Haieleweki ACT Wazalendo hii Nguvu ya kufanya Mikutano Nchi nzima wameitoa wapi lakini ndio wanazidi kuchanja mbuga
Ndugu zetu Chadema kwa sasa wako kwenye mgogoro mkubwa wengine wakiukubali...
Mafanikio ya treni ya abiria kwa sasa kufika Dodoma yanatia moyo.
Hata hivyo ufanisi wa reli kiuchumi ni usafirishaji wa mizigo.
Muda umefika sasa kwa wizara ya uchukuzi kuanza kuratibu namna ya...
Mtu anayemdharirisha mkewe wa Ndoa kwa mambo madogo madogo kama ya Mpira hafai kabisa kuwa Mbunge iwe ni Kawe au Kigamboni, anasema mzee Mgaya
Mzee Mgaya anasema CCM inaweza ikajichanganya na...
Kupitia ukurasa wao wa tweeter, jeshi la Polisi Tanzania wameandika
"Leo 23/09/2021 Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini akutana na Maafisa Wakuu Waandamizi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Jijini...
Si tatizo kumfuga kwa kumfungia ng'ombe bandani kwa mda mlefu huku ukimpelekea chakula na maji kwenye dishi lake siku Hadi siku.
Tatizo Lina anzia pale ng'ombe huyo anapo kuja kubaha tika kwa...
Kiukweli nilipomsikia Shujaa Magufuli akikiri mbele ya Wananchi wa Singida Mashariki kwamba alimuomba Tundu Lisu aingie kwenye Baraza lake la Mawaziri niligundua Lisu mbali ya Siasa ana kitu cha...
Ukizunguka mitandaoni, watu wanaamini Tundu anastahili kuwa katika chama kingine, imagine yeye, mwabukusi na wanasheria wangekuwa na chama, hawatapata kuungwa mkono kweli? au wanaogopa kuongeza...
Ndugu zangu Watanzania,
Wakati Taifa likiendelea kutabasamu na kusikika kwa kelele za shangwe, nderemo na vifijo zinazotokana na ushindi wa Timu ya Yanga ambayo licha ya refarii kukataa magoli ya...
Ukifuatilia Mijadala ya Makamanda wa Chadema mitandaoni utagundua kwao Shujaa Magufuli na Awamu yake ya 5 ndio kipimo Chao cha Ulinganifu
Hii maana yake ni kwamba Shujaa Magufuli ameshaimgia...
Katika hatua madhubuti ya kurejesha nchi katika hali ya maelewano,usalama,na maendeleo endelevu kufuatia siasa za uhasama zilizorithiwa kutokana historia ya vyama vingi na mapungufu mbalimbali...
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Albert Chalamila amesema Binti aliyebakwa yuko kwenye Mikono salama hajafa
Chalamila amesema Yeye kama Mkuu wa mkoa anafahamu Binti aliyebakwa yuko katika kituo kimoja...
Tunajua Msigwa alienda kumuona Lissu kabla Msigwa kuhama Chadema, kama Lissu anataka kutoka, aende tu kuliko kuanza chokochoko, amfate Msigwa. Chadema ni kubwa kuliko Lissu
Nimekusikia ukinukuu BUSARA za Mwalimu Nyerere, lakini Mwalimu Nyerere busara zilimuongoza mambo mengine kuyazungumza in Camera na si hadharani. Nilitegemea majibu ya busara zaidi kuliko...
Kila tunapokaribia duru za uchaguzi wa Serikali za Mitaa vuguvugu na joto la siasa linapanda. Kuna suala la wabunge 19 walikuwa CHADEMA na ambao suala lao liko mahakamani.
Hawa wabunge...
Wakuu salama?
Kulikuwa tetesi toka pande mbalimbali kuwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete atagombea nafasi hii ya Uenyekiti wa Kamisheni ya Ummoja wa Afrika Mashariki, na kulikuwa na kama ka msuguano...
My Take
Chadema wataumia sana Kwa hili.
In fact hata Mzumbe wanatakiwa Waite mojawapo ya majengo Yao Jina la Rais Samia kama mwana Alumnai wa Mzumbe.
Ni mbumbumbu tuu ndio anaweza kuhoji mchango...
Kiukweli Boniface Mwabukusi amejulikana juzikati tu wakati wa mchakato wa Bandari.
Mwabukusi amewahi kugombea Ubunge huko kwa akina Prof Mark kupitia NCCR Mageuzi lakini hakunaga anayejua. Ila...
Ni ajabu sana nchi yetu inatafunwa kwelikweli..ni mwendo wa Mabilioni kwa Matrilioni, ripoti za CAG zilizopita hatujasikia popote wale waliokutwa na hati chafu au upotevu mkubwa wa fedha...
Kusema ukweli sitegemei Lissu atoe kauli alizozitoa kuwa CHADEMA siyo mama yake, ni kweli wote tunafahamu hivyo lakini angalia historia yako kwenye upinzani, na hadi ulipopigwa risasi.
Nadhani...