Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Haya ndiyo maneno ya mheshimiwa Mwigulu Nchemba kwenye akaunti yake ya Twitter kuhusu kupotea au kutokuonekana kwa Roma na wenzake. Pia soma: Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake...
3 Reactions
94 Replies
12K Views
Tunasubiri nani atekwe ndio tuelewe hatuko salama Tanzania? Kwanini tumekuwa wanyama kiasi hiki? Kwanini hoja zinajibiwa Kwa risasi? Elimu zetu na zikoje mpaka watu wanashindwa kujibu Kwa hoja ...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Eneo la Hifadhi la Ngorongoro (NCA) lilianzishwa mwaka 1959 kama eneo la kipekee la matumizi ya mseto, ambapo uhifadhi, utalii, na maisha ya jadi ya jamii ya Wamasai vingeweza kuishi kwa pamoja...
3 Reactions
6 Replies
753 Views
Wamebaki ma chawa na walamba asali kumpongeza kinafiki huku tukiwa nao mtaani wana mng'ong'a. Naogopa nihisipo mwisho wake. Najiuliza, utakuwaje!? Kila pembe sasa ni kilio kumlaumu yeye...
4 Reactions
4 Replies
797 Views
Mzee Cheyo wa UDP anahmia Machawa kama akina Lucas kuteuliwa Kuwa Wakuu wa wilaya, Mzee Cheyo anajisahaulisha Kuwa zipo Taasisi nyingi za Umma na binafsi ambazo ni chawa wa CCM kikiwemo Chama...
2 Reactions
14 Replies
653 Views
Taswira ya nchi yetu kimataifa imechafuka sana ndani ya kipindi cha miezi miwili iliyopita kuliko wakati mwingine wowote tangu 2021, na tunakoelekea inaonesha hali itakuwa tete zaidi. Suluhisho...
0 Reactions
2 Replies
422 Views
Mwenye fununu za sifa za kuwa Judge wa Mahakama ya Rufaa anisaidie kujua kama Feleshi kama ana professional qualifications /anastahili au ni zawadi kutoka kwa mama. Sijwahi ona HUKUMU ya Feleshi...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
SGR treni ya mwendo kasi msli ya serikali asilimia 100 kila mtu anajisikia hamu na raha kuipanda kuanzia Raisi ,mawaziri,wabunge,majaji,matajiri na watu wa.kawaida.Wote wanapenda kusafiri nayo na...
3 Reactions
10 Replies
488 Views
Ushauri kwa Mwabukusi. Usicheze na jukwaa jikite katika MALENGO YA KUANZISHWA KWA TLS Kwa mujibu wa kifungu cha 4 cha Sheria ya TLS sura ya 307 malengo ya kuanzishwa TLS ni: (a)Kulinda na...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Jamhuri ya muumgano wa tanzania imemteua Afisa habari wa Yanga SC, Ally Kamwe kuwa balozi atakayehusika kutangaza na kuelimisha jamii juu ya fursa za zabuni...
4 Reactions
9 Replies
888 Views
Tunaposifia kuupiga mwingi tujihoji kabla ya November 2024 na 0ctober 2025, miradi mkakati hasa ya miunddombinu ambayo kukamilika kwake kungechechemua uchumi wa Nchi imesimama, wakandalasi...
1 Reactions
2 Replies
386 Views
Wanajukwaa Asalam Aleykum. Mwenzenu sijambo, japo kuna jambo bado linanitatiza. Bado natafakari ujumbe uliosheheni kwenye mashairi aliyoimba Naibu waziri wa Michezo leo. Kati ya mashairi hayo...
0 Reactions
1 Replies
499 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya CHADEMA Mikocheni amesema Kwa mwaka huu (2024) na sehemu ya mwaka jana (2023), wako Watanzania zaidi ya 200...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Chini ya uongozi wa maono wa Rais Samia Suluhu Hassan, Tanzania inaingia katika enzi mpya ya maendeleo na ustawi kwa kuzindua huduma za treni za Reli ya Standard Gauge (SGR). Mafanikio haya...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu, Naimani mlikutana na mabango haya yanayoelezea vingozi wa CHADEMA kufanya mkutano na waandishi wa habari, moja likiwa sahihi na mawili yakiwa ya uongo kuwapoteza watu na kuwagawanya...
0 Reactions
1 Replies
327 Views
Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho. Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na...
21 Reactions
222 Replies
13K Views
Jirani zetu wa Kenya kisiasa wako mbali sana Wakati Kibongo bongo Shujaa Magufuli alimbania Kamilius Membe kwenda kugombea Uongozi wa Jumuiya ya Madola huku wakiwa Chama kimoja hapo Kenya Ruto...
1 Reactions
1 Replies
359 Views
Ni ngumu sana kutetea wananchi ambao utatekwa, utateswa, utapotea au utapigwa risasi wao hawatambui mchango wako wataendelea kupiga kelele nyuma ya keyboards na story za Simba na Yanga...
1 Reactions
3 Replies
341 Views
Muda si mrefu nitaweka vielelezo halisi vya ukiukaji mkubwa wa sheria
0 Reactions
6 Replies
804 Views
Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro. Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka. Jamaa wanaokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto...
56 Reactions
253 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…