 2026 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama...
10 Reactions
67 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano, Brenda Rupia ametoa taarifa hii iliyotolewa na Gaston Galubindi, Mkurungenzi wa Sheria CHADEMA Taifa, kuhusu Kesi ya Uhaini ya Mwenyekiti wa Chama cha...
10 Reactions
40 Replies
2K Views
Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu umeiomba Serikali kumchukulia hatua za kisheria Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, wakidai kuwa kauli zake za hivi...
8 Reactions
192 Replies
5K Views
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 14, 2026, imekutana na Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais...
6 Reactions
30 Replies
994 Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, ametangaza mpango wa kumuomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kiasi cha hadi Shilingi bilioni mbili kwa ajili ya...
2 Reactions
40 Replies
1K Views
Majibu ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamira Akijibu kuhusu Kuzimwa kwa Mtandao Oktoba 29, Akiongea kwenye mkutano na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo December 05,2025.
1 Reactions
3 Replies
297 Views
Wakuu, Nilipita sehemu leo (uswahilini) nikakuta wamama watu wazima wanazungumzia kuhusu uteuzi mpya uliofanywa hivi karibuni kwenye baraza la mawaziri Yaani ni wanatoa nondo balaa. Wengine...
0 Reactions
0 Replies
77 Views
Wakuu Huyu hapa Gwajima anaelezea bila kificho kuwa kwenye ule mkesha wa mwaka mpya wakati wanakagua baadhi ya waumini walikutwa na bastola Hao "waumini" walipoulizwa kwanini wana bastola...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hayo leo Januari 13, 2026 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama...
2 Reactions
42 Replies
908 Views
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Amani Golugwa, amemtaka Dkt. Mwigulu Nchemba kuacha kupotosha umma kuhusu madai ya msingi ya wananchi juu ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Amesema madai...
2 Reactions
2 Replies
237 Views
Makamu Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo bara, Isihaka Mchinjita, amehoji ukimya wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kushindwa kuchapisha matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kwenye...
3 Reactions
13 Replies
520 Views
Januari 10, 2026, Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Uyole, Spika Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) Mhe. Dkt...
0 Reactions
7 Replies
245 Views
Waliaandaa mpango ambao walikuwa na uhakika nao kuwa utaua vijana wengi wasio na hatia. Vijana walipewa pesa na ahadi lukuki kama watakubali kujitoa mhanga kuiangusha serikali. Waliwadanganya...
3 Reactions
72 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita ameanza ziara yake ya siku saba kwenye majimbo ya mikoa ya Dar es Salaam, jana tarehe 10 januari amekutana na kufanya mkutano...
1 Reactions
6 Replies
263 Views
Mwanamitandao Clemence Mwandambo amesema amekuwa akitumia video anazochapisha mtandaoni katika kuwashauri wanasiasa na kuwasilisha mawazo yake, lakini mara nyingine wanasiasa wamekuwa hawataki...
8 Reactions
30 Replies
924 Views
Mwanamitandao Maarufu Clemence Mwandambo (Baba Yenu Mwandambo) amesema kwa sasa yeye ni kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) lakini ndani yake ana roho ya upinzani Ameeleza kuwa yeye ni mzalendo...
2 Reactions
16 Replies
387 Views
Kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi visiwani Zanzibar, Balozi Ali Karume amesema amesema chaguzi zinazofanyika visiwani humo haziendani na misingi ya chaguzi zinazotegemewa kufanyika na kuonya...
4 Reactions
3 Replies
311 Views
Back
Top Bottom