Rais asihusishwe kamata kamata za CHADEMA

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
6,115
Reaction score
5,402
IMG-20240723-WA0154.jpg

Rais Samia Suluhu Hassan asihusishwe na kamata kamata zinazoendelea ndani ya CHADEMA.

Rais ambae pia ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchi anafanya kazi kwa commanding chain | authorities sio na kila kiongozi wa jeshi.

Ukiona IGP au CDF katoa statement hiyo ni likely inatambulika kwa Rais zaidi ya hapo huo ni utashi wa watu binafsi na hayo wanayoyafanya hayana baraka za Rais wala wasaidizi wake.

Sote ni mashahidi, Rais Samia hajawahi kuzikana zile 4R zake popote hivyo anayefanya kinyume na hizi R za Rais huyo anafanya kwa utashi na faida zake binafsi sio kwa faida ya Taifa analoliongozi Rais Samia Suluhu Hassan lenye maelewano,Utulivu, Umoja na mshikamano.

Ndio maana GS wa Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiwa kama msaidizi wa Rais kwenye maswala ya siasa amepinga jambo hili hadharani.

Huwa nasema wakati wote Tanzania itatuchukua miaka mingí kumpata kiongozi kama Rais Samia.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Samia.
 
View attachment 3068493
Rais Samia Suluhu Hassan asihusishwe na kamata kamata zinazoendelea ndani ya CHADEMA.

Rais ambae pia ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchi anafanya kazi kwa commanding chain | authorities sio na kila kiongozi wa jeshi.

Ukiona IGP au CDF katoa statement hiyo ni likely inatambulika kwa Rais zaidi ya hapo huo ni utashi wa watu binafsi na hayo wanayoyafanya hayana baraka za Rais wala wasaidizi wake.

Sote ni mashahidi. Rais Samia hajawahi kuzikana zile 4R zake popote hivyo anayefanya kinyume na hizi R za Rais huyo anafanya kwa utashi na faidi zake binafsi sio kwa faida ya Taifa analoliongozi Rais Samia Suluhu Hassan

Ndio maana GS wa Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiwa kama msaidizi wa Rais kwenye kwenye maswala ya siasa amepinga jambo hili hadharani.

Huwa nasema wakati wote Tanzania itatuchukua miaka mingí kumpata kiongozi kama Rais Samia.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Samia.
Nchimbi hajapinga ila ameomba kama ikiwezekana waziri awaachie, anakubaliana na ukamataji huo ila anawaombea msamaha! Jambo ambalo Chadema hawatalikubali.
 
Awaombee msamaha kwa kosa gani walilofanya? Labda awaombee polisi msamaha kwa Rais kwa kuchafua taswira ya nchi kwa kufanya uhuni waliofanya.
"anawaombea msamaha! Jambo ambalo Chadema hawatalikubali"! Chadema hawajafanya kosa, sasa Nchimbi anawaombea msamaha wa kosa gani!
 
Onesha kosa la Rais hapo sasa
unajua maana na kazi za amiri jeshi mkuu?
unajua maana ya uwajibikaji wa pamoja?
unajua kwamba pale ikulu asubuhi huwa panafanyika breafing ya matukio yote ya kiusalama yaliyotokea na yanayotegemea kutokea?
je hili kwa akili yako raisi hajajulishwa kabla na baada?
IGP anawajibika kwa nani?
wakati mwingine tuache uchawa jamani nchi yetu sote hii
 
View attachment 3068493
Rais Samia Suluhu Hassan asihusishwe na kamata kamata zinazoendelea ndani ya CHADEMA.

Rais ambae pia ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchi anafanya kazi kwa commanding chain | authorities sio na kila kiongozi wa jeshi.

Ukiona IGP au CDF katoa statement hiyo ni likely inatambulika kwa Rais zaidi ya hapo huo ni utashi wa watu binafsi na hayo wanayoyafanya hayana baraka za Rais wala wasaidizi wake.

Sote ni mashahidi, Rais Samia hajawahi kuzikana zile 4R zake popote hivyo anayefanya kinyume na hizi R za Rais huyo anafanya kwa utashi na faida zake binafsi sio kwa faida ya Taifa analoliongozi Rais Samia Suluhu Hassan lenye maelewano,Utulivu, Umoja na mshikamano.

Ndio maana GS wa Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiwa kama msaidizi wa Rais kwenye kwenye maswala ya siasa amepinga jambo hili hadharani.

