Hivi Karibuni tumeshuhudia Mawaziri Ndalichako, Nape, Kairuki, Oddo Ummi na Makamba Jr wakitumbuliwa.
Je, wanalipwa pesa yoyote kwa Miaka waliyotumikia Uwaziri? Ikiwa Ndio, pesa hizo zinatoka...
Ndugu Tundu,
Nakuandikia barua hii ya wazi, kwa afya na mustakabali wa taifa letu na hali ya kisiasa ilivyo sasa nakusihi uachane na wazo lako la kugombea urais tena mwaka ujao!
Na badala yake...
ikiwa hali ya kisiasa nchini na mipango mikakati kuelekea uchaguzi mkuu 2025 itakwenda kama ambavyo iko hivi sasa, basi ni dhahiri mgombea makamu Mwenyekiti Chadema taifa atabaki Ezekia Wenje...
Kilichopelekea Lowassa kukatwa na CCM mwaka 2015 ilikuwa ni kuwahi kufanya kampeni kwa kutia Nia mapema
Je, Tundu Lissu hajavunja kanuni kama Lowassa?
Nawatakia Sabato Njema 😄
Wakuu kwema?
Tumeshuhudia mara kadhaa siasa kupenyezwa taratibu kwenye michezo na wakati mwingine hata kushawishi baadhi ya baadhi maamuzi kufanyika kwa utashi wa kisiasa!
Mara watu kwenda na...
Katika mataifa ya magharibi ambako ndiko chimbuko la demekrosia duniani mataifa yao yenye demokrasia ya vyama vingi vya siasa ni jambo la kawaida kwa wanasiasa wanaotaka kugombea nafasi yeyote ya...
Kwa watoto wadogo na wasiojua mambo wanadhani hayati Magufuli alianza kuwa mkali alipokuwa rais wa nchi tu wakati ukweli ni kwamba Magufuli alikuwa mkali na mfuatiliaji tangu akiwa naibu waziri...
Vijana wanaochipukia katika Siasa nchini wanapaswa kujifunza kutoka kwa Dr Spika Tulia, Ackson, LLD (Mbunge) na Rais wa Mabunge yote duniani (IPU).
Hakika sisi Wana Mbeya Mjini tunajisikia wenye...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu ameishukuru sana CCM kwa Mchango wa kutengeneza Gari lake
Lisu amesema yeye anapokea Mchango kutoka kwa Mtu yoyote kama ambavyo hata matibabu...
Tume ya Kamari ni chombo cha udhibiti kinachowajibika kwa kusimamia shughuli za kamari na kuhakikisha kuwa zinafanywa kwa haki na salama. Kuhusu wachezaji, majukumu yake muhimu ni pamoja na...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania...
Mheshimiwa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antipas Lissu naomba unisikilize Kwa makini! Hoja na kitendo cha Katibu Mwenezi na Msigwa kuendeshea harambee kukuchangia ni cha kinafiki.
Mchango...
Hivi Marais na mawaziri wa Marekani huwa hawajihusishi na vitendo vya rushwa wakiwa madarakani au wanafanya kijanja sana? Huwa nasikia viongozi hawa wakitajwa kwenye skendo mbalimbali lakini ni...
Nimeona kwenye mitandao ya kijamii wapinzani na wanaharakati wakishambulia na kulaumu tamko la ubalozi wa Marekani kuhusu kukamatwa na kuwachiwa kwa viongozi wa CHADEMA kwamba ni tamko dhaifu...
Mara kwa mara nikikutana nao baa wanauliza braza Idu 2025 utachukua fomu?
Idu wewe pamoja na kuwa kada wa CCM tunakukubali sana. Mimi huwa nawapa ukweli. Mimi sio kada bali msema kweli. Hoja...
WARAKA WA KICHUNGAJI (PASTORAL LETTER) KWA RAIS SAMIA BAADA YA JESHI LA POLISI KUWAPIGA NA KUWAUMIZA WAPINZANI MBEYA.
Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Tuna vyama vya siasa lakini kiuhalisia vyama hivyo kuna wana harakati tu ndio wengi hakuna watu ambao kama chama kinaingia madarakani basi watakuwa ndio engine ya serikali
Hivyo tunalalamika...