Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amewataka Wanasiasa Nchini kutumia vizuri ndimi zao na kamwe wasitoe matamshi ambayo yanaweza kuhatarisha amani na utulivu...
0 Reactions
1 Replies
440 Views
Jumapili hii taarifa za kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA akiwepo Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, Makamu mwenyekiti Tundu Lissu na viongozi wengine zilitangazwa kupitia vyombo mbalimbali vya...
12 Reactions
105 Replies
4K Views
Kwa Afrika siasa ni biashara kama biashara zingine. Akili kichwani kwenu watumiwa/watumika. Binafsi nilinufaishwa na CCM kwa mambo yangu kwa upande wangu na ndiyo maana naendelea kusema ASANTE CCM.
0 Reactions
2 Replies
243 Views
Viongozi wa CHADEMA ifkike mahala mkubali kuwa hawa watu so rafiki kwenui kwa vitendo wanaowafanyia, hivyo ni busara kuacha kabisa kwasemea ikiwemo kutetea masilahi ya Polisi wa nchi hii kama...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan asihusishwe na kamata kamata zinazoendelea ndani ya CHADEMA. Rais ambae pia ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchi anafanya kazi kwa commanding chain |...
6 Reactions
53 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza CHADEMA imekubali kwamba Tundu Lissu ni mgonjwa na anatumia dawa. Wamekubali hili baada ya Lissu kukamatwa na kukaa saa 24 bila kutumia dawa zake. Inakuwaje mtu huyu ambaye ni...
2 Reactions
6 Replies
677 Views
Najaribu tu kuimagine Heche - mwenyekiti Lissu - makamu Mrema - k/mkuu Mnyika - n/mkuu Halafu eti yatokee yaliyotokea nchi ingekuwa inachemka muda huu.
0 Reactions
1 Replies
284 Views
Waziri Kombo asisitiza ushirikiano katika kutekeleza mikakati ya kikanda – SADC Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameahidi kushirikiana...
0 Reactions
0 Replies
322 Views
Ni kiongozi mkubwa wa CHADEMA hajaonekana hadharani hasa kipindi hiki wenzake wakiwa kwenye purukushani na polisi yeye kimya. Soma Pia: Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakati mwingine watu wanapolaumiwa kwa kulipa kisasi huwa tunawaonea tu, Unamkamata mtu kwao Mbeya unamficha Iringa, mnampiga sana halafu mnamsafirisha hadi ugenini Dar na kumwachia huru. Polisi...
13 Reactions
109 Replies
7K Views
Mpaka sasa jeshi la polisi halijatoa taarifa rasmi wapi Tundu alipo. Wananchi wanahofu kubwa juu ya usalama wa kiongozi huyu mkubwa wa chama cha upinzani nchini. Hata hivyo taarifa za awali...
10 Reactions
69 Replies
5K Views
Katika ujinga ambao sitokuja kuufanya ni kuchongoa mdomo wangu eti kupigania haki ya watanzania wenzangu. Yaani mimi nimpiganie haki mwenzangu halafu nife yeye abaki anakula raha. Pia soma...
7 Reactions
67 Replies
3K Views
Kilichowaponza CHADEMA ni kauli na hamasa ya vurugu Na Mwandishi Wetu MWAKA 1994 hauwezi kufutika katika historia ya dunia baada ya watu zaidi ya 800,000 kupoteza maisha kwa mauaji ya wenyewe...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Pia soma ~ Polisi: Hatujazuia mikutano ya ndani wala ya hadhara, tumezuia mkusanyiko wa Viongozi wa CHADEMA
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Tanzania ina Jumla ya vyama vya Siasa 19, ACT Wazalendo kikiwa ni chama mwisho kusajiliwa May 2014. CUF na NCCR MAGEUZI ya kina Mbatia walijaribu kuwa wapinzani halisi lakini wakadhohofishwa...
0 Reactions
0 Replies
372 Views
Fikra na hali ya Wanasiasa kutegemea madhaifu yao ya kimwili au kiafya kuvutia au kupata huruma ya wananchi, imeanza kuadimika, kutoweka na kupotea kwa kasi sana nchini, huku ikiwaacha wanasiasa...
1 Reactions
6 Replies
601 Views
Ni kweli Kabisa Chadema wanaweza kuleta vurugu na uvunjifu wa Amani lakini tusiwape kichwa kwamba wanaweza kufanya kama Gen Z Fikiria Chadema wanasafiri kwa Mabasi na Malori kwenda mkutanoni...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
MGODI WA GGM WAANZA KUTUMIA UMEME WA GRIDI BADALA YA MAFUTA 📌 Dkt.Biteko azindua kituo cha kupoza umeme cha GGM (MW 34) 📌 Asema kitaongeza mapato ya mgodi kwa Serikali 📌 Aipongeza GGM kuzipa...
1 Reactions
9 Replies
866 Views
Mzee Freeman Mbowe salaam! Nataka unipe mrejesho tu, ni lininuliitisha maandamano ya kitaifa ya CHADEMA Moshi mjini? Pia soma: Kilimanjaro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na...
3 Reactions
75 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…