Huwa nasema wakati wote Tanzania itatuchukua miaka mingí kumpata kiongozi kama Rais Samia.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Samia.
Ukiona kobe yupo juu ya mti ujue amepandishwa. Mteule wa rais anafanya kile anacho kiona aliye mteua atakifuhia, hizo 4R ni msimo tu kam ule wa maisha bora kwa kila Mtanzani je watanzia walipta maisha Bora. Kwa hiyo hii misemo wala isikuzibe macho wewe angalia matendo.
 
Msimuhusishe Rais na mambo yenu hayo ya kutunishiana misuli
 
View attachment 3068493
Rais Samia Suluhu Hassan asihusishwe na kamata kamata zinazoendelea ndani ya CHADEMA.

Rais ambae pia ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchi anafanya kazi kwa commanding chain | authorities sio na kila kiongozi wa jeshi.

Ukiona IGP au CDF katoa statement hiyo ni likely inatambulika kwa Rais zaidi ya hapo huo ni utashi wa watu binafsi na hayo wanayoyafanya hayana baraka za Rais wala wasaidizi wake.

Sote ni mashahidi, Rais Samia hajawahi kuzikana zile 4R zake popote hivyo anayefanya kinyume na hizi R za Rais huyo anafanya kwa utashi na faida zake binafsi sio kwa faida ya Taifa analoliongozi Rais Samia Suluhu Hassan lenye maelewano,Utulivu, Umoja na mshikamano.

Ndio maana GS wa Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiwa kama msaidizi wa Rais kwenye kwenye maswala ya siasa amepinga jambo hili hadharani.

Huwa nasema wakati wote Tanzania itatuchukua miaka mingí kumpata kiongozi kama Rais Samia.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Samia.
Ni yeye
 
unajua maana na kazi za amiri jeshi mkuu?
unajua maana ya uwajibikaji wa pamoja?
unajua kwamba pale ikulu asubuhi huwa panafanyika breafing ya matukio yote ya kiusalama yaliyotokea na yanayotegemea kutokea?
je hili kwa akili yako raisi hajajulishwa kabla na baada?
IGP anawajibika kwa nani?
wakati mwingine tuache uchawa jamani nchi yetu sote hii
Umesoma vizuri nilichokiandika?
 
View attachment 3068493
Rais Samia Suluhu Hassan asihusishwe na kamata kamata zinazoendelea ndani ya CHADEMA.

Rais ambae pia ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchi anafanya kazi kwa commanding chain | authorities sio na kila kiongozi wa jeshi.

Ukiona IGP au CDF katoa statement hiyo ni likely inatambulika kwa Rais zaidi ya hapo huo ni utashi wa watu binafsi na hayo wanayoyafanya hayana baraka za Rais wala wasaidizi wake.

Sote ni mashahidi, Rais Samia hajawahi kuzikana zile 4R zake popote hivyo anayefanya kinyume na hizi R za Rais huyo anafanya kwa utashi na faida zake binafsi sio kwa faida ya Taifa analoliongozi Rais Samia Suluhu Hassan lenye maelewano,Utulivu, Umoja na mshikamano.

Ndio maana GS wa Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiwa kama msaidizi wa Rais kwenye kwenye maswala ya siasa amepinga jambo hili hadharani.

Huwa nasema wakati wote Tanzania itatuchukua miaka mingí kumpata kiongozi kama Rais Samia.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Samia.
The buck stop with her. They arrest in the name of the government which she is it's head. They all owe their loyalty to her. How can you absolve her of their crime?
 
View attachment 3068493
Rais Samia Suluhu Hassan asihusishwe na kamata kamata zinazoendelea ndani ya CHADEMA.

Rais ambae pia ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchi anafanya kazi kwa commanding chain | authorities sio na kila kiongozi wa jeshi.

Ukiona IGP au CDF katoa statement hiyo ni likely inatambulika kwa Rais zaidi ya hapo huo ni utashi wa watu binafsi na hayo wanayoyafanya hayana baraka za Rais wala wasaidizi wake.

Sote ni mashahidi, Rais Samia hajawahi kuzikana zile 4R zake popote hivyo anayefanya kinyume na hizi R za Rais huyo anafanya kwa utashi na faida zake binafsi sio kwa faida ya Taifa analoliongozi Rais Samia Suluhu Hassan lenye maelewano,Utulivu, Umoja na mshikamano.

Ndio maana GS wa Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiwa kama msaidizi wa Rais kwenye kwenye maswala ya siasa amepinga jambo hili hadharani.

Huwa nasema wakati wote Tanzania itatuchukua miaka mingí kumpata kiongozi kama Rais Samia.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Samia.
Anasifiwa kwa mambo ambayo serikali yake haijayafanya, lakini asilaumiwe kwa mambo ambayo serikali yake imefanya kupitia jeshi la polisi. Ma-zuzu tu ndio hufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